Obama miongoni mwa waliopigwa 'stop' kuingia Urusi

carnage21

JF-Expert Member
Jan 24, 2023
521
1,258
Ijumaa ya tarehe 19/may/ 2023 Urusi ilitoa orodha ya wamarekani 500 ambao imewapiga marufuku kuingia nchini humo na miongoni mwao ni Rais mstaafu Barack Obama.

Orodha hiyo imetolewa na Serikali ya Urusi ikiwa ni kama kulipiza kisasi baada ya serikali ya Rais wa Marekani Joe Biden kuiwekea vikwazo Urusi kwa uvamizi wake nchini Ukraine

Waliopigwa marufuku ni wale wanaoonekana wana nguvu na ushawishi katika serikali ya Marekani na wengi wao ni Maseneta.

Pia wapo waliopo katika serikali ya Biden na vyombo vya dola.

Source: KITENGE BLOG
 
nani anataka kwenda jahanamu? Mpumbavu mtupu. warusi wenyewe wanatamani kukimbia kwenda USA. hata mimi nikipata upenyo mzuri naondoka Africa kenda USA/Western Europe lakini si Russia.
 
Kwani washaendaga Urusi hao!? Kufata nini nchi ya shida shida hiyo muda wote vita
so wewe ulitaka obama aoneshwe kwenye bibithii na thien eni .ndio uamini kuwa jamaa anaendaga huko .....
mbona baada ya obama kuja TZ tulimuona kwenye tv na safari ya pili kuja TZ alikuja kimya kimya ...na ni wachache waliojua kuwa obama kaja mara ya pili tanzania
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom