Hali ya Rushwa ya Ngono Nchini

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
626
938


Rushwa ya Ngono inahusisha Dhuluma na Unyanyasaji, na inakiuka Haki za Binadamu na Heshima ya Watu.

Aina hii ya Rushwa hutumia nguvu ya Kisaikolojia kumshawishi Mtu kutoa Mwili wake Kingono ili kupata Upendeleo kama Safari za Kikazi, Matokeo mazuri Chuoni, Unafuu wa Kazi, Kupanda Cheo, Kutoadhibiwa kwa Makosa mbalimbali nk.
 
Ukimtaka bila chochote atataka chochote,, na ukiwa na chochote atafanya lolote,, tatizo nini hapo sawa sawa tu toa ili upate huwezi kutoa vigumu kupata.
 
Back
Top Bottom