RPC wa Mbeya apongezwe kwa kusimamia vema maandamano ya Chadema na ziara ya Biteko

Izia maji

JF-Expert Member
Dec 1, 2021
2,161
3,810
Hakika RPC wa Mbeya anapaswa kupongezwa kwa kuepusha maafa ambayo yangeweza kutokea leo mjini Mbeya kama angemuendekeza RC Homera na DC Malisa. Aidha pongezi ziwaendee viongozi wa Chadema kwa uimara wao wa kuhakikisha hawatetereki katika msimamo wao wa kufanikisha maandamano na waandamanaji kwa nidhamu kubwa waliyokuwa nayo wakati wote wa maandamano.

Kipekee RPC anastahili pongezi hasa pale msafara wa Biteko ulipokutana na maandamano yaliyokuwa yanaongozwa na Lissu kwa kumpitisha Biteko pembeni barabara ya vumbi na kumuachia Lissu na waandamanaji barabara kuu ya lami. Kama RPC angeng'ang'ania kumpitisha Biteko barabara ya lami basi lo lote lingeweza kutokea kwani Lissu alikwisha kutoa amri kwa waandamanaji kutokupisha barabara.

Hongera sana RPC!
 
Kimsingi Naibu PM alikosea sana kupita barabara ambayo serikali yenyewe ndio walitoa kibali kwa wananchi kupita na maandamano.

RPC na security personnel walikuwa na ufahamu wa maandamano ba wakaruhusu hizo barabara kutumika kwa wakati huo.

Nimependa busara iliyotumika pande zote kwa waandamanaji na nsafara kuamua kupisha waandamanaji hii ni mara ya kwanza kutokea ila walimuweka kiongozi kwenye hali ya hatari since waandamanaji walikuwa wanalalamikia serikali ya huyohuyo kiongozi pale busara iliyotumika kwa imeepusha mengi kwa waandamanaji na kiongozi.

Next rime police wawe makini.
 
Biteko alikuwa na nia OVU? why ziara on this particular day while you know there would be peaceful political demonstration? Ni ukola tu wa takataka eti ni Waziri
 
Hakika RPC wa Mbeya anapaswa kupongezwa kwa kuepusha maafa ambayo yangeweza kutokea leo mjini Mbeya kama angemuendekeza RC Homera na DC Malisa. Aidha pongezi ziwaendee viongozi wa Chadema kwa uimara wao wa kuhakikisha hawatetereki katika msimamo wao wa kufanikisha maandamano na waandamanaji kwa nidhamu kubwa waliyokuwa nayo wakati wote wa maandamano.

Kipekee RPC anastahili pongezi hasa pale msafara wa Biteko ulipokutana na maandamano yaliyokuwa yanaongozwa na Lissu kwa kumpitisha Biteko pembeni barabara ya vumbi na kumuachia Lissu na waandamanaji barabara kuu ya lami. Kama RPC angeng'ang'ania kumpitisha Biteko barabara ya lami basi lo lote lingeweza kutokea kwani Lissu alikwisha kutoa amri kwa waandamanaji kutokupisha barabara.

Hongera sana RPC!
Kipekee RPC anastahili pongezi hasa pale msafara wa Biteko ulipokutana na maandamano yaliyokuwa yanaongozwa na Lissu kwa kumpitisha Biteko pembeni barabara ya vumbi na kumuachia Lissu na waandamanaji barabara kuu ya lami. Kama RPC angeng'ang'ania kumpitisha Biteko barabara ya lami basi lo lote lingeweza kutokea kwani Lissu alikwisha kutoa amri kwa waandamanaji kutokupisha barabara.📌🔨
 
Kimsingi Naibu PM alikosea sana kupita barabara ambayo serikali yenyewe ndio walitoa kibali kwa wananchi kupita na maandamano.

RPC na security personnel walikuwa na ufahamu wa maandamano ba wakaruhusu hizo barabara kutumika kwa wakati huo.

