tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,199
Fuatilia nani anaongoza kwa kulipa kodi serikalini Ni mohamed Dewji kiasi 3.3Trillions kwa mwaka...Unafikiri yuko hapo Juu kwa bahati mbaya?Forbes hua hawabahatishiAna hela ana hela halafu ana hela tena. Siyo mtu wa makando kando, siyo mtu wa madili japo ilitumika nguvu kubwa kumchafua.
Aziz ni akili kubwa sana, tayari ashanunua shirika lenye ndege nyingi zaidi TZ. Nani mwingine ana jeuri hiyo?
Jamaa ni smart sana, kimavazi na upstairs.
Vijana wa TZ tuna la kujifunza hapa.