RPC wa Kilimanjaro - Ng'hoboko hatunaye tena

Wana JF epukeni sana lugha za kejeli katika vifo, huwezi jua unaweza kukuta mwanae au mmoja wa wana familia ni mwana JF! Utasikiaje mtu mwana JF mwenzako amefika na baba yake halafu wewe ulicomment heri fisadi kafa n.k! Ni vizuri kujifunza kuwa mtu akifa anakwenda kuanza maisha mapya ambayo wote ni wageni hivyo ni kumtakia marehemu safari njema na kuwapa pole wafiwa.
Hivi unafikiri chuki ya kuwachukia polisi imetoka wapi kama siyo kwenye siasa? Ni bora tukaweka siasa pembeni na kutangaliza utu hata kama marehemu ulikuwa humpendi kwa sababu yoyote iwayo ile jamani.
 
Nakupongeza sana kwa maneno ako murua na yene matiki.

Chukueni mfano mdogo huko Tanzania. Mbowe na Zito na viongozi wengine wa vyama vya siasa walihudhuria maziko ya mama ake Spika makinda huko Njombe . Viongozi hao waliweka kando tofauti zao na mikwaruzano yao Bungeni bali waliungana kumzika mama yake spika.

Siku zote mtu anapofariki tunamkumbuka kwa mema yake zaidi na kumtakia Mola amrahisishia mambo yake na kuingia katika janna yake.

Naunga mkono hoja
 
Wana JF epukeni sana lugha za kejeli katika vifo, huwezi jua unaweza kukuta mwanae au mmoja wa wana familia ni mwana JF! Utasikiaje mtu mwana JF mwenzako amefika na baba yake halafu wewe ulicomment heri fisadi kafa n.k! Ni vizuri kujifunza kuwa mtu akifa anakwenda kuanza maisha mapya ambayo wote ni wageni hivyo ni kumtakia marehemu safari njema na kuwapa pole wafiwa. Hivi unafikiri chuki ya kuwachukia polisi imetoka wapi kama siyo kwenye siasa? Ni bora tukaweka siasa pembeni na kutangaliza utu hata kama marehemu ulikuwa humpendi kwa sababu yoyote iwayo ile jamani.
Umesema kweli,nimeshangazwa na hii chuki hata kwenye kifo,tuache ushabiki wa kisiasa kwnye mambo ya msingi.
 
Inasikitisha. Pamoja na kudhibiti CDM siwezi kufurahia kifo chake kwani mke wake hakuusika wala watoto wake wala mama yake. Ninachojua kuna mwanamke amekuwa mjane, watoto wamekuwa yatima na mzazi kupoteza mtoto wao na ndugu kupotelewa na ndugu yao. zaid sana taifa limepata hasara kwa kuondokewa na mojawapo wa staff aliyesomeshwa kwa kodi za watanzania
 
huyu alikuwa RPC wa Mkoa wa Kilimanjaro...kabla ya kufariki leo asubuhi tayari alikuwa amekwisha staafu Utumishi wa Umma.Pole Ndugu jamaa na Marafiki
 
MWOGOPE Mungu! Huwezi kumtakia kifo mtu mwingine ambaye bado muda wake.

R.I.P Afande Ngoboko. U were a great man tena mcha Mungu!

Kuna watu mi nawaona threat kwa raia. Yan wanaua raia ovyo! "auaye kwa upanga na auwawe kwa upanga"
 
Poleni familia, pole IGP. Tutafutie tu vijana wenye mawazo mapya kwenye nafasi hizi.
 
Back
Top Bottom