Changamoto ya rushwa ya ngono vyuoni tuaniomba TAKUKURU ifanye uchunguzi

stranger2016

New Member
Jan 8, 2017
1
11
Kumekuwa na changamoto kubwa ya Rushwa ya ngono kwa baadhi ya vyuo vikuu na vyuo vya kati Tanzania hususani kwa watoto wanaomaliza kidato cha nne na kujiunga na vyuo kwa ngazi ya Certificate na diploma.

Wengi wao wanakua ni wadogo kiumri na kushindwa kuhimili changamoto hiyo kutoka kwa baadhi ya wahadhiri wao wanaowarubuni kwa kuwatishia kufeli.

Nimesikia kesi nyingi kwa chuo cha CBE Mwanza. Changamoto hii inaharibu ndoto kwa baadhi ya mabinti wengi wa kitanzania.

Tunaiomba TAKUKURU na vyombo vingine vya usalama vifanye uchunguzi na kutoa haki ili tupate wahitimu bora na tuokoe mabinti hawa watimize ndoto zao.
 
Madogo wenyewe hawataki kusoma, tukiwatia rula wanakegeza macho.

Wawe siriazi na shule ili wasiliwe ovyooooooo
Si kweli tumepita huko watoto wakike wanateseka mno jinsi hata inavyosemwa, kuna lecture alikuwa anawatishia ivo ivo Halafu anakula wawili na s wanajuana mmoja Akaacha chuo, wanateseka sana sana.
Wanaume huwa sijui tunafeli wapi
 
Kumekuwa na changamoto kubwa ya Rushwa ya ngono kwa baadhi ya vyuo vikuu na vyuo vya kati Tanzania hususani kwa watoto wanaomaliza kidato cha nne na kujiunga na vyuo kwa ngazi ya Certificate na diploma.

Wengi wao wanakua ni wadogo kiumri na kushindwa kuhimili changamoto hiyo kutoka kwa baadhi ya wahadhiri wao wanaowarubuni kwa kuwatishia kufeli.

Nimesikia kesi nyingi kwa chuo cha CBE Mwanza. Changamoto hii inaharibu ndoto kwa baadhi ya mabinti wengi wa kitanzania.

Tunaiomba TAKUKURU na vyombo vingine vya usalama vifanye uchunguzi na kutoa haki ili tupate wahitimu bora na tuokoe mabinti hawa watimize ndoto zao.
Hakuna anaerubuniwa bali watoto wa siku hizi hawana mshipa wa aibu.ni wakware mno.
Hawataki kusoma.

Ukitaka kuujua ukweli nenda hospitali kama MARIE STOPES mwenge upate record za abortion na magonjwa ya zinaa kwa siku wanafunzi wa Ustawi wa jamii kijitonyama.

Unaweza usimpeleke mtoto chuo..
Pia uliza walinzi wa pale chuo upate taarifa.

Yani bila hata rushwa wenyewe wanaomba kufanyiwa hayo mambo.

Wanafanya INVITATION TO TREAT ie wanaacha kila kitu waz ili ushoboke nao wakuweke mtu kati uwape majibu.

Kwa ustawi hadi walezi wamechoka kuona mambo ya hovyo yanayofanywa na wale watoto.

Itafika mahali hata uzao utakuwa shida.

Kuna mmoja nilimuuliza kuhusu abortion÷alisema kama abortion isingekuwepo mneenda kuokota vitoto vingi maeneo ya chuo,

Hatari sana
 
Wapo wataokubeza "pilipili usiyoila inakuwashia nini au kila Mtu na maisha yake".

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
Hakuna anaerubuniwa bali watoto wa siku hizi hawana mshipa wa aibu.ni wakware mno.
Hawataki kusoma.
Ukitaka kuujua ukweli nenda hospitali kama MARIE STOPES mwenge upate record za abortion na magonjwa ya zinaa kwa siku wanafunzi wa Ustawi wa jamii kijitonyama.
Unaweza usimpeleke mtoto chuo..
Pia uliza walinzi wa pale chuo upate taarifa.

