Rufaa ya Babu Seya, tumuombee atoke?

Kaitaba

JF-Expert Member
Jun 30, 2009
916
52
Wiki iliyopita niliwajulisha kuwa babu seya amekata rufaa, baadhi walinipinga kuwa ni habari za udaku na wengine wakanitaka niwape source,

Niliwajibu kuwa ni habari za ukweli na source ni mimi mwenyewe maana uwa nafuatilia, sio wengine wana copy magazetini,

Tuache hayo, leo ni leo, rufaa yake inaanza kusikilizwa, nataka maoni, je tumuombee ashinde rufaa yake ajiunge nasi uraiani au ashindwe aendelee kuozea jera?!, ni vyema basi tuwe na sababu.
 
Attachments

  • babu seiya.jpg
    babu seiya.jpg
    4 KB · Views: 93
  • Babu sey.jpg
    Babu sey.jpg
    4.4 KB · Views: 115
  • babu seyaa.jpg
    babu seyaa.jpg
    5.1 KB · Views: 118
Rufaa yake ipo kwa Jaji Salum Masati.

Tuombe sheria ishike mkondo wake
 
Babu Seya atoke? That pederast father with his siblings should never be let out the place where they are deemed to live for other thirty years...
Hivi unajua kuwa hata ngumbalu wamo humu?
 
Naomba haki itendeke bila kupendelea upande wowote. Ndio maana kwa kifupi nikasema naomba Sheria ishike mkondo wake.
Hivi una uhakika kama sheria hapa TZ zinafuatwa? nafikiri zinaweza kufuatwa tukisali na kuomba na kufunga mwaka mzima.
 
Huyo aozee jela tu na hao wanawe. Inakuwaje kwa wale wazazi ambao watoto wao wamefanyiwa huo uchafu?

Iwe mfano kwa wengine na wanaofanya michezo hii tambueni siku yenu ipo na itafika kama sio hapa duniani basi ahera. PERIOD
 
kama yuko kwenye haki basi mwenyezi mungu amsaidie na aweze kutoka huko
na kama kwweli alitenda kosa hili basi sheria iendelee kufanya kazi yake
 
Huyo aozee jela tu na hao wanawe. Inakuwaje kwa wale wazazi ambao watoto wao wamefanyiwa huo uchafu? Iwe mfano kwa wengine na wanaofanya michezo hii tambueni siku yenu ipo na itafika kama sio hapa duniani basi ahera. PERIOD
Hivi katika hali kawaida, mtu anaweza kufanya mambo hayo mbele ya watoto wake kweli?
 
kama yuko kwenye haki basi mwenyezi mungu amsaidie na aweze kutoka huko
na kama kwweli alitenda kosa hili basi sheria iendelee kufanya kazi yake
Hivi unafikiri kweli kayatenda haya kweli, tena mbele yako.
 
Kwani tuna hakika kwamba hakutenda hilo kosa??????????????? Huruma na ije kama hakutenda kosa, kama alitenda basi cello za Ukonga zinamfaa sana
 
Nakushukuru sana mtoa thread hii, na samahani kama kwa bahati mbaya wewe binafsi pamoja na wana JF mliopo jamvini mnisaidie katika hili, kwamba napenda turudi nyuma kidogo ili mnifahamishe kwamba ni shitaka gani la msingi ambalo Babu Seya alifikishwa mahakamani na baadaye kufungwa yeye na familia nzima?

Kutokana na source zangu kuwa hafifu sikuweza kupata suala hasa (mahakamani lilikuwa ninini?) Zaidi ya uzushi ambao mimi ninao.
 
Hivi hata kama mnapenda ngono kiasi gani, baba anaweza kufanya hivyo mbele ya watoto kweli?, na kama kweli kafanya hivyo iweje wananchi watake kuandamana kwa ajili yake? kwani ni wangapi wamefungwa kwa ajili hii na wananchi wako kimya?

hapa ni lazima kuna kitu, na mkitaka kupata ukweli fuatilia magazeti ya leo jioni (kwa wale walioko Dar) yatauzwa sana kwa ajili yake, hapo hampati jibu kweli?
 
Nakushukuru sana mtoa thread hii, na samahani kama kwa bahati mbaya wewe binafsi pamoja na wana JF mliopo jamvini mnisaidie katika hili, kwamba napenda turudi nyuma kidogo ili mnifahamishe kwamba ni shitaka gani la msingi ambalo Babu Seya alifikishwa mahakamani na baadaye kufungwa yeye na familia nzima?

Kutokana na source zangu kuwa hafifu sikuweza kupata suala hasa (mahakamani lilikuwa ninini?) Zaidi ya uzushi ambao mimi ninao.
Kuna hukumu yake kule jukwaa la sheria.
Tafuta kule ifyonze na uisome!
JF ina kila kitu mkuu!
 
Back
Top Bottom