Rushwa ya ngono kwa ajira

twenty2

JF-Expert Member
May 20, 2011
296
32
Bado kuna baadhi ya watu wanaendeleza rushwa ya ngono hasa maofisini.
Mbunge wa Kawe Halima Mdee amewataka Wasichana kujiamini na kutokutegemea kutoa Rushwa ya Ngono ndipo watimize ndoto zao za kimaisha. Mdee aliyasema hayo alipokuwa akizungumza na Wanafunzi wa Chuo cha Mwenge wakati akizindua Tawi la Chadema la Chuoni hapo.
Alisema na kuendelea kuwasisitiza hasa wale wahitimu ambao wakimaliza na kuanza kutafuta ajira na kuambiwa kutoa Rushwa ya ngono ndio apate ajira,’Mjifunze kuwa wasomi tumia elimu yako kutimiza ndoto zako,jiamini mtoto wa kike”
 
MBONA IYO SASA NI STRATEGY YAO WANAWAKE?? HUJUI MAANA YA WAKIWEZESHWA WANAWEZA?? WASHAURI BAADA YA KUTOA IYO RUSHWA WATULIZANe
 
ss hv wanawake wakimaliza shule ndo wanakuwa wepesi sana kuvua chupi zao
kwanza wanakuwa hawana pesa, na wale waliokuwa wanawataka kisa ni watoto wa chuo nao huwa
wanawakimbia na kutafuta watoto wengine wa chuo.....halaf hata ukimwambia lete CV yako nyumbani kwangu
jioni anakuja na yuko tayari kulala akifikiri ndo atapata ajira.
wana wakati mgumu sana kwa kweli........na hawajiamini
 
Back
Top Bottom