Rostam Apenya Siasa za Kenya

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Mbunge aliejiudhuru wa jimbo la Igunga Rostam Azizi,inasemekana amepenya kwenye medani za siasa za kenya na kuanza kwa kumuunga Mkono Raila Odinga.
Source@ gazeti la fahamu dira ya mabadiliko,toleo no 199 la juma4 julai 17-23,2012.
 
Raila Odinga alifungua Quality Centre inawezekana pia yupo karibu na bwana Yusuf so i am not surprised.
 
rostam kulingana na member mmoja wa hapa jf ni agent wa CIA wa hatari na ndie aliyempiga tafu odinga kufika hapo alipo...so i think he is still on his work
 
Aangalie Kenya watamu Ulimboka, huko kuna wagonjwa asidhani Tanzania ambapo kuna Maiti.
 
Mbunge aliejiudhuru wa jimbo la Igunga Rostam Azizi,inasemekana amepenya kwenye medani za siasa za kenya na kuanza kwa kumuunga Mkono Raila Odinga.
Source@ gazeti la fahamu dira ya mabadiliko,toleo no 199 la juma4 julai 17-23,2012.

To be frank, Raila will never win in Nairobi, will not win in Coast, will not win Nyanza, will not win Rift Valley. he will only win in Lang'ata. Willy Rutto is the favorite President of Kenya believe me!
 
.
day dream...
Isiokuwasha hujailamba.
we endelea na siasa zako za Bongo hizo za kuchaguliwa mpka mjumbe wa nyumba 10
 
To be frank, Raila will never win in Nairobi, will not win in Coast, will not win Nyanza, will not win Rift Valley. he will only win in Lang'ata. Willy Rutto is the favorite President of Kenya believe me!

stop dreaming, wake up.
 
Mbunge aliejiudhuru wa jimbo la Igunga Rostam Azizi,inasemekana amepenya kwenye medani za siasa za kenya na kuanza kwa kumuunga Mkono Raila Odinga.
Source@ gazeti la fahamu dira ya mabadiliko,toleo no 199 la juma4

Wala haishangazi kwani uhusiano wa wanasiasa na wafanyabiashara ni kama uji na mgonjwa tuu.
 
kati ya watu wenye msimamo na wenye uwezo wa kubadilika ghafla katika siasa zao ni Kenya hakuna kuongana Tshirt,kanga,mbege,kofia na mahindi ya msaada kama hapa bongo jamaa wapo serious ile mbaya
 
HAHAHAHAH I like your answer, umemuambia ukweli kijana wetu. The only National Figure in Kenya is Raila, wote waliobakia ni mataniboi> Rostum is shrewed and smart anajua which Horse to bet on> KUDOS ROSTUM AZIZ
 
Back
Top Bottom