Nimependa busara iliyotumika pande zote kwa waandamanaji na nsafara kuamua kupisha waandamanaji hii ni mara ya kwanza kutokea ila walimuweka kiongozi kwenye hali ya hatari since waandamanaji walikuwa wanalalamikia serikali ya huyohuyo kiongozi pale busara iliyotumika kwa imeepusha mengi kwa waandamanaji na kiongozi.

Next rime police wawe makini.
Ratiba ya maandamano ilishatolewa muda mrefu na serikali wanayo. Kilichompeleka Biteko huko ni kiherehere gani kama sio uchokozi wa serikali ya mama Dr. SSH (provocation) ambayo, hakika angedhurika mtu, lawama wangetupiwa CDM, na ingetungiwa mapambio na wapambe wa SSH na naamini baada ya hapo wangepata kisingizio cha kuzuia maandamano yyte kwa kisingizio hicho... wamefulia! Ni hila tu za CCM.
 
Mara nyingi polisi ndio husababisha vurugu Kwa kushauriwa na mjumbe wa CCM mkoa bwana mkuu wa mkoa.

Polisi wakitumua weredi wao mambo Huwa mazuri.
 
Kimsingi Naibu PM alikosea sana kupita barabara ambayo serikali yenyewe ndio walitoa kibali kwa wananchi kupita na maandamano.

RPC na security personnel walikuwa na ufahamu wa maandamano ba wakaruhusu hizo barabara kutumika kwa wakati huo.

Nimependa busara iliyotumika pande zote kwa waandamanaji na nsafara kuamua kupisha waandamanaji hii ni mara ya kwanza kutokea ila walimuweka kiongozi kwenye hali ya hatari since waandamanaji walikuwa wanalalamikia serikali ya huyohuyo kiongozi pale busara iliyotumika kwa imeepusha mengi kwa waandamanaji na kiongozi.

Next rime police wawe makini.
Ukweli hapa RC Homera ni wa kulaumiwa kwa kadhia hii!
 
DC Malisa anajipendekeza kwa CCM lakini atang'oka tu kwa uzembe ule!
 
Kimsingi Naibu PM alikosea sana kupita barabara ambayo serikali yenyewe ndio walitoa kibali kwa wananchi kupita na maandamano.

RPC na security personnel walikuwa na ufahamu wa maandamano ba wakaruhusu hizo barabara kutumika kwa wakati huo.

Nimependa busara iliyotumika pande zote kwa waandamanaji na nsafara kuamua kupisha waandamanaji hii ni mara ya kwanza kutokea ila walimuweka kiongozi kwenye hali ya hatari since waandamanaji walikuwa wanalalamikia serikali ya huyohuyo kiongozi pale busara iliyotumika kwa imeepusha mengi kwa waandamanaji na kiongozi.

Next rime police wawe makini.
Maandamano yaliripotiwa na kuruhusiwa na Jeshi la Polisi, siku kadhaa kabla ya ujio wa Naibu Waziri Mkuu.
Kwa hiyo kitendo cha kumpitisha Naibu Waziri Mkuu katika njia ambayo iliratibiwa na kuruhusiwa kwa hayo Maandamano, kilikuwa na lengo la kumdhalilisha huyo Kiongozi Mkuu wa Serikali.
Kilifanywa makusudi na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa.
Kilifanywa makusudi na Mkuu wa Mkoa.
Kilifanywa makusudi na RPC.
Naibu Waziri Mkuu, Dk. Dotto Biteko ni Kiongozi mwenye upendo na hekima ya hali ya juu sana.
Kwake Dk. Biteko kujishusha, haimpunguzii kitu. Na ndicho alichofanya.
Na kitendo hicho cha kujishusha ili kuepuka Watanzania kupata madhara, kinamuinua sana.
Kinamuongezea baraka.
Ninaamini aliyeepusha vurugu ambazo zingeweza kutokea jana ni yeye Naibu Waziri Mkuu mwenyewe.
Mtanzania mwenye hofu ya Mungu.
Waliopanga kumdhalilisha, ambao ni Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Mbeya, lazima wawajibishwe
 
lisu anacho kitaka ni mauwaji ya kujitoa mhanga kwa wananchi walala hoi

muhimu watanzania wenye akili wameliona hilo
 
Back
Top Bottom