Elections 2010 Riziwani ana body guard?

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Aug 11, 2009
6,159
4,443
Jamani kuuliza si ujinga, binafsi nataka kujua kama huyu mtu ana walinzi, mwenye taarifa anijibu. Hii ni kwa nia nzuri tuu kuna kitu nimefikiria:evil:.
 
HANA HATA MMOJA...namuonaga anatembea na waskaji zake aliosoma nao, au washkaji zake wa maskani..just friends
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom