Romy Jones amweleza mke wake akitimiza miaka 10 ya ndoa ataongeza mke mwingine

Frumence M Kyauke

JF-Expert Member
Aug 30, 2021
630
1,245
Romy Jones amewaacha wanamtandao wakimpongeza kwenye mitandao ya kijamii kwa mara nyingine.

Hii ni baada ya kushiriki chapisho hili kuhusu maadhimisho ya ndoa yake ambayo yamesambaa mitandaoni.

Huku akimtakia kila lakheri mkewe, Romy alimwambia kewe kwamba wakitimiza miaka 10 katika ndoa atamuoa mwanamke mwingine.

Swali ni je ni utani au atafanya kile amesema kwenye ujumbe wake?

"MIMI PAMOJA NA MKE WANGU TUNATIMIZA MIAKA MINNE YA NDOA LEO NA MIAKA NANE YA KUA PAMOJAALHAMDULILLAH RABBIL AL AMINYA ALLAH ENDELEA KUTULINDA NA KUTUONGOZA VEMA IN SHA ALLAHWILL ALWAYS LOVE YOU MKE WANGU!!!!TUKITIMIZA MIAKA KUMI NAONGEZA MKE MWINGINE 😁🙂," Aliandika Romy.

Sasa chapisho hili la maadhimisho ya ndoa ya Romy limeenea kwenye mitandao tofauti ya kijamii ambapo, linazua hisia tofauti kwa sasa.

images (12).jpeg
 
Akishindwa kumzalisha mkewe hadi mwakani, anipe kazi nimpe mapacha wanne!!
 
Back
Top Bottom