Rostam ni Mfalme na mwamba hapa Tanzania

Victoire

JF-Expert Member
Jul 4, 2008
24,176
56,688
Sasa Taifa gesi wanakwenda kuwa provider wa energy kwa kila mtanzania masikini na Tajiri. Ila tuwe positive jamani Rostam ni mwamba yeye anafit kwa kila Rais.

Sasa wizara nzima ya Nishati ni Rostam. Rostam oyee. Tujifunze kwa huyu mwamba.

Tuna kitu cha kujifunza kwa Rostam Aziz. Binafsi nimejifunza kwake unyenyekevu as long as mtu unakuwa na objectives zako. Tuache lawama jamani.
 
Sasa Taifa gesi wanakwenda kuwa provider wa energy kwa kila mtanzania masikini na Tajiri.Ila tuwe positive jamani Rostam ni mwamba yeye anafit kwa kila Rais. Sasa wizara nzima ya Nishati ni Rostam. Rostam oyee. Tujifunze kwa huyu mwamba.
Umeandika kama unakimbizwa. Hebu kaa chini tulia andika habari yako kwa kina na ieleweke.

Au kama una chanzo ni vizuri ukakiweka tujisomee wenyewe

Pia punguza uchawa/uteam sikuzote unaporipoti
 
Tusikubali awe na Monopoly kwenye gas, na pia tusikubali hawa Matajiri waungane dhidi yetu, kama yalivyo haya Makampuni ya Simu za mikononi, yanayotutesa na bei za Bando.


Soko la Nishati liwe huria ili tuwe tunachagua ya bei nafuu.
 
Nataka mwenye ufafanuzi wa hili

Taifa Gas wanakwenda kuwa provider wa energy kwa kila mtanzania

Maana huyu mleta uzi ndio kaandika hivyo sijamwelewa kabisa
Kwa juu juu tu, Taifa Gas ndio wadhamini wakubwa wa Kongamano hilo, ambapo Lina lengo la kutumia gesi kama ni Nishati safi kupikia...

Hata zile ziara za Waziri wa Nishati na mitungi ya gesi ilidhaminiwa na Taifa Gas...
 
Tusikubali awe na Monopoly kwenye gas, na pia tusikubali hawa Matajiri waungane dhidi yetu, kama Makampuni haya ya Simu za mikononi yanayotutesa na bei za Bando.


Soko la Nishati liwe huria ili tuwe tunachagua ya bei nafuu.

Wanaotutesa ni Mababu zetu waliogundua moto.
Ndo tujifunze kwao.Rostam kafanyaje mpaka kushawishi serikali nzima?
 
Inawezekana ila ana mapepe sana. Anakuwa kama wale waandishi wa habari wanaotaka wawe wa kwanza kuripoti kabla ya wengine. Mwisho wa siku habari zinakuwa hazijitoshelezi
Msamehe amekuelewa.Tunaambiwa mara nyingi tusithubutu kuongea,kutoa ahadi,kuandika au kufanya kitendo chochote tukiwa na aidha huzuni sana au furaha sana.Na hata tukiwa tumelewa.
 
Kiuhalisia Eddo alipata kura nyingi kumshinda magufuli huo ndio ukweli na magufuli anajua uhalisia ndio maana hadi dakika ya mwisho ikabidi awe humble kwa eddo, na Rostam ndio akamrudisha Eddo kundini au umesahau?
Alipata kura nyingi lakini hakuwa presidaa
 
Back
Top Bottom