Rostam Apenya Siasa za Kenya

Mbunge aliejiudhuru wa jimbo la Igunga Rostam Azizi,inasemekana amepenya kwenye medani za siasa za kenya na kuanza kwa kumuunga Mkono Raila Odinga.
Source@ gazeti la fahamu dira ya mabadiliko,toleo no 199 la juma4 julai 17-23,2012.
kenya hawana mzaha na watu wambeya wambeya wa kisiasa kama Rostam.wewe muache akamuuliza shehe Logo yaliyompata!
 
Hata mimi naanza kupata picha halisi! haiwezekani kirahisi tu mwanasiasa na mfanyabiashara wa kawaida kutoka tz kufanikiwa kumweka madarakani mwanasiasa kenya tena kwa utata!!
mkuu rost tamu siyo mfanyabiashara wa kawaida
 
Back
Top Bottom