Romney V Obama (Children love President Barack Obama)

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054

This is Romney:
Romney-2012-Fairfield-Va-2.jpg

This is Obama:
483194_323661354385058_261119803_n.jpg

Children love President Barack Obama
314815_323660221051838_572096054_n.jpg

539599_323661691051691_264327889_n.jpg

522135_323659044385289_842483274_n.jpg

577257_323657074385486_1650874112_n.jpg

483327_323658641051996_231882277_n.jpg

380666_323660961051764_1752835724_n.jpg

205400_323658881051972_1631634576_n.jpg
 
Hivi Obama na J.K. si wako sawa enhee? Si uliambiwa na Late Sheikh Yahya, Kikwete ana rangi ya Obama?
 
Huyu raisi anatupa challenge wababa tulio wengi, ni vyema kuwa karibu na watoto wetu, kiasi kwamba mtoto akimuona baba wa mwenzie atamthamini, kumheshimu na kumpenda kama baba yake tofauti na hali ilivyo hivi sasa. Upendo unaanzia nyumbani katika familia.
 
Hivi Obama na J.K. si wako sawa enhee? Si uliambiwa na Late Sheikh Yahya, Kikwete ana rangi ya Obama?

Watoto wa kimarekani wanampenda Obama kwasababu hawaibii maliasili yao na ndio maana hali yao ni nzuri na wanafuraha; tofauti na watoto wa bongo wanaoshinda na njaa na kukalia matofali shuleni!!
 
Watoto wa kimarekani wanampenda Obama kwasababu hawaibii maliasili yao na ndio maana hali yao ni nzuri na wanafuraha; tofauti na watoto wa bongo wanaoshinda na njaa na kukalia matofali shuleni!!

nimeipanda saaaana
 
Back
Top Bottom