Rostam, Mkapa kuungana kampeni za CCM Igunga

Tatizo lenu hamuunganishi doti. kumbukeni mkapa ndo aliyemweka Rostam kuwa mweka hazina wa chana na Kikwete akaja akamtoa na kumweka amos makala. kwa hiyo kupitia kwa mkapa wanaigunga watajua huyu ni swahiba wa mbunge wao waliyekuwa wakimpenda no matter iwe kwa pesa zake au kwa vyovyote vile iwavyo. kwa hiyo mkapa is the right choice at a right time and right place kwa ccm.
Natamani kama ccm wangelipoteza hilo jimbo. it could sound good. walk up wapinzani.

Kumbukumbu zangu hazinipeleki huko na Marehemu Mbatia alikuwa mweka hazina kipindi gani? Nahisi Rostamu alikuwa mwekahazina miaka mitano ya kwanza ya JK na pia hakuimaliza miaka yote. Mhesh Mangula aliondoka na sekretariat ya chama karibu yote baada ya awamu ya Mkapa kwisha. Hapo kwenye red naunga mkono kwani ikitokea hivyo katika kipindi kilichobaki pengine itageuka kwa CCM na kuwa wananchi kwanza kuliko ilivyosasa ambapo matajiri na wawekezaji kwanza wenye nchi baadaye

ChiefmTz, kinachofanya useme hoja ni vya visingizio nini? Kwanini usione kuwa defensive mechanism ni ile ya kumuondoa OCD wa Igunga kwenda kummpumzisha Tabora kabla muda wake wa kustaafu? Tena kafanyiwa hivyo baada ya kupuuza barua iliyotoka CCM ikimtaka adhibiti operation Sangara ya CHADEMA iliyoanza kwa kishindo kikubwa tar 24/7/2011 kwenye kiwanja kilicho mbele ya ofisi ya CCM wilaya? Kwanini usione kuwa ni defensive mechanism kumuhamisha manager wa NMB Igunga Branch kisa eti nichagga kwa hiyo atakampenia CDM, habari hizi sio siri bali ni public knowledge hapa Ig. Kwanini usione kuwa ni defense mechanism kitendo cha DED Magayane kuwa na mahusiano binafsi yasiyo matakatifu na Bi Neema ambae ndie Katibu wa Wilaya wa CCM Igunga? (wala sio siri kamwe, everybody here knows) Kamati ya bunge ya Mrema ilipofanya ukaguzi hapa ilimpata Magayane na hatia ya ufisadi katika ujenzi wa kipande cha lami cha kuelekea Halmashauri, iliamuriwa asimamishwe kazi, kila mtu hapa Igunga anajua hivyo, ghafla wiki iliyopita karejeshwa kwa masharti hayo, hiyo sio defence mechanism ya ruling system? Ukitaka kujua habari hizi zinavyovuja ni kuwa ndani ya CCM kuna mpasuko mkubwa, a huge conflict of interest, kuna upande unataka kuhakikisha CCM inashindwa Igunga, na sie kina Julian Asange wadogo tunasubiri kuzidaka kama paka anavyosubiri kwenye tundu la kutokea panya. Hebu imagine CCM ikipoteza jimbo la Igunga, kisha Chenge nae atangaze kujiuzulu ubunge na Lowasa akitabasamu akisubiri zamu! Thubutu! Wataenda kumramba miguu asijiuzulu kuepusha aibu nyingine, lakini CCM ikishinda Igunga, CCM itapata kiburi cha ajabu, magamba yaliobaki yatang'olewa kwa nguvu. Anyway, taarifa ya vigezo vitakavyotumika kumuengua Mwl Kashindye tumezipeleka kwa makamanda wa CDM, kama tusiporidhika na hatua watakazochukua, basi kuanzia kesho nawaahidi wanajf kuwa nitafungua thread special itakayovitaja waziwazi vipengele vitakavyotumika kumuengua mgombea huyo, tuone kwa uzito wake kama kuna mtu atabisha, wenye kupenda haki wote nina hakika watapanic, bila kujali itikadi za vyama vyao! Natusubiri hiyo kesho mtaona jinsi "WikiLeaks" ya Igunga inavyofanya kazi, potelea mbali na wakaninyonge, nimeshachoka, najua wanajf wengi watahudhuria mazishi yangu! MGUNGA WA IGUNGA HAUKOSI MIBA!
Unawapa Chadema deadline kama nani, wewe umeshatoa taarifa basi iache intellijensia ya Chadema ifanye kazi, kuwapangia siku ni kama unataka kulitia maji tembo, wakati wa uchaguzi mkuu wengi walikuja kwa mikwala kama yako wakapotezewa.

Na hiyo kaulimbiu kuwa 'tumedhubutu _______' nilidhani ni ya serikali maana niliiona nanenane. Kumbe ni ya magamba?

Umetumwa kupima upepo, huu umbea peleka huko huko kwenye magamba, msiogope kivuli chenu kazi pevu inakuja.
Unaweza kumkataa mjumbe lakini ujumbe usipotezee tunauhitaji kwani ni vema kukawa na tahadhari hata kama hatari haipo

Prakataaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa....DJ...DJ.......wapi Chenge.......wapi Msekwa...........wapi..Lowassa.............wapi..nani vile..Nepi.......Prakataaaaaaaaaaaa Pwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Umeme umekatika.

Nafikiri Mzee Mkapa akatae tu yeye ni presidential figure atajishushia heshima tuu. aendelee na majukumu yake mengine ya kimataifa. kwenye maswala muhimu ya kiuchumi na matatizo yanayoikabili nchi hawamwiti afu wanamwita kwenye upuuzi baada ya kuharibu kupindukia. Mzee endelea na mipango yako ya kimataifa.

Huyo kawaida yake alishaenda Temeke akiwa mdarakani kumpigia kampeni Cisco Mtiro na bado Mrema akaibuka kidedea, kwa hiyo kuja kwake ni dalili nzuri.

Nadhani atakuwa ni msaada mkubwa sana kwa CCM. Huyu mzee huwa haogopi mtu yeyote, nakumbuka alivyodiriki kuwaita Chadema KOKOTO pale Jangwani. Chadema walilalamika sana lakini jamaa hata hakuogopa.

hata yeye pia haogopwi na mtu, unafikiri bado ataendelea kuwaita chadema kokoto this time, lets wait and see.

mimi na kauli mbiu tu, hawa magamba kweli choka mbaya leo hii wameshasahau ile kauli mbiu yao ya ANGUKA i.e Ali zaidi, NGUvu zaidi KAsi zaidi.
Sasa hiyo kauli mbiu yao mpya ina maana wamethubutu na wanasonga mbele kutafanya nini watanzania

Ni mkapa yupi huyo! Ben Mkapa wa ccm!?
Huyu aliyejibinafsishia kiwira kwa 70mil baada ya psrc kudhaminisha kwa 700mil?
Ni huyu ambaye baada ya miaka mi3 tu ikulu Mrema akasema amehongwa 500mil na alipomshtaki akashindwa kesi!?
Ni huyu aliyejiuzia nyumba ya serikali masaki kwa 60mil baada ya kuikarabati kwa 60bil!?
Ni huyu serikali yake ilisema hata tukila nyasi, lazima anunuliwe ndege!?
Ni huyu aliyewavua uraia watanzania waliokuwa wakipingana na utawala wake!?
Ni huyu aliyesema anaingiliwa na waingereza waliposema rada imenunuliwa kifisadi!?
Ni huyu ambaye serikali yake chini ya Chenge waliingia mikataba yote ya kinyonyaji ya madini!?
Ni yupi huyo?
Au ni Ken Mkapa wa Yanga!
Kama ni yeye basi amejisahau sana maana alisema hataongea kitu kwa kuwa huwezi kuzuia mtu kusikia ila kuongea ni maamuzi yake!
Hebu ngoja tumsikie!

Hapo kwenye red vipi tena?

Nadhani atakuwa ni msaada mkubwa sana kwa CCM. Huyu mzee huwa haogopi mtu yeyote, nakumbuka alivyodiriki kuwaita Chadema KOKOTO pale Jangwani. Chadema walilalamika sana lakini jamaa hata hakuogopa.

Kwa hiyo unamaanisha kuwa Jakaya Mrisho Kikwete mwenyekiti wenu wa magamba ni mwoga na ameogopa kwenda kukabiliana na Chama dume CDM. Haya Mwita 25 , mwenyekiti wako amekusikia.

Nahisi wameamua kumtumia Mkapa akawasaidie kujisafisha; Lakini kama Mkapa kweli analion ahili kwa jicho la pili ni vema akajitoa awaache wenyewe!! Nina hakika MAKOMBORA ya Dr. Marando, Dr. Slaa, Zitto, na wengine hatayaweza! NI AIBU KWAKE, NI BOR ATULIE....

Kila chama kina uwezo wa kuwatumia makada wao hata sie twaweza mpeleka shibuda je

Hakuna kilichobadilika Igunga na Tabora yote kwa ujumla. Mkoa ule wanachagua vyama sio watu. CCM iko juu sana kule ikifuatiwa na CUF kwa mbali. Tukumbushane baada ya tarehe ya uchaguzi huu mdogo.

Ni mkapa yupi huyo! Ben Mkapa wa ccm!?

Huyu aliyejibinafsishia kiwira kwa 70mil baada ya psrc kudhaminisha kwa 700mil?

Ni huyu ambaye baada ya miaka mi3 tu ikulu Mrema akasema amehongwa 500mil na alipomshtaki akashindwa kesi!?

Ni huyu aliyejiuzia nyumba ya serikali masaki kwa 60mil baada ya kuikarabati kwa 60bil!?

Ni huyu serikali yake ilisema hata tukila nyasi, lazima anunuliwe ndege!?

Ni huyu aliyewavua uraia watanzania waliokuwa wakipingana na utawala wake!?

Ni huyu aliyesema anaingiliwa na waingereza waliposema rada imenunuliwa kifisadi!?

Ni huyu ambaye serikali yake chini ya Chenge waliingia mikataba yote ya kinyonyaji ya madini!?

Ni yupi huyo?

Au ni Ken Mkapa wa Yanga!

Kama ni yeye basi amejisahau sana maana alisema hataongea kitu kwa kuwa huwezi kuzuia mtu kusikia ila kuongea ni maamuzi yake!

Hebu ngoja tumsikie!

wizi wa EPA ulifanyika wakat wa utawala wake.. Hana jipya la kuisaidia CCM

Back
Top Bottom