Yani bila hata rushwa wenyewe wanaomba kufanyiwa hayo mambo.

Wanafanya INVITATION TO TREAT ie wanaacha kila kitu waz ili ushoboke nao wakuweke mtu kati uwape majibu.

Kwa ustawi hadi walezi wamechoka kuona mambo ya hovyo yanayofanywa na wale watoto.

Itafika mahali hata uzao utakuwa shida.

Kuna mmoja nilimuuliza kuhusu abortion÷alisema kama abortion isingekuwepo mneenda kuokota vitoto vingi maeneo ya chuo,

Hatari sana
Kuna kasumba niliwahi kuisikia na leo hapa naisikia kwako kua MARIE STOPES HOSPITALS wanaongoza kwa ABORTION sijui ni kweli au vipi?
 
Hakuna anaerubuniwa bali watoto wa siku hizi hawana mshipa wa aibu.ni wakware mno.
Hawataki kusoma.
Ukitaka kuujua ukweli nenda hospitali kama MARIE STOPES mwenge upate record za abortion na magonjwa ya zinaa kwa siku wanafunzi wa Ustawi wa jamii kijitonyama.
Unaweza usimpeleke mtoto chuo..
Pia uliza walinzi wa pale chuo upate taarifa.

Yani bila hata rushwa wenyewe wanaomba kufanyiwa hayo mambo.

Wanafanya INVITATION TO TREAT ie wanaacha kila kitu waz ili ushoboke nao wakuweke mtu kati uwape majibu.

Kwa ustawi hadi walezi wamechoka kuona mambo ya hovyo yanayofanywa na wale watoto.

Itafika mahali hata uzao utakuwa shida.

Kuna mmoja nilimuuliza kuhusu abortion÷alisema kama abortion isingekuwepo mneenda kuokota vitoto vingi maeneo ya chuo,

Hatari sana
Huuu ni uwongo Mtupu, ukweli ni 0.001%

Watoto wakike wengi kunyanyaswa kingono na ma lecture na na prof ni tatizo kubwa.

Wengi ambao hawarubuniwi ni wale ambao uhuru unawaendesha Hakuna mtu wa kuwafatilia, hawana elimu ya uzazi wa mpango mwisho wa siku wanaingia kwenye makundi.

ILA wengi huwa wanaaanza na kunyanyaswa kwanza anajiona ana thamani tena anadumbukia kwenye wimbi la ukahaba.

ma lecture wamejaa umeme na na prof kazi yao ni kuharibu watoto tu huu ni ukweli mchungu. Tumeshaona mabinti wanatoka nyumbani wapo vzuri wanaacha chuo baada ya kujigundua wameathirika anajiona hana tena thamani anaanza kujiuza.

Wewe labda ujakaa na wengi watoto wa UDSM wakuambie walianza vipi ukahaba
 
Si kweli tumepita huko watoto wakike wanateseka mno jinsi hata inavyosemwa, kuna lecture alikuwa anawatishia ivo ivo Halafu anakula wawili na s wanajuana mmoja Akaacha chuo, wanateseka sana sana.
Wanaume huwa sijui tunafeli wapi
Kwani sisi wengine hatujasoma chuo? Au hatujasoma na hao watoto wa kike?
Ukweli ni kwamba mwanafunzi ndo anatengeneza mazingira ya kutakwa na lecturer, hata uwe mzuri km uko serious na mambo yako na hakuna upenyo lect akakupata, hutosumbuka.

Huyo lect atakutaka km ambavyo atamtaka asiye mwanafunzi, na ukimkataa ataelewa pia, kikubwa ni kuziba mianya ya lect kukupata.
 
Mimi sasa nimesoma na dem alikuwa anawekewa sifuri tu na HOD for ni reason sababu tu lect Alikuwa akimtaka demu, alikaza sana mwsho wa siku aliamua ku surrender na hata akienda kushtaki hakuna anayemsikiliza.
Japo sikatai wapo wanaojirahisisha ila wengi huwa ni wa kulazimishwa
 
Huuu ni uwongo Mtupu, ukweli ni 0.001%
Watoto wakike wengi kunyanyaswa kingono na ma lecture na na prof ni tatizo kubwa.
Wengi ambao hawarubuniwi ni wale ambao uhuru unawaendesha Hakuna mtu wa kuwafatilia, hawana elimu ya uzazi wa mpango mwisho wa siku wanaingia kwenye makundi.
ILA wengi huwa wanaaanza na kunyanyaswa kwanza anajiona ana thamani tena anadumbukia kwenye wimbi la ukahaba.
ma lecture wamejaa umeme na na prof kazi yao ni kuharibu watoto tu huu ni ukweli mchungu. Tumeshaona mabinti wanatoka nyumbani wapo vzuri wanaacha chuo baada ya kujigundua wameathirika anajiona hana tena thamani anaanza kujiuza.
Wewe labda ujakaa na wengi watoto wa UDSM wakuambie walianza vipi ukahaba
Hao wanafunzi wa Udsm wanaodhani pale mlimani city ni danguro lao la kuwinda maprosoo, ndo usingizie lects na profs?

Nenda Magu hostel pale nje opposite na mawasiliano tower, kaa kwenye vi garden pale weekend, ujionee magari ya kifahari yanavyochukua watoto wa kike hapo, tena wanashindana na kuona raha kumilikiwa na wenye pesa,

Ingia kule ndani kwenye halls, full kusimamishana na kukuwadiana, si wanataka maisha mazuri eeeh? Na wanazoa sana ukimwiii.
 
Sasa kabla ya hapo uliza stori zao zilikuwaje wakaingia kwenye hayo.
1. Kushindwa kujisimamia uhuru walioupata
2. Kunyanyaswa kingono
3.makundi
 
Duh mkuu kumbe hao ma prof ni source ya dada zetu kujiuza.wengi wanaojiuza ni wameathrika na kukata tamaa?
Huuu ni uwongo Mtupu, ukweli ni 0.001%
Watoto wakike wengi kunyanyaswa kingono na ma lecture na na prof ni tatizo kubwa.
Wengi ambao hawarubuniwi ni wale ambao uhuru unawaendesha Hakuna mtu wa kuwafatilia, hawana elimu ya uzazi wa mpango mwisho wa siku wanaingia kwenye makundi.
ILA wengi huwa wanaaanza na kunyanyaswa kwanza anajiona ana thamani tena anadumbukia kwenye wimbi la ukahaba.
ma lecture wamejaa umeme na na prof kazi yao ni kuharibu watoto tu huu ni ukweli mchungu. Tumeshaona mabinti wanatoka nyumbani wapo vzuri wanaacha chuo baada ya kujigundua wameathirika anajiona hana tena thamani anaanza kujiuza.
Wewe labda ujakaa na wengi watoto wa UDSM wakuambie walianza vipi ukahaba
 
Duh mkuu umesema ukweli Hawa mademu wa chuo ni kuwa nao makini kumbe anaweza kuunganisha grade ya taifa.
Hao wanafunzi wa Udsm wanaodhani pale mlimani city ni danguro lao la kuwinda maprosoo, ndo usingizie lects na profs?

Nenda Magu hostel pale nje opposite na mawasiliano tower, kaa kwenye vi garden pale weekend, ujionee magari ya kifahari yanavyochukua watoto wa kike hapo, tena wanashindana na kuona raha kumilikiwa na wenye pesa,

Ingia kule ndani kwenye halls, full kusimamishana na kukuwadiana, si wanataka maisha mazuri eeeh? Na wanazoa sana ukimwiii.
 
Duh mkuu kumbe hao ma prof ni source ya dada zetu kujiuza.wengi wanaojiuza ni wameathrika na kukata tamaa?
#17
Nina washkaji kibao wakike na wengine nilisoma nao O level, wanashinda kitambaa cheupe, havoc na viwanja vingi vya mjini. Kama unao kaa nao chini muulize ivi ulianzaje anzaje ila tu uwe na ule urafiki wa karibu utasikia mengi sana na kuna mda anatamani kuacha ila hawezi alishaathirika
 
Back
Top Bottom