RPC Dodoma adai hawakuzuia mkutano wa CHADEMA, walichozuia ni bendera

Jidanganyeni tu ... Wenye chama wanakula kuku na mrija wewe kula kulala unajitia unataka kupambana na Dola....., unafikiri ukipoteza maisha Kwa jambo la kipuuzi ndugu zako watatunzwa na Chadema ....?

Na wewe unafikiri CHADEMA ni bendera? Kama una fikiri hivyo unakosea. CHADEMA ni watu wanaunganishwa na itikadi; siyo viongozi wala bendera.
 
Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma , Lazaro Mambosasa amesema mkutano wa ccm wa july 23 ni wa ndani wala hakuna tatizo lolote kwa kuwa mikutano ya ndani inaruhusiwa na kwamba jeshi hilo litawalinda wanaccm.

Kuhusu jeshi hilo kuzuia mikutano ya CHADEMA , Mambosasa alisema WALIZUIA BENDERA NA SI VINGINEVYO , na kuwa alitoa taarifa ikiwa kamili lakini WAANDISHI WALIPOTOSHA .

Chanzo - Mwananchi.

Nawaomba wapenda haki na amani wote tujadili kauli hii kwa marefu na mapana .

Yaani mkuu wa polisi anaongea kama kalewa
 
Huyo Jamaa wa Dodoma huyo naye zuzu tu. Sasa hapo bendera zina matatizo gani. Kumbe kama mtu hana shule hata uwezo wa kudanganya hana. Si angetumia lugha ambayo inaweza kuwa na ka-ukweli ndani yake mtu anapoisoma!! Kwa maelezo yake hata mtoto mdogo anagundua tu huyu ni shida.
 
Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma , Lazaro Mambosasa amesema mkutano wa ccm wa july 23 ni wa ndani wala hakuna tatizo lolote kwa kuwa mikutano ya ndani inaruhusiwa na kwamba jeshi hilo litawalinda wanaccm.

Kuhusu jeshi hilo kuzuia mikutano ya CHADEMA , Mambosasa alisema WALIZUIA BENDERA NA SI VINGINEVYO , na kuwa alitoa taarifa ikiwa kamili lakini WAANDISHI WALIPOTOSHA .

Chanzo - Mwananchi.

Nawaomba wapenda haki na amani wote tujadili kauli hii kwa marefu na mapana .

Naona wanaanza kubadili upana wa goli!.

CHASO nao walikuwa wanafanya mikutano nje?

Bendera ya CHADEMA inakiuka kipengele gani cha katiba?

Tamko hili la huyu jamaa, linauwiano gani na katazo la mikutano ya siasa hadi 2020?

Watawalinda wana ccm kwa alama gani waliyonayo?

Hii ni dalili ya kuvimbiwa heshima na ukarimu wa Wtanzania.
 
mmmh...ukifuata akili za hawa utakuwa chizi
Ipo siku watatuambia walimzuia tu mzee wa anga au yule kipenzi cha watanzania.
Kushabikia ile ya kufikirika unaweza kuwa chizi kweli embu tizama mimi hapa nimejikuta naangua kicheko kama chizi baada ya kusoma sababu ya zuio la mikutano ya ukawa.
Hivi na ile graduation iliyoingiliwa na shemeji zangu kumbe kulikuwa kunaondolewa bendera tu.
 
Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma , Lazaro Mambosasa amesema mkutano wa ccm wa july 23 ni wa ndani wala hakuna tatizo lolote kwa kuwa mikutano ya ndani inaruhusiwa na kwamba jeshi hilo litawalinda wanaccm.

Kuhusu jeshi hilo kuzuia mikutano ya CHADEMA , Mambosasa alisema WALIZUIA BENDERA NA SI VINGINEVYO , na kuwa alitoa taarifa ikiwa kamili lakini WAANDISHI WALIPOTOSHA .

Chanzo - Mwananchi.

Nawaomba wapenda haki na amani wote tujadili kauli hii kwa marefu na mapana .
Ni mpya! Ni kali! Na haieleweki! Bendera inazuiliwaje?! Eti mkutano usiwe na bendera japo unajulikana ni wa chama gani?! Kwa sababu na faida gani?! Mbona kila polisi walipoanzisha vurugu za kuwashambulia wanachama wa CHADEMA walitoa amri ya kuwataka watu watawanyike na siyo kuweka chini bendera,?! Maswali ni mengi. Polisi watafakari kabla ya kuongea.!
 
Magari ya polisi yamezingira African dream kuzuia mahafali ya Chaso Dodoma Kwa madai yakukosa kibali

===========

UPDATES;

===========

POLISI WATAWANYA MAHAFALI YA WANAFUNZI WA
CHADEMA WA VYUO VIKUU VYA DODOMA

Jeshi la Polisi mkoani Dodoma leo limewatawanya wanafunzi ambao ni wafuasi wa Chama cha Chadema wanaosoma vyuo vikuu mkoani humo walikuwa wakishiriki hafla ya mahafali katika Hotel ya African Dream.

Katika hafla hiyo mgeni rasmi alitalajiwa kuwa Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ambapo baadhi ya wanafunzi walikamatwa baada ya kuwambiwa watawanyike na kurudi majumbani kwao.

img-20160618-wa0048-jpg.357614

img-20160618-wa0054-jpg.357616

Jeshi la Polisi mkoa wa Dodoma limewasambaratisha wanafunzi wa vyuo vikuu wanachama wa Chadema ( Chadema Students Organization -CHASO ) waliokuwa wakishiriki hafla ya mahafali katika Ukumbi wa African Dreams ulipo Area D mjini Dodoma.

Katika hafla hiyo mgeni rasmi alitarajiwa kuwa Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ambapo baadhi ya wanafunzi wamekamatwa baada ya kuwambiwa watawanyike na kurudi majumbani kwao.

Polisi wamesema mikusanyiko yote ya kisiasa ilishapigwa marufuku, hivyo hata mahafali hiyo ilikuwa batili
 
Kuna kila dalili sasa nchi yetu,utawala wa sheria umekuwa msamiati mkubwa sana!Hatusimamii sheria zetu wenyewe tuliyojiwekea,hivyo,tumepoteza sifa ya nchi yenye "utawala bora " na yenye "kusimamia inachokiamini".Hatuoni shida kudanganya na kutoa kauli tofauti tofauti bila aibu.Tumepoteza "utu" kwa tamaa zetu. Zamani ilikuwa jambo la kujivunia kusimamia maadili ya kazi na weledi ili kuweka alama za utawala uliotukuka na wa kujivunia .Lakini siku hizi mambo ya "ovyo ovyo" ndo tunajivunia na kuweka makundi kana kwamba tunashabikia mpira.Maadili huanzia moyoni.
 
Dah bado nasubir tamko lingine naona analikwepa huyu polis, angesema mamlaka za juu ndio zilipinga huo mkusanyiko, na yeye akafuata order hiyo bhaaass
 
Back
Top Bottom