Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

Huyu Rose inabidi achukuliwe hatua za kinidhamu ikibidi afukuzwe

Pro-Chadema JF mnakuwa na mapenzi mabaya sana sasa achukuliwe hatua za kinidhamu kwa kosa gani? Madai yake ya msingi.
 
Yaani wana-CHADEMA mna mahaba ya ajabu kama sio ya kushangaza!! Yaani kwenu Dokta Slaa ni kama mungu ambae ni kufukuru kumsema kwa mabaya!!! Tuache ujuha....mapenzi yetu kwenye vyama vya siasa si busara hata kidogo kututia upofu na kujifanya hamnazo!! Jambo la msingi hapa ni kuangalia uhalali wa madai badala ya kuleta siasa!
1. Kweli Dr Slaa amezaa na Bi. Rose?
2. Kweli Dr Slaa amemkimbia Bi. Rose?
3. Kama Na. 1 above ni sahihi, je ni kweli Dr Slaa hatoi matunzo kwa familia yake?...
Mkuu wewe ndiye jaji wa hii kesi?
 
Kuamini kuwa rose anatumiwa ni kukosea na kukimbia hoja.huyu mama wameishi pamoja na wamezaa watoto wawili,kwa nini hatuoni kuwa ni muhimu sana kwa sasa yeye kupata huduma kitoka kwa mume wake.hebu tusome hoja zake kabla hatujaingiza siasa
 
Katika kile kinachoonekana kupunguza kasi ya CDM na kiongozi wake machachari Dr Wilbroad Slaa Mbunge wa viti Maalum wa chama hicho Rose Kamili amekwenda mahakamani kumshtaki Katibu mkuu wake Dr Wilbroad Slaa kwa kile anachopinga uhusiano wa Dr Slaa na mke wake mtarajiwa Josephine Mushumbusi.Katika hati ya mashtaka aliyo nayo Rose analalamikia kutelekezwa yeye na watoto wake wawili baada ya Josephine kuingilia ndoa yao.Anaiomba mahakama itamke uhusiano wa Dr Slaa na Josephine ni batili.
Kuna tetesi zimezagaa Rose Kamili amenunuliwa ili kuvuruga mijakati ya CDM kuiandama serikali ya CCM

Source:Tanzania Daima

Sijui kwa nini umeamua kuandika heading eti mbunge wa Chadema amshtaki Dr Slaa mahakamani...usilipeleke kisiasa ili suala la kifamilia.
 
Pro-Chadema JF mnakuwa na mapenzi mabaya sana sasa achukuliwe hatua za kinidhamu kwa kosa gani? Madai yake ya msingi.
Bora CDM matatizo Kama hayo yanaonekana lakini Kama ni ccm mnamtuma jack zoka kumaliza hiyo issue kwenye ile misitu ya pande
 
Kabla hajajiunga na chadema niliwahi kusema humu kuwa Rose ana pepo la ngono, na pepo lake lilikuwa linamtuma kuzini na mapadre tu. Ni Rose huyu huyu aliyemvua joho Dr. Slaa. Rose leo ukimwuliza Padre Hayuma ni nani, Padre Corneli ni nani wote anawajua mpaka ndani. Kisa cha kuachana kilikuwa wazi mbona?

wewe ndio nyoka kabisa,inaezekana ww ndio unamshauri vibaya slaa ndio mana anatelekeza familia.hoja hapa ni slaa kumrudia mke wake rose
 
Wait a minute! Hao Emiliana na Linus wamezaliwa 1987? Yaani anataka matunzo ya a 25 yrs old man and a woman (manake sio girl tena)? Ama anadai arrears? Mmh, fishy!



Huyo wa kike ni mkubwa kabisaa na Chuo kamaliza, hana mishe yeyote na hii kesi, sema mama ndio anajazwa maneno kupunguza Chama kasi.
 
