Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

aliyetumiwa mwingine ni Mushumbusi,ama husomi ninachoandika?Kwenye uongozi bora,Slaa yuko juu.

Kwa hiyo Dr. Slaa si mtu makini kama ameweza kujiingiza kwenye mtego wa ngono ataweza kuimudu ofisi ya raisi wa JMT?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Kwa hiyo Dr. Slaa si mtu makini kama ameweza kujiingiza kwenye mtego wa ngono ataweza kuimudu ofisi ya raisi wa JMT?

Chama
Gongo la mboto DSM
Mkuu ndo maana uliposema anavunja ndoa za watu,nikamtaja huyo Mshumbusi aliyedai kachukuliwa mke na wakati walishatengana.Amekurupuka baada ya kutumiwa,hakuwa anamjali mke wake,yeye ndo aliyemtelekeza mkewe.Slaa ni mtu makini sana tu kwenye kuongoza mapambano dhidi ya udhalimu,issue za mke hazina mantiki,zinatumiwa na maadui wa kisiasa,mara mia Slaa kuliko fisadi yoyote.
 
Jmushi1,
Nakuamini yaani huu ndio ufafanuzi ulionao? Njoo na ufafanuzi tujadili hoja nakusubiri

Chama
Gongo la mboto DSM
Mkuu kama hukutaka apewe ubunge wa kuteuliwa,si ni sawa na kusema ulitaka atelekezwe?Si wewe ulisema amepewa ubunge kumyamazisha?Talking about double standards,huoni kwasababu umeshamjngea chuki na kumuhukumu,sasa nikisema ulitaka atelekezwe kosa langu lipi?
 
jmushi1
Hebu fafanua hapo kwenye red naona jibu unaliona lakini unakwepa ukweli

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu ndo maana uliposema anavunja ndoa za watu,nikamtaja huyo Mshumbusi aliyedai kachukuliwa mke na wakati walishatengana.Amekurupuka baada ya kutumiwa,hakuwa anamjali mke wake,yeye ndo aliyemtelekeza mkewe.Slaa ni mtu makini sana tu kwenye kuongoza mapambano dhidi ya udhalimu,issue za mke hazina mantiki,zinatumiwa na maadui wa kisiasa,mara mia Slaa kuliko fisadi yoyote.

jmushi1;
Nilshakufanunulia maana ya kutengana na kutelekeza, Dr. Slaa aliitelekeza familia yake; vipi umeshapitia waraka wa mtume Paulo kupata ufafanuzi wa ndoa na zinaa? Tunataka tuujadili umakini wa Dr. Slaa; fisadi wa ngono

Chama
Gongo la mboto DSM
 
jmushi1
Hebu fafanua hapo kwenye red naona jibu unaliona lakini unakwepa ukweli

Chama
Gongo la mboto DSM
mkuu naona kama tunazungushana tu,sasa hiyo posti yako nyingine sitoijibu,ni provocations tu,kwasababu kwa unafiki wako,unajidai kusympathise na miss Kamili na huku unadai hakutakiwa kupewa ubunge.Kwasababu wewe nia yako ni kumuhukumu Slaa,hilo sitoweza kukuzuia,bali kukushauri tu kuwa haifai...Na wala hujadili vigezo,unabakia kuattack personalities.
 
jmushi1;
Nilshakufanunulia maana ya kutengana na kutelekeza, Dr. Slaa aliitelekeza familia yake; vipi umeshapitia waraka wa mtume Paulo kupata ufafanuzi wa ndoa na zinaa? Tunataka tuujadili umakini wa Dr. Slaa; fisadi wa ngono

Chama
Gongo la mboto DSM
unautumia waraka wa Paulo kiunafiki,hiyo ndoa na miss Kamili walifunga kanisani?ama unasikia raha tu kumwita hayo majina?only coz hapatani na mafisadi?
 
mkuu naona kama tunazungushana tu,sasa hiyo posti yako nyingine sitoijibu,ni provocations tu,kwasababu kwa unafiki wako,unajidai kusympathise na miss Kamili na huku unadai hakutakiwa kupewa ubunge.Kwasababu wewe nia yako ni kumuhukumu Slaa,hilo sitoweza kukuzuia,bali kukushauri tu kuwa haifai...Na wala hujadili vigezo,unabakia kuattack personalities.

jmushi1,
Hatuzungushani hapa tunachotafuta ni ukweli wa maadili, kama huna hoja ya kumtetea mzinifu; unadhihirisha kuwa wewe ndio mnafiki kwasababu unajua ukweli ila unaukwepa; hapa hakuna personal attacks mwizi ataitwa mwizi kutokana na matendo, yake na mzinifu ataitwa mzinifu kutokana na uchafu wake; mbona nimekupa vigezo vingi tu kutetea hoja yangu; wewe ndio unayeshindwa kuja na vigezo ya kutetea hoja zako "A liar begins with making falsehood appear like truth and ends with making truth itself appear like falsehood."--- William Shenstone

Chama
Gongo la mboto DSM
 
unautumia waraka wa Paulo kiunafiki,hiyo ndoa na miss Kamili walifunga kanisani?ama unasikia raha tu kumwita hayo majina?only coz hapatani na mafisadi?

jmushi1;
Nimekuuliza tu kitu kidogo fanya kama vile unanifundisha nini maana ya ndoa na nini maana ya zinaa pitia kwenye waraka wa mtume Paulo nataka kujifunza neno hilo kutoka kwenye kinywa chako!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu NasDas,huyu mama ametumika katika ku divert attention ya wananchi kwenye issue muhimu za Taifa,tena kwanza ametumika wakati kuna matukio kama hayo ya msitu wa Pande?na wengine kufuatiliwa na usalama wa maisha yao kuwa hatarini?nimemtoa maanani kabisa huyu mama,kwanza si alikuwa ccm huyu?

