Wewe utaishi milele.JichanganyeView attachment 364252

Jidanganyeni tu ... Wenye chama wanakula kuku na mrija wewe kula kulala unajitia unataka kupambana na Dola....., unafikiri ukipoteza maisha Kwa jambo la kipuuzi ndugu zako watatunzwa na Chadema ....?
Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma , Lazaro Mambosasa amesema mkutano wa ccm wa july 23 ni wa ndani wala hakuna tatizo lolote kwa kuwa mikutano ya ndani inaruhusiwa na kwamba jeshi hilo litawalinda wanaccm.
Kuhusu jeshi hilo kuzuia mikutano ya CHADEMA , Mambosasa alisema WALIZUIA BENDERA NA SI VINGINEVYO , na kuwa alitoa taarifa ikiwa kamili lakini WAANDISHI WALIPOTOSHA .
Chanzo - Mwananchi.
Nawaomba wapenda haki na amani wote tujadili kauli hii kwa marefu na mapana .
Huyo Jamaa wa Dodoma huyo naye zuzu tu. Sasa hapo bendera zina matatizo gani. Kumbe kama mtu hana shule hata uwezo wa kudanganya hana. Si angetumia lugha ambayo inaweza kuwa na ka-ukweli ndani yake mtu anapoisoma!! Kwa maelezo yake hata mtoto mdogo anagundua tu huyu ni shida.Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma , Lazaro Mambosasa amesema mkutano wa ccm wa july 23 ni wa ndani wala hakuna tatizo lolote kwa kuwa mikutano ya ndani inaruhusiwa na kwamba jeshi hilo litawalinda wanaccm.
Kuhusu jeshi hilo kuzuia mikutano ya CHADEMA , Mambosasa alisema WALIZUIA BENDERA NA SI VINGINEVYO , na kuwa alitoa taarifa ikiwa kamili lakini WAANDISHI WALIPOTOSHA .
Chanzo - Mwananchi.
Nawaomba wapenda haki na amani wote tujadili kauli hii kwa marefu na mapana .
Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma , Lazaro Mambosasa amesema mkutano wa ccm wa july 23 ni wa ndani wala hakuna tatizo lolote kwa kuwa mikutano ya ndani inaruhusiwa na kwamba jeshi hilo litawalinda wanaccm.
Kuhusu jeshi hilo kuzuia mikutano ya CHADEMA , Mambosasa alisema WALIZUIA BENDERA NA SI VINGINEVYO , na kuwa alitoa taarifa ikiwa kamili lakini WAANDISHI WALIPOTOSHA .
Chanzo - Mwananchi.
Nawaomba wapenda haki na amani wote tujadili kauli hii kwa marefu na mapana .
Ipo siku watatuambia walimzuia tu mzee wa anga au yule kipenzi cha watanzania.mmmh...ukifuata akili za hawa utakuwa chizi
Ni mpya! Ni kali! Na haieleweki! Bendera inazuiliwaje?! Eti mkutano usiwe na bendera japo unajulikana ni wa chama gani?! Kwa sababu na faida gani?! Mbona kila polisi walipoanzisha vurugu za kuwashambulia wanachama wa CHADEMA walitoa amri ya kuwataka watu watawanyike na siyo kuweka chini bendera,?! Maswali ni mengi. Polisi watafakari kabla ya kuongea.!Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma , Lazaro Mambosasa amesema mkutano wa ccm wa july 23 ni wa ndani wala hakuna tatizo lolote kwa kuwa mikutano ya ndani inaruhusiwa na kwamba jeshi hilo litawalinda wanaccm.

Magari ya polisi yamezingira African dream kuzuia mahafali ya Chaso Dodoma Kwa madai yakukosa kibaliKamanda wa polisi mkoa wa Dodoma , Lazaro Mambosasa amesema mkutano wa ccm wa july 23 ni wa ndani wala hakuna tatizo lolote kwa kuwa mikutano ya ndani inaruhusiwa na kwamba jeshi hilo litawalinda wanaccm.
Kuhusu jeshi hilo kuzuia mikutano ya CHADEMA , Mambosasa alisema WALIZUIA BENDERA NA SI VINGINEVYO , na kuwa alitoa taarifa ikiwa kamili lakini WAANDISHI WALIPOTOSHA .
Chanzo - Mwananchi.
Nawaomba wapenda haki na amani wote tujadili kauli hii kwa marefu na mapana .
Inasikitisha sana !Tehe.. Ccm acheni kudhalilisha police wetu.
Come down please!Nizuieni nisitukane