Dr Slaa, maliza mgogoro na familia yako kaa chini na wanawake wako mzungumze haya maswala ya ndoa yanaitaji hekima sana nikimuangalia Rose Kamili anaonekana muungwana sana mpaka imefikia kwenda mahakamani kuna kitu kafanyiwa kibaya kuhusu watoto wake...Dr Slaa usilete ubabe sio siasa hizo.
 
Dr Slaa, maliza mgogoro na familia yako kaa chini na wanawake wako mzungumze haya maswala ya ndoa yanaitaji hekima sana nikimuangalia Rose Kamili anaonekana muungwana sana mpaka imefikia kwenda mahakamani kuna kitu kafanyiwa kibaya kuhusu watoto wake...Dr Slaa usilete ubabe sio siasa hizo.
Mahakama za kadhi?
 
Bora CDM matatizo Kama hayo yanaonekana lakini Kama ni ccm mnamtuma jack zoka kumaliza hiyo issue kwenye ile misitu ya pande

Wewe acha upofu na Chadema bora ukae kimya kwenye swala ili umeibuka kumtetea Slaa na kumponda Rose Kamili bahati nzuri mie nakujibu kiungwana nakushauri usiwe na upande kwenye swala ili.
 
....Ninaona kuwa inabidi Dr. Slaa atatue matatizo yake ya kifamilia kikamilifu kabla hajaendelea mbele zaidi na harakati za kisiasa kwani hayo ndiyo yatakayomwangusha hasa kwa vile aliingia maisha ya familia baada ya muda mrefu wa celibacy.

Unfortunately mambo kama haya ndiyo yanayoweza kutumika kuvuruga chama chao
. .....
Hapo kwenye red. Mkuu, ingekuwa ni hivyo, basi leo Mandela asingekuwa ameupata urais na hata Jacob Zuma. Mwanasiasa/ Kiongozi thabiti lazima akubali kupita kwenye tanuru la mashambulizi kutoka kwa wapinzani wake.
 
NasDaz Siku si nyingi ukweli utaujuwa na utajutia posti yako hii.
Dr hakumuoa huyo Kamili, na wanao wajuwa wametanabaisha kuwa hawakuwahi hata kukaa pamoja.
Sasa hii ndoa mnayoilazimisha hapa ni ipi?
 
Last edited by a moderator:
Vyema ifahamike, nje ya CDM, wananchi/mimi tafsiri yake ni uasi na kuvuta bulungutu kutoka gamba, awe Dr. Zito au yeyote
 
josephine ana mume wake halali na walifunga ndoa ya kikristo pale kijitonyama lutheran na mumewe ni mfanyakazi wabandari........Rose Kamili ni mke wa Slaa


Endelea kukurupuka...
Enhee Dr Slaa na Rose walifunga ndoa wapi?
Mbona kwa huyo mfanyakazi wa Bandari umetaja mpaka Kanisa walilofungia ndoa?
 
Ndoa ikishakuwa na washauri wengi inakuwa si ndoa tena ni ndoano,inabidi mzee slaa atumie busara ya kiutu uzima alee familia,hii itamjengea heshima kubwa sana ktk jamii.
 
Siku si nyingi ukweli utaujuwa na utajutia posti yako hii.
Dr hakumuoa huyo Kamili, na wanao wajuwa wametanabaisha kuwa hawakuwahi hata kukaa pamoja.
Sasa hii ndoa mnayoilazimisha hapa ni ipi?

Kwa hyo Dr Slaa tangu azaliwe hajawahi kuishi na mwanamke hadi alipoamua kuchukua mke wa mtu mwingine?
 
Gang Chomba Naielewa issue ya ndoa vyema.
Na kuhusu sacrament, nadhani (kuna kila dalili), kuacha upadri kwa Slaa ni kutokana na hii sacrament, ila ndio maana nikasema "au family institution". Kwa hiyo hapo subiri operesheni sangara part 2 ili upate shule nyingine kwani hamna cha maana ulichosema.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom