RPC wa Kilimanjaro - Ng'hoboko hatunaye tena

Ni Lucas Ng'oboko sio Ngoboko wala Koboko mwenye gamba. Misuli yote ile haikufua dafu kwa kifo? Kweli 'kifo ni kiboko yao' kama alivyosema Dr. Remmy

Kifo ni kitendo cha roho kuicha mwili Mkuu, kwa hiyo unatakiwa kuijenga mwili na roho pia, siyo kujenga mwili tu wakati roho inaangaika na haina uhusiano kamili na mwili.
 
Ni Taarifa za kweli, RPC wa Kilimanjaro Lucas Ng'oboko amefariki duania. Huyu kabla ya kuwa RPC alikuwa RCO Mwanza. R.I.P kamanda
 
mwacheni koboko ajifie, simuhurumii hata chembe
Mkuu huyu bwana ktk kumbukumbu zangu sikumbuki km alituchapa mabomu. Mtata ni yule wa Arusha, Mwanza na OCD-TARIME teh! May his soul rest in peace bwanaa. My condolences..
 
Moshi umeshakuwa mkoa? kipollisi au kiutawala? Mimi bado niko nyuma nafahamu Kilimanjaro.
RIP Kamanda.
 
News from KCMC Hospital says Kilimanjaro RPC Ngoboko was rushed to the hospital this morning but was pronounced dead on arrival
 
Huyu Ng'oboko jana 15th-06- 2011 gazeti la nipashe waliandika kwamba anastaafu, na mkoa wa Kilimanjaro wamebadilishiwa RPC kutoka mkoa wa pwani kama sikosei, sasa imekuwa kinyume chake. Mungu kamchagulia maisha mengine, apumzike kwa amani.
 
Jamani tuwe na ubinadamu,huyu ni mzazi ana watoto na familia,kuna watu kibao walimtegemea,kazi yake icfanye tukose ustaarabu,great thinkers ndio nyie,pumzika salama kamanda,nasikia ndio alikuwa amestaafu mwezi huu,hata pension hajaiona.
 
Back
Top Bottom