Ronald Baraka Shelukindo: Nitalichukua jimbo la Bumbuli 2015

Asithubutu.....atachafuka sana......kwanza sio mtoto wa Mzee Shelukindo......ni baba wa kufikia......kwa hiyo kule sio kwao
Mrema temeke kwao
lema arusha kwao
faustine ndugulile kigamboni kwao
...
kumbe kugombea sehemu lazima uwe unatokea huko? kumbe yo yo siwezi kugombea Ilemela kwasababu sio kwetu? kumbe wananchi mnachagua mkwenu na sio sera mathubuti?
 
6. Pendo Kundya sio campaign manager mtarajiwa wa Baraka....

Mkuu,

Huyu Kundya unayemzungumzia ana nasaba yeyote na yule Katibu wa zamani wa Bakwata..Alhajj Rajabu Kundya..Nimeshindwa pia kuelewa ameingia ingia vipi kwenye hii mada.
 
Mkuu,

Huyu Kundya unayemzungumzia ana nasaba yeyote na yule Katibu wa zamani wa Bakwata..Alhajj Rajabu Kundya..Nimeshindwa pia kuelewa ameingia ingia vipi kwenye hii mada.
Alikuwa ni bibi yake Baraka kipindi fulani na huyo binti alitegemea PISHI angepeleka posa KUMBE BARAKA kama kawaida ni mtu kutazama interests zake...sasa huu uvumi umetokea kule kwenye baa ya ma pedeshee wa mujini kule Mikocheni na ulianzishwa na mmoja kati ya jamaa aliyekuwa na ukaribu na Baraka mpaka pale baraka alipofungua saluni yake na kumpora staff.

kujibu swali lako ndiye huyo huyo Pendo mtoto wa Al Hajj Kundya (inasemekana huyu pendo na uislam wenyewe aliacha kipindi fulani ili aolewe na pishi)

Hivyo si kweli kuwa pendo ndiye kampaign manager kwa sababu intellectually she is inferior kwenye mambo hayo na mengineyo so hili halina ukweli wowote ule
 
One think is for sure watu wa BUMBULI (january na Pishi) kwa viwalo tuu mnakubalika wasambaa nyie
 
Wanasiasa wengi Tanzania wanadhania kukaa kimya dhidi ya kashfa zinazoelekezwa kwao ndio njia nzuri ya kutatua.Kwa mtazamo wangu they cause more harm than good,kashfa zinaporudiwa mara kwa mara hata kama ni za uongo watu wanaweza kuziamini.

Kama ni kweli Baraka anataka kuingia kwenye siasa ni bora akaanza kuzitolea ufafanuzi hizi kashfa kuanzia sasa hivi hata kama niza uongo,kuna kipindi itafika watu watakuwa wameshaweka pamba masikioni.Zaidi ya hapo ana nafasi kubwa ya kulikwaa hilo jimbo.

Kila la heri Baraka!
 
One think is for sure watu wa BUMBULI (january na Pishi) kwa viwalo tuu mnakubalika wasambaa nyie
Inaoneka pia mboga na matunda huko vinawasaidia,they look younger, inabidi tumjengee PInda nyumba huko pia..lol
 
Asithubutu.....atachafuka sana......kwanza sio mtoto wa Mzee Shelukindo......ni baba wa kufikia......kwa hiyo kule sio kwao

Kama usemayo nikweli basi ngoma ni droo kwani inasemekana January pia ni mtoto wa kufikia wa Makamba ; alimuoa mama yake akiwa na mimba ya January!!
 
Asithubutu.....atachafuka sana......kwanza sio mtoto wa Mzee Shelukindo......ni baba wa kufikia......kwa hiyo kule sio kwao

He is Shelukindos unless proven otherwise! As long as Mzee Shelukindo accepted him as his son no one can deny him, so next time thinks before you write.

Chama
Gongo la Mboto DSM.
 
Pumbaf kabisa. watanzania na kura zao ndo mtaji. siasa siasa! kwanini asitumie usomi wake kwenye fani yake? mwingine anashauri apewe ukuu wa wilaya pumbaaf kabisa. akishapewa nini kinafuata. hawa vijana knowz nothing about real life. wanafikiria uheshimiwa tu. pumbaaf sana.
 
Amesoma wapi, amesoma na nani hizo hazina mantiki yeyote kwenye siasa za Tanzania.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Hakuna haja ya jazba......wewe huwajui watu wa kule kwa hiyo tulia......nashukuru kunipa wadhifa wa baba yako wa kapuku

........ya mtungi aijuaye kata, umeseme kweli ndugu zangu wanakasumba hiyo labda atumie nguvu nyingine...lakini tunamtakia kila la kheri.
 
Yaani mtu akionyesha nia tu ..................... apate ukuu wa wilaya!!! Ok na mimi nataka nirudi kwetu Misungwi nikagombee 2015..... la sivyo wanipe ukuu wa wilaya!! Au kwa vile yeye ni mtoto wa kigogo siyo!!
Mkuu we unatokea Misungwi sehemu gani? Ka vp 2015 tutakutana
 
Nyie wote bila kuwa wawakilishi Ikulu msingekuwa kwenye vyeo vyenu mlivyo navyo sasa hivi

Woote sio your work ethics iliyowaweka mliko sasa hivi... that's CCM's Who's Who...
 
Alikuwa ni bibi yake Baraka kipindi fulani na huyo binti alitegemea PISHI angepeleka posa KUMBE BARAKA kama kawaida ni mtu kutazama interests zake...sasa huu uvumi umetokea kule kwenye baa ya ma pedeshee wa mujini kule Mikocheni na ulianzishwa na mmoja kati ya jamaa aliyekuwa na ukaribu na Baraka mpaka pale baraka alipofungua saluni yake na kumpora staff.

kujibu swali lako ndiye huyo huyo Pendo mtoto wa Al Hajj Kundya (inasemekana huyu pendo na uislam wenyewe aliacha kipindi fulani ili aolewe na pishi)

Hivyo si kweli kuwa pendo ndiye kampaign manager kwa sababu intellectually she is inferior kwenye mambo hayo na mengineyo so hili halina ukweli wowote ule

huyu RBS alimuacha mataa baada ya kumdanganya wakatoka wote UK eti atamuoa TZ. RBS akawa anatotoza watoto na mtoto wa mjomba wake USA akienda likizo.

Pendo sasa ameolewa na mumewe na she is happy. Ndoa njema binti
 
rbs-logo.jpg

Kumbe Pendo kashaolewa?

Sasa campaign manager wa RBS 2015 atakuwa nani?
 
Pumbaf kabisa. watanzania na kura zao ndo mtaji. siasa siasa! kwanini asitumie usomi wake kwenye fani yake? mwingine anashauri apewe ukuu wa wilaya pumbaaf kabisa. akishapewa nini kinafuata. hawa vijana knowz nothing about real life. wanafikiria uheshimiwa tu. pumbaaf sana.
wanasema its his constitutional right
 
Mkuu,kilichonifurahisha ni kuwa umetunga habari yako,kisha ukaijadili mwenyewe halafu ukatoa na ushauri. Sasa unataka sisi tutoe comments!
OK. Riwaya yako ni nzuri ila si kivile. Usingeweza pata Oscar award kama ingekuwa Holywood. Good try thou

Ha ha ha...word!
 
Back
Top Bottom