Basi huyu chacha ni mtu hatari, duh anawatukana matusi ya nguoni na kutaka kuwapiga baadhi ya viongozi wenzake! Kama hii habari ni ya kweli na kweli tupu basi huyo sio kusimamishwa tu, bali anafaa kufukuzwa hata uanachama.
Hafai kuwa kiongozi wa wananchi, kiongozi mzuri haongozwi na jazba, bali ni msikivu, mvumilivu na anayeshaurika.
Mama, huyu jamaa pamoja na kuwa simjui anaelekea ni muhuni tu asiyetaka kufuata taratibu zilizowekwa ili kutatua matatizo yaliyokuwepo ndani ya chama hicho.
Ukiwaangalia watu kama Zitto, Lissu na Dk Slaa wanaonekana ni waungwana na mbao wako tayari kumaliza matatizo ndani ya chama hicho, lakini hii njemba kwa kuwa imepandikizwa na CCM basi inataka kuhakikisha kabla ya kuondoka inavuruga kila kitu ndani ya CHADEMA.
Mkuu PM,
Maneno yako mengi ni mazito sana, lakini inasikitisha sana kwamba mtu kama huyu mliweza kumpa umakamu wa mwenyekiti, tena miezi saba tu iliyopita that does not make a sense,
Haiwezekani kuwa Wangwe amefanya haya unayosema katika kipindi cha miezi saba tu, ni lazima amekuwa na hizi tabia siku zote, na hapa kwenye maneno yako mengi hakuna unapoonyesha Rostam kuhusika na kumpa Wangwe ubunge, au umakamu wa mwenyekiti wa Chadema,
Leo nimesikiliza kwa makini maneno ya Lisu na Wangwe, Yes Wangwe anaonekana kuwa ni mwanasiasa kuliko nyinyi wengine kwa sababu pamoja na matatizo mengi aliyonayo, bado kwenye Radio anaonekana kuwa more credible kuliko upande wenu, unless the man ana two different personalities,
Mwanasiasa yoyote mzuri ni yule anyeweza kueleza tatizo la ndani la chama chake bila ya kuiongeza ukubwa kuliko ilivyo, in the process anafanikiwa kuipunguza makali ishu kubwa na kuonekana ndogo sana mbele ya umma, ili kutoa nafasi ya tatizo kutatuliwa kwa urahisi ndani ya vikao vya chama, kwa sababu ishu ikishafanywa kubwa kwa mbele jamii kuliko ilivyo, basi itakuwa vigumu hata kuitatua ndani ya vikao, kwenye hili Wangwe makes more sense na he comes accross as a credible leader, ingawa kwa wale tunaomjua kidogo kisiasa tunajua kuwa ni magirini, lakini huwezi ku-denial kuwa the man is a true politician kwa sababu anaonekana kuwa mzima sana kwenye propaganda,
Ninarudia kuwa next time Chadema, mtakapokaa chini please mjaribu kuyatatua bila kuyaleta kwenye media, mtakisaidia sana chama hiki ambacho kwa kweli tunakihitaji sana kwa wakati huu wa mapambano ya mafisadi, sawa Rostam ni another problem of our nation lakini sio yeye aliyempa Wangwe umakamu wa mwenyekiti huko Chadema.
Ahsante Wakuu!
Namba ya Chiku Abwao, Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema, ni +255754831499Kama unabisha kuwa Chacha hakuamka kutaka kumpiga Tundu Lissu au kama hakumtukuna Chiku aku kusema lugha mbaya kwa Baregu hebu waulize wahusika niliowataja. Wote hawa nimeongea nao kuthibitisha habari yangu. Chacha 0782488133, au 0713488133. Tundu Lissu 0754447323 na Baregu 0713506382. Mtu pekee ambaye sijampata ni Chiku Abwao. Mwenye namba ya Mama Chiku anipatie tafadhali
PM
Mkuu PM,
Maneno yako mengi ni mazito sana, lakini inasikitisha sana kwamba mtu kama huyu mliweza kumpa umakamu wa mwenyekiti, tena miezi saba tu iliyopita that does not make a sense,
Ahsante Wakuu!
Namba ya Chiku Abwao, Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema, ni +255754831499
unaweza kuwa na bio ya huyu jamaa wangwe?
Mkuu mambo vipi? Nakubaliana na yote uliyoyasema, lakini tukumbuke kwamba mtu akitaka kuingia mahali kwa nia ya kuvuruga basi anaweza kabisa kujifanya muungwana na muadilifu wa hali ya juu. Akishaingia atasubiri mpaka pale wale waliomo ndani waonyeshe wana imani naye na kutomshuku ili apate nafasi ya kuifahamu mikakati yote ya chama. Akishafanikiwa tu basi hapo ndipo anapoanza kufanya yale yaliyomfanya aingie ndani ya chama hicho.
