Upande wangu bado nashindwa kuelewa ilikuwaje baba mtu mzima na watoto wake wakashirikiana kufanya kitu kibaya kama kile, ilikuwa kwa starehe, imani za kishirikina, ulipaji kisasi au????!!! Juu ya yote hayo kwenye ukweli uongo hujitenga hivyo naomba ukweli usimame ili haki itendeke.