Mkuu jmushi1,
Hapo ilikuwa ni perfect timing kwa Rose....hakuna cha ku-divert attention hapo!! We ulitaka azuie ndoa ambayo haijatangazwa?! Kwake huu ulikuwa ndio wakati mwafaka kufanya hivyo! Nyie (naamini akina mushi wengi ni wakristo) kabla ndoa haijafungwa huwa mnatangaza kanisani ili kama kuna pingamizi; muhusika aweke pingamizi; si ndio?! Kwahiyo, mtu mwenye pingamizi hawezi kuweka pingamizi kabla ya kutangazwa kwa ndoa; au nakosea?! So, hicho ndicho kilichotumiwa na Rose Kamili. Sizani kama Dr Slaa alikuwa na mpango wa kufunga ndoa kanisani kwavile tayari uhalali wa Josephine kwa Dr Slaa umeshakuwa na shaka tangu kitambo! Kama ndivyo, basi ama ndoa hiyo ingefungwa kimila au kiserikali.....na ndio maana ROse akaamua kwenda kuweka pingamizi huko huko!
 
CDM si chama cha familia, kwamba ukimwona baba ni CDM basi na mke, watoto shangazi na ndugu wengine ni CDM.
Uliowataja wanaweza kuwa ni CDM lakini wanafamilia ni vyama vingine hasa wanawake.
Sasa hao walioteuliwa ndio walikuwa wanachama wakuaminika kwa kiasi kikubwa.
Hapo hakuna swali ni maelezo nadhani ulijichanganya katika majibu yako hapa chini.

Kyaiyembe;
Kauli zako zinajisuta zenyewe; pitia posti nyingi tu sina haja ya kuzirudia wadau wengi wamekuthibitishia labda rudi tena kazikanushe . Tatizo lenu wanachadema mkibanwa kwenye post hamrudi kuzijibu matokeo yake ndio haya ya kurudia rudia maswali

Chama
Gongo la mboto DSM
Na niliyokwambia hapo juu ni ukweli mtupu.
Chama usiandike tu ilimradi umeandika jitahidi kuleta majibu ya hoja, acha kusimamia watu wengine wanachoamini jaribu kuwa wewe! usifuate mkumbo na kujigeuza kipofu kwamba unasikia tu wakati una macho.
 
Shukuru kuwa wanabahati tu na uwezo kidola na kifedha, pia hawajandamwa kisiasa. Lakini ikitokea vinginevyo utaumbuka.
Dr. slaa anteswa na uwezo wake wakuwabana watawala, pia aiba yake kuongezeka kwa watanzania walio wengi hii inawafanya wanaohofia mambo yao kubanwa zaidi waanze kuibua yake.
Soma taratibu unielewe alafu uangalie majibu yako yametokana na nini? maana hayendani na Topic yetu wala hoja yangu sasa je kuna kitu unacho moyoni?.

Hakuna serikali yeyote duniani yenye uwezo wa kuzuia nguvu ya wananchi fuatilia au soma historia ya watawala waliongushwa na wananchi kwa mikono mitupu; wananchi wa Romania walimwangusha dikteta Nicolae Ceausescu; msijidanganye kwa kudai eti serikali ya CCM ipo madarakani ipo madarakani kwa sababu ya dola hiyo si kweli bado wananchi wengi wana imani na serikali yao; kinachomtesa Dr. Slaa ni unafiki au leo hii umesahau Dr. Slaa alikuwa mwanaccm na tunamjua vilivyo?

Chama
Gongo la mboto DSM
Mkuu usiogope CCM kuangushwa kila wakati, hilo laweza kutokea lakini mimi niliongelea uwezo wa viongozi wa CCM kudhibiti madhambi yao yasifunuliwe!.
Ndugu yakifunuliwa utawakimbia, Yamefunikwa kutokana na niliyokuandikia hapo juu (angalia quote kwenye red).
Nikukumbushe yaliyomkuta Mahita? na hii jiulize ilitokana na nini?.
Na kwanini skendo ya Nchemba Igunga ilikufukiwa nzimanzima? au hukusikia ya Adam Malima!.
Sasa subiri siku wakiasi utumwa wao ndiyo itagundua.
Mzee unakumbuka ugomvi uliotokea Ikulu juu ya wapi ifanyike sherehe ya Harusi ya mtoto wa kiume wa First lady aliyepita?.
Zilipigwa kavukavu Mkulu wa kaya goti kwisha na Mamisapu nye mkono kwisha.
 
Hawakuwahi kuishi pamoja lakini walizaa watoto (3?)....you are joking, right?!

Huyu malemo ni mpuuzi sana unajua sometime chadema itauwawa na wana chadema wenyewe wewe unafikiri unamtetea dr kumbe unamuangamiza hio ishu hata ukiiangalia kwa kutumia common sense Dr anatakiwa a sort this isue out, ni isue ambayo itamuafect kiaina kisiasa cos huwezi tatua matatizo ya watu million hamsini kama umeshindwa kutatua matatizo ya watu wanne(family) dr aliisha ishi na yule mama zaidi ya miaka miwili na kuzaa nae and kisheria anachukuliwa kama mkewe, na asiache hio nafasi wapinzani waitumie agaist him hata kama wapinzani wameisha anza kuiexplore hio chance atatue mapema kisheria na kijamii amalizane kuchukua nchi kutoka kwenye chama kilicho kaa madarakani muda mrefu hivyo hakuna mistake ambayo ni ndogo kila mistake inacost
 
Back
Top Bottom