Mkuu Heshima mbele,
Mimi mkuu ninaifahamu siasa na wanasiasa, wanaposema uongo ninajua na wanaposema ukweli ninajua, lakini kwenye hili Wangwe has a point tena nzito sana anaposema kuwa ameijenga sana Chadema toka Tarafa, Wilaya mpaka Mkoa wa Musoma, na ndio maana ameweza kufikia kuwa makamu, tukubaliane kama watu wazima hapa kuwa the man on this ana point nzito sana, kwa sababu haiwezekani kuwa Rostam alikuwa anamsaida huko kote kwenye tarafa, tukubaliane kuwa Rostam atakuwa amemuingia majuzi baada ya kuona opportunity hii,
kwenye hili la kwamba Wangwe ana nia mbaya na Chadema hoja sio nzito toka sana toka kwa viongozi wa Chadema, na hasa hoja ya Wangwe kupandikizwa kwa kweli haina mvuto kabisaa, kwa sababu haiwezekani kuwa CCM na Rostam ndio walioamua kuwa Wangwe awe makamu wa Chadema, kama ninaielewa vizuri hii ishu inaonekana CCM wamemrukia baada ya kuona mwanya hivi majuzi, maana kumbuka kuwa CCM sio chama cha kusaidia vilema ni chama cha siasa chenye lengo moja kuu la kutawala na mengine baadaye.
CCM has nothing to do na hii ishu, haya ni makosa ya uongozi wote wa ndani wa Chadema, ninarudia tena kuwa ni viongozi wote wakuu wa ndani wa Chadema ndio wenye hiii responsibility sio CCM, hiyo ni very cheap political tactic, kama ni Wangwe na urafiki na viongozi wa CCM hilo halkiwezi kabisa kuwa ishu kwa sababu ninawajua viongozi weengi wa Chadema, ambao ni marafiki na viongozi wa CCM, na bado haiwazuii kufanya kazi zao za kupigana na ufisadi.
Chadema wajisafishe wenyewe na hili la Wangwe, hili ni lao wamelikoroga tena la moto!
Basi huyu chacha ni mtu hatari, duh anawatukana matusi ya nguoni na kutaka kuwapiga baadhi ya viongozi wenzake! Kama hii habari ni ya kweli na kweli tupu basi huyo sio kusimamishwa tu, bali anafaa kufukuzwa hata uanachama.
Hafai kuwa kiongozi wa wananchi, kiongozi mzuri haongozwi na jazba, bali ni msikivu, mvumilivu na anayeshaurika.
Mkuu Heshima mbele,
Mimi mkuu ninaifahamu siasa na wanasiasa, wanaposema uongo ninajua na wanaposema ukweli ninajua, lakini kwenye hili Wangwe has a point tena nzito sana anaposema kuwa ameijenga sana Chadema toka Tarafa, Wilaya mpaka Mkoa wa Musoma, na ndio maana ameweza kufikia kuwa makamu, tukubaliane kama watu wazima hapa kuwa the man on this ana point nzito sana, kwa sababu haiwezekani kuwa Rostam alikuwa anamsaida huko kote kwenye tarafa, tukubaliane kuwa Rostam atakuwa amemuingia majuzi baada ya kuona opportunity hii,
kwenye hili la kwamba Wangwe ana nia mbaya na Chadema hoja sio nzito toka sana toka kwa viongozi wa Chadema, na hasa hoja ya Wangwe kupandikizwa kwa kweli haina mvuto kabisaa, kwa sababu haiwezekani kuwa CCM na Rostam ndio walioamua kuwa Wangwe awe makamu wa Chadema, kama ninaielewa vizuri hii ishu inaonekana CCM wamemrukia baada ya kuona mwanya hivi majuzi, maana kumbuka kuwa CCM sio chama cha kusaidia vilema ni chama cha siasa chenye lengo moja kuu la kutawala na mengine baadaye.
CCM has nothing to do na hii ishu, haya ni makosa ya uongozi wote wa ndani wa Chadema, ninarudia tena kuwa ni viongozi wote wakuu wa ndani wa Chadema ndio wenye hiii responsibility sio CCM, hiyo ni very cheap political tactic, kama ni Wangwe na urafiki na viongozi wa CCM hilo halkiwezi kabisa kuwa ishu kwa sababu ninawajua viongozi weengi wa Chadema, ambao ni marafiki na viongozi wa CCM, na bado haiwazuii kufanya kazi zao za kupigana na ufisadi.
Kuhusu CV ya Wangwe hilo sitaligusa kabisaa tena nashangaa sana wewe mkuu kulileta hapa kwa sababu sasa tukigusa CV za wengine itakuwaje?