Kwanini Chadema hawafanyi Kumbukizi la Chacha Wangwe aliyekufa wakati wa Mkutano wa Bunge akiwakilisha Tarime na Chadema?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,129
Nilikuwa naangalia clip ya ziara ya makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu kwenye kaburi la Balozi Kasanga Tumbo

Tundu Lisu alisema ni vema pakawepo na Kumbukizi la Balozi Kasanga Tumbo kila mwaka kutokana na mchango wake mkubwa kwa Taifa

Ndio nikaukumbuka pia mchango wa kamanda Chacha Wangwe na hata yule Mawazo wa Geita

Mlale Unono!
 
Unakumbuka wakati Wangwe anafariki kwa ajali, dreva aliyekuwa anaendesha gari alikuwa nani?!
 
Yule hakuwa tofauti na supreme leader TCA! Bonge la mnafiki na ndumilakuwili!
 
Mtoa mada umewapiga watu hapa si mchezo, watakuja na matusi yote. Zitto kabwe wameshindwa kumuondoa wamebaki kumzushia tu kila siku. Ila alipangiwa km chacha
 
Nilikuwa naangalia clip ya ziara ya makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu kwenye kaburi la Balozi Kasanga Tumbo

Tundu Lisu alisema ni vema pakawepo na Kumbukizi la Balozi Kasanga Tumbo kila mwaka kutokana na mchango wake mkubwa kwa Taifa

Ndio nikaukumbuka pia mchango wa kamanda Chacha Wangwe na hata yule Mawazo wa Geita

Mlale Unono!
Juma Lokole wa JF katika ubora wako. Mbona CCM hamjafanya kumbukizi ya Horace Kolimba?
 
Nilikuwa naangalia clip ya ziara ya makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu kwenye kaburi la Balozi Kasanga Tumbo

Tundu Lisu alisema ni vema pakawepo na Kumbukizi la Balozi Kasanga Tumbo kila mwaka kutokana na mchango wake mkubwa kwa Taifa

Ndio nikaukumbuka pia mchango wa kamanda Chacha Wangwe na hata yule Mawazo wa Geita

Mlale Unono!
MBONA CCM IMEFIWA NA WENGI TU HAIFANYI HIVYO? WAMEKUFA MAWAZIRI
MAKATIBU WAKUU
WAKURUGENZI
WABUNGE
MZEE JECHA
WENYEVITI WA CCM MIKOA NA WILAYA?
 
Back
Top Bottom