jana niliandika katika ule uzi mwingine ifahamike kuwa makanisa,wakuu wa wilaya na misikiti ni agents wa serikali kufungisha ndoa. Ni lazima waaply serikalini ili wapate kibali cha kufungisha ndoa pamoja na kununua vyeti vya ndoa. mfano sisi waluteri ukifunga ndoa hupewa cheti kingine cha ziada cha ndoa kinachotolewa na kanisa ambacho pamoja na mambo mengine huandikwa maneno "alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe".
Bado naona kuna mambo mengi yanaweza kuchafua zaidi kutokana na hii stori yako. Sitaki kuongea sana, ila inavyoonekana maaskofu an mapadri basi wana mengi yaliyojificha tofauti na waumini wao wengi wanavyowachukulia. Na hili si kwa kanisa katoliki tu bali dini zote.
at early 90's aliomba petition reason ikiwa ni family(Rose na watoto) ,ambayo alijibiwa mwanzoni mwa miaka ya 2000.....sasa if this is the case Slaa alipaswa kulimaliza hili kwa heshima zake na siyo kienyeji ,kwasababu hata majibu ya petition yalimtambua Rose na watoto wake na siyo josephine.Mkuu naanza kukubaliana na nyinyi. Unajua wakati wa John Paul II kuomba petition uliaweza kutumia hata miaka minane kupata.
Na kuanzia mwaka 1980 hadi 1985, John Paul II alizuia kabisa haya mambo ya laicization.
Rose Kamili kachanganyikiwa, amemshindwa Mary Nagu sasa anarukia waume za watu, atulize makalio chini, kama anataka mabwana aende chama cha kijani , wako bwelele wameungua nyuso kwa ARV
Probelm ni kwamba kitabu kitakatifu hakijatoa ruksa ya DIVORCE and there is nobody to change that.
jana niliandika katika ule uzi mwingine ifahamike kuwa makanisa,wakuu wa wilaya na misikiti ni agents wa serikali kufungisha ndoa. Ni lazima waaply serikalini ili wapate kibali cha kufungisha ndoa pamoja na kununua vyeti vya ndoa. mfano sisi waluteri ukifunga ndoa hupewa cheti kingine cha ziada cha ndoa kinachotolewa na kanisa ambacho pamoja na mambo mengine huandikwa maneno "alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe".
Mkuu,
Sisi wakatoliki cha muhimu ni ndoa kama sakramenti iliyoanza kutolewa miaka 2012. Hiki cheti cha ndoa cha kiserikali na kama ni Serikali ya Tanganyika basi kilianza miaka 50 tu iliyopita na hivyo nafasi yake ni ndogo sana kanisani.
Tuna utaratibu wetu na vyeti vyetu kwa sakarament kadhaa kama vile Ubatizo, Kipaimara, ndoa na upadri. Na tunapoviweka ni kwa ajili ya mambo yetu ya kidini ambayo hatujawahi kutaka yawe ya kiserikali au yaingizwe kwenye katiba.
Hivyo, walioleta hicho cheti cha serikali ni serikali yenyewe na sisi Tanzania ikiacha tutaendelea na utaratibu wetu wa miaka 2012 sasa na wala hatutaathirika au kuwafuata Serikali.
Mkuu jamaa nasikia na kisiki cha ***** balaaa, usipime na usithubutu akuguse
at early 90's aliomba petition reason ikiwa ni family(Rose na watoto) ,ambayo alijibiwa mwanzoni mwa miaka ya 2000.....sasa if this is the case Slaa alipaswa kulimaliza hili kwa heshima zake na siyo kienyeji ,kwasababu hata majibu ya petition yalimtambua Rose na watoto wake na siyo josephine.
Mimi sina nia mbaya na huyu mzee ila kwa umri ule kweli haipendezi kukimbizana na wanawake.Kama anataka heshima yake isishuke afanye mambo mengine aachane na pilika pilika na wanawake