Room Moja Jiko na store

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,930
4,893
Wakubwa katika bwana nahitaji good desing and very good economy ambaye anaweza kunipa hiyo mambo kama jaribio akiweza kuitimiza within budget nampa kazi nyingine ila awe mkweli kwangu uongo sijui siasa sijui ukanjanja aisee sitaki.
nahitaji a good fundi ambaye anaweza jenga a good house ya one room good kitchen na store kwa muda mfupi budget isivuke 5million eneo la ujenzi ni mkoa dodona kama hauwezi usinilazimishe nifuatane na wewe labda uwe na quantitive loggic... Mjenzi atapewa accomodation chakula na mademu atajiwezesha mwenyewe.. siwezi gharamia maambukizi na utoaji wa mimba..
 
Kama hii?
Screenshot_20230106-072248.jpg
 
Njoo pm
 
Tatizo laku unajifanya ujui kiswahili
 
Pictures Hizo Nyumba Ndiyo Unajenga Kwa Millions 3 Imekamilika Yote Unahamia
 
Back
Top Bottom