Asithubutu.....atachafuka sana......kwanza sio mtoto wa Mzee Shelukindo......ni baba wa kufikia......kwa hiyo kule sio kwao
Tunahitaji majina mapya sasa sio hao wanakuja na ma sir Name
Pamela shelukindo ni dada yake?
Anataka kugombea kwa tiketi ya chama gani? maana kuna vyama hata akipata ubunge hakuna atakalobadilisha1
Mtoto wa aliyekuwa mbunge wa Bumbuli Bwana Shekukindo yuko kwenye hatua za awali za kujiandaa kulichukua jimbo hilo kwenye uchaguzi ujao wa 2015
Ronald Baraka Shelukindo ambaye ni maarufu kama afisa mwandamizi wa DSTV amesema kuwa anayo nia, uwezo na pia mitazamo mibadala kwa ajili ya jimbu hili.
Tatizo kubwa ambalo wachunguzi wa masuala ya siasa za Bumbuli wanasema linaweza kumkabili Ndugu Baraka ni kutojulikana jimboni ambako kijana January amejizatiti vilivyo kwenye ngazi zote.
Lakini hilo linaonekana haliwezi kumtatiza huyu kijana msomi na mcheshi bwana Baraka kwani tayari kashaanza michakato ya kuandaa mpago kambambe wa kuliendeleza jimbo la Bumbuli
Kwa maoni yangu nadhani vizuri kujitokeza lakini ninachouliza kama January anafanya kazi nzuri kwa nini Baraka Shelukindo asipewe ukuu wa wilaya ili wafanye kazi kama timu ya pamoja?
Imagine Baraka Shelukindo + January Makamba for Bumbuli
hamuoni kama ni dream team na wakaaachana na siasa za bufu za wazee wao?
Mbona hata January ni mtoto wa kufikia, Babu Yusufu siyo baba mzazi wa January.
Huyu Bwana mdogo alisoma Ilboru huyu na akina taji Liundi.
Hongera bwana mdogo
Asithubutu.....atachafuka sana......kwanza sio mtoto wa Mzee Shelukindo......ni baba wa kufikia......kwa hiyo kule sio kwao
Asithubutu.....atachafuka sana......kwanza sio mtoto wa Mzee Shelukindo......ni baba wa kufikia......kwa hiyo kule sio kwao
Huyu Bwana mdogo alisoma Ilboru huyu na akina taji Liundi.
Hongera bwana mdogo
Funguka,mwaga ugali tu mwage mbogaHaya mambo matatu inabidi hayatolee ufafanuzi kwanza:
1)Uraia
2)Vyeti
3)nyama ya hamu
La sivyo itakuwa January atakuwa kama anamsukuma mlevi
Sasa kama ni mtoto wa kufikia yeye sio Mtanzania? Acheni kufilisika kifikra kama Mwl. Nyerere alivyosema... as long as one of your parent is your Tanzanian inatosha kugombea UbungeAsithubutu.....atachafuka sana......kwanza sio mtoto wa Mzee Shelukindo......ni baba wa kufikia......kwa hiyo kule sio kwao
Jamani we mchokozi,mi sipo.Haya mambo matatu inabidi hayatolee ufafanuzi kwanza:
1)Uraia
2)Vyeti
3)nyama ya hamu
La sivyo itakuwa January atakuwa kama anamsukuma mlevi