Tetesi: Rolls Royce la Diamond liko njiani kutua Dar punde

Sina account Instagram kiongozi,Achana na speculation ndugu Fanya kazi,Siwezi kutishika kwa Diomond kusema kwamba kanunua Rolls Royce ila iwe kweli na sio promo za kukikisha kokoro.
Kwako ukweli utakuwa upi,ukiona anaendesha au ..........??
 
Sina hasira maana jamaa yenu anipunguzii kitu wala haniongezee kitu simdai wala hanidai nachopinga ni timu yenu kutuletea habari za uzushi humu JF wakati tupo watu wenye akili timamu ambao tunajua kabisa ni uongo wa kiwango cha lami,Kuna njia nyingi za kuboost KOKORO maana imebuma.
Unajitekenya afu unacheka mwenyewe kazi ipo kwl kwl
 
Hamna chuki hata kidogo,Kuna watu wanapesa za kutosha,Diamond bado hajafikia kiwango cha kuwa tajiri,ana hela ya kula na kujenga sehemu ya kuweka ubavu na kununua vitoyo vya kutembelea na kuhonga senti tano kina tunda na mabeto.
Na wewe una nini?
 
Kula matunda ya jasho lako si kitu kibaya kibaya kutafuta kwa mgongo wa mwenzio afu ukajiona mbora kumbe li tutusaa
 
Mbona lakawaida Sana mkuu, naombeni sifa zake please!
Huwa linaendeshwa kwenye free ways aka flyovers tu. Barabara za Bongo halipiti labda za mwendo kasi. Kuliendesha barabara ya vumbi ni kuliAbuse! Ni made in Europe siyo China wala Japan.
 
Huwa linaendeshwa kwenye free ways aka flyovers tu. Barabara za Bongo halipiti labda za mwendo kasi. Kuliendesha barabara ya vumbi ni kuliAbuse! Ni made in Europe siyo China wala Japan.
Mhhh kwa hiyo hili Phantom la blue linalokatiza Mikocheni ni barabara ya Nebraska ?
 
Big mistake . ..tungetakiwa kujifunza kutoka kwa waamerika weusi wanavyochanganyikiwa na vitu kama hivi . .gari ni liability . ..heri angejinunulia apartments zake masaki au oysterby akapangisha kwa ajili ya kizazi chake pia kuliko kumtajirisha rolls Royse . .anyway kila mtu anamtazamo tofauti wa maisha . .
Mkuu masikini daima hana mawazo ya kijinga
 
Newline ina folower 179 i dont think kama gar zao ni zauwakika anyway. Ujitume upost hata kavits kako. Uache ukik
 
Kawaida tu, Diamond sasaivi anisumbui kichwa changu ikiwa Views Ananunua Alafu najisifia kutazamwa na Watu wengi YouTube Aliyakuwa unajua Unanunua VIEWS
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom