Mheshimiwa Rostam Aziz tunakuomba uiangalie kampuni yako ya New Habari,hali sio nzuri,hatulipwi mishahara yetu huu ni mwezi wa tatu hatujalipwa mishahara yetu na suala lingine ni pesa zetu za PPF hazipelekwi na zinakatwa kila mwisho wa mwezi,tunakuomba uweke mkono wako wa baraka katika hii kampuni,watu wote wamechan​ganyikiwa,huyo CEO ndo kabisa hajielewi,fikiria hili suala kwa umakini.