Rostam Apenya Siasa za Kenya

Vyombo vya habari vinaonesha Sabodo ndio mwenye "kupenyeza rupia" na Rostam anapenyezewa rupia, hapo sasa!

Au ndio "damned if you do, damned if you don't".
Hayo ya "vyombo vya habari vimesema" ndio yanayowafanya wengine wanapotakiwa wapeleke ushahidi wapate kigugumizi na kutapatapa.
 
Haya tuulize Serikali yetu kuwa huyo Rostam ni Mtanzania au Mkenya/ Inaruhusiwa Mtanzania kupiga Siasa Kenya. SERIKALI ANATOA JAMBO GANI KUHUSU HIYO? Jamani huyo Rostam ni SHETANI atakiwi kabisa kwenye Serikali huyo ni MAFIA MKUBWA.
 
Kwani hata habari ya huu uzi imetoka wapi?
Imesemwa kuwa imetoka kwenye gazeti. Kitu kimoja ni msemo niliotoa wa Penye udhia penyeza rupia chengine ni kutoa ushahidi wa matendo ya Rostam na/au Sabodo, mimi nisingeweza, na wala nisingetegemea magezti kuwa ndio ushahidi wangu.
 
To be frank, Raila will never win in Nairobi, will not win in Coast, will not win Nyanza, will not win Rift Valley. he will only win in Lang'ata. Willy Rutto is the favorite President of Kenya believe me!

Joh Nyaga, Gitobu Imanyara kutoka Central n Eastern
province respectvely, Henry Kosgei na Musa Sirma frm
Central rift, Ekwe Ethuro frm nothern rift, William Ole
Ntimama na Joseph Nkaisery frm S.rift. Ali Hasan Joho
na Amason Kingi frm Coast, Fred Gumo na Margret
Wanjiru in Nairobi, Ababu Namwamba na Wyclife Oparanya in Western Province Nyanza na N.eastern sikutajii.
ODM is Realoded

Huyu William Ruto hana tofauti na huyo William Malecela.
 
You sure are out of touch. Nairobi is Raila's turf.
 
Haya tuulize Serikali yetu kuwa huyo Rostam ni Mtanzania au Mkenya/ Inaruhusiwa Mtanzania kupiga Siasa Kenya. SERIKALI ANATOA JAMBO GANI KUHUSU HIYO? Jamani huyo Rostam ni SHETANI atakiwi kabisa kwenye Serikali huyo ni MAFIA MKUBWA.
Rostum anachostahili ni a hot bullet between his eyes! Maybe 2 or 3. Shenzitype!
 
Joh Nyaga, Gitobu Imanyara kutoka Central n Eastern
province respectvely, Henry Kosgei na Musa Sirma frm
Central rift, Ekwe Ethuro frm nothern rift, William Ole
Ntimama na Joseph Nkaisery frm S.rift. Ali Hasan Joho
na Amason Kingi frm Coast, Fred Gumo na Margret
Wanjiru in Nairobi, Ababu Namwamba na Wyclife Oparanya in Western Province Nyanza na N.eastern sikutajii.
ODM is Realoded

Huyu William Ruto hana tofauti na huyo William Malecela.

the guys you've mentioned are just presidential candidates, but the contestants for presidency are William Rutto, Raila Odinga, Kalonzo Musyoka, Musalia Mudavadi and by far we can see William Ole Ntimama trailing hahaaaaa!!!!!!!
 
To be frank, Raila will never win in Nairobi, will not win in Coast, will not win Nyanza, will not win Rift Valley. he will only win in Lang'ata. Willy Rutto is the favorite President of Kenya believe me!

Mungi,
Hizo ndoto zako tu siasa za Kenya ngumu sana.
 
Last edited by a moderator:
rostam kulingana na member mmoja wa hapa jf ni agent wa CIA wa hatari na ndie aliyempiga tafu odinga kufika hapo alipo...so i think he is still on his work

Hata mimi naanza kupata picha halisi! haiwezekani kirahisi tu mwanasiasa na mfanyabiashara wa kawaida kutoka tz kufanikiwa kumweka madarakani mwanasiasa kenya tena kwa utata!!
 
Jamani mumesahau kuwa Isis wote tuu wamoja ndani ya EAC
All the best RA
 
Mkuu Jasusi, I think you haven't read "The Peeling back the Mask" hahaaaaaaaa!!!!!!!!
Nimesoma tu yaliyoandikwa magazetini juu ya hicho kitabu na majibu ya ofisi ya PM. Lakini jamaa aliyeandika anaonekana ametumiwa kum "destroy" Raila. Only time will tell. Usitumie maoni ya mtu mmoja tu kama kigezo cha kumhukumu Raila.
 
rostam kulingana na member mmoja wa hapa jf ni agent wa CIA wa hatari na ndie aliyempiga tafu odinga kufika hapo alipo...so i think he is still on his work
kama ni agent wa CIA,hofu yangu ni mda alioishi tz kwa kusoma udhaifu wa viongozi wa CCM.anaweza akatumia udhaifu huo kufanya fitina za ki-CIA kuzigombanisha hizi nchi mbili(kenya na tz)na hatimaye siku moja zikaingia vitani kwa masilah ya hao mabwana zake-CIA.mtizazmo wangu.
 
rostam kulingana na member mmoja wa hapa jf ni agent wa CIA wa hatari na ndie aliyempiga tafu odinga kufika hapo alipo...so i think he is still on his work

So anafanyakazi kama Dr, Shakil Afridi wa Pakistani ambaye alifanikisha kukamatwa kwa Osama Bin Laden?Lolote linawezekana kwa hawa jamaa,lakini wakishafanikisha(CIA) azma yao watamtekelekeza kama ilivyotokea kwa Osama mwenyewe, huyo Dr Shakil.
 
E waje waulize Tanzania alichokifanya, jamaa ni mfanyabiashara tu ana lengo la kuwapelekea DOWANS halafu mkataba uvunjike adai mabilion kibao.
 
Back
Top Bottom