The Devils advocate

Mayor Quimby

JF-Expert Member
Mar 13, 2021
2,749
5,827
Japo niliaga wiki kadhaa na hiyo bado ni nia yangu hila dunia imesogea sana.

Binafsi sina shida ya kukosolewa, but also nimechoka kusoma ujinga.

Asilimia kubwa ya watu awawezi kuandika hoja; it has nothing to do with grammar but the merit of the argument.

Washindi wa mashindano ya JF hata hayo mambo yenyewe hawana uelewa nayo mpana.

Kama mshindi wa mwaka huu hata hayo maswala yenyewe ya kodi hajui.

Sasa ni hivi nimechoka kusoma ujinga na kupeana likes zenu za ujinga katika mambo ambayo watu hawana ufahamu nayo.

To hell, kwa kweli inachosha kusoma ujinga halafu mtu ana likes mia; wakati ni nonsense tupu.

That’s me

Niki kutwanga uelewe either ujibu concerns zangu; au kaa kimya.

The nonsense I read is beyond me.

Hivi unawezaje kuandika kitu ambacho ukielewi na ukajiita msomi the audacity.

That’s my message if you see, hata kama una likes mia kama upuuzi nakutwanga tu.
 
Mkuu kwani umelazimishwa?
Hapana ni kuchoka kusoma ujinga.

Ngoja nikupe mfano kwa point zinazofuata.

Mshindi wa JF wa jukwaa la whatever, ushindi wake ni kuhusu maswala ya kodi.

Hoja zake sasa ni sijui tax as related to gdp project and nonsense. Huyu mtu amepata kura za wataalamu.

Uhalisia ni kwamba ukiingia kwenye mtiani wa kodi

Una deal na personal income taxes (based on national laws)

Business taxes (based on national laws.

Kwenye soko moko hilo kuna ruhusa za kukwepa kodi kama charitable donations,

How to treat losses,

Capital allowances, rates zake, based on law (budget ya mwaka husika).

Balancing ‘statement of financial position’

Purchases

Sales of shares or investments over time and tax liability.

Ni hivi mtihani wa kodi una mambo luluki.

Mshindi wa JF kwa kigezo cha ufahamu wa kodi ni ujinga mtupu; haya ndio mambo yananikera.

Huyo mshindi hajui lolote kuhusu mambo ya kodi
 
Mkuu usilazimishe watu wote wawaze kama wewe, kama majaji walisema ni mshindi basi tuheshimu uamzi kama hao majaji ni halali
 
ujumbe wako ni nini?
Someni na kuwa wataalamu sio kujazana ujinga na kupeana likes kwa ujinga mnaojazana na kudhani akili za wetu wengine ni sawa ujinga wenu wa JF halafu mnapeana likes wakati over 80% ya posts za kitaalamu ukisoma ujinga mtupu.

I don’t care hila ndio ukweli wenyewe, watu wengi ufahamu wao mambo ni mdogo mno wanaandika ujinga halafu wanapata likes kwa kuandika ujinga.

What a pathetic bunch of people, halafu mnataka kujifananisha na watu waliondelea unadhani ni mapoyoyo kama sisi.
 
Mkuu usilazimishe watu wote wawaze kama wewe, kama majaji walisema ni mshindi basi tuheshimu uamzi kama hao majaji ni halali
Uhitaji kuwaza kama mimi, who am I in this world, a nobody.

Hila academic ina reasoning zake za kutengeneza arguments, watanzania wengi awawezi kujenga hoja on basis of their discipline reasoning.

Ukisoma wengi wanaijiita wasomi wanaandika ujinga mtupu; hiyo ndio kero yangu.
 
Can you actually go on the world stage na kusema mshindi wa JF anajua maswala ya kodi.

How on earth ujinga ule unashinda mashindano.

Sasa sio yeye tu ni a lot of nonsense mtu unasoma, unajiambia kwa akili hizi hii nchi itabaki maskini.

Ndio ukweli, someone has to give it to you.
 
Uhitaji kuwaza kama mimi, who am I in this world, a nobody.

Hila academic ina reasoning zake za kutengeneza arguments, watanzania wengi awawezi kujenga hoja on basis of their discipline reasoning.

Ukisoma wengi wanaijiita wasomi wanaandika ujinga mtupu; hiyo ndio kero yangu.
Mkuu wewe unatakaje? Hakuna kiwango cha usomi kila mtu ni msomi kwenye field yake, wewe unaweza kuwa na masters ya sheria au PhD lakini huwezi hata kufunga bulb kwenye nyumba yako, sijui kipimo chako cha usomi ni nini?
 
Laters, like I have said kuanzia sasa ntakuwa devils advocate.

Kama ujinga ntaita ujinga tu don’t care who wrote it.

👋
 
Japo niliaga wiki kadhaa na hiyo bado ni nia yangu hila dunia imesogea sana.

Binafsi sina shida ya kukosolewa, but also nimechoka kusoma ujinga.

Asilimia kubwa ya watu awawezi kuandika hoja; it has nothing to do with grammar but the merit of the argument.

Washindi wa mashindano ya JF hata hayo mambo yenyewe hawana uelewa nayo mpana.

Kama mshindi wa mwaka huu hata hayo maswala yenyewe ya kodi hajui.

Sasa ni hivi nimechoka kusoma ujinga na kupeana likes zenu za ujinga katika mambo ambayo watu hawana ufahamu nayo.

To hell, kwa kweli inachosha kusoma ujinga halafu mtu ana likes mia; wakati ni nonsense tupu.

That’s me

Niki kutwanga uelewe either ujibu concerns zangu; au kaa kimya.

The nonsense I read is beyond me.

Hivi unawezaje kuandika kitu ambacho ukielewi na ukajiita msomi the audacity.

That’s my message if you see, hata kama una likes mia kama upuuzi nakutwanga tu.
Ndugu Mayor Quimby ,nnje ya hoja yako,naomba nikuulize swali.

Una ugomvi gani na herufi "h"!!??
 
Mkuu wewe unatakaje? Hakuna kiwango cha usomi kila mtu ni msomi kwenye field yake, wewe unaweza kuwa na masters ya sheria au PhD lakini huwezi hata kufunga bulb kwenye nyumba yako, sijui kipimo chako cha usomi ni nini?
You don’t get my argument

Kwanza kwangu once you have the first degree ndio tafsiri ya usomi; not bothered so much with post graduate qualification.

Sasa unakuta mtu ambae hata hoja za undergraduate he can’t present them academically, that’s what annoys me.
 
Mkuu kuna kusoma na kuelimika, first degree nani alipitisha kuwa ndiyo kigezo cha usomi? Nadhani lazima twende deep kidogo
 
Ndugu Mayor Quimby ,nnje ya hoja yako,naomba nikuulize swali.

Una ugomvi gani na herufi "h"!!??
Essay/Reposts is usually 30% of the marking (because you have all the time in the world grammar constitutes 5% of the marking) exams is 70% of the module they don’t care on spelling, grammar and other nonsense, but your arguments.

Hizi obsession zenu na minor issues ndio zinaonyesha uwezo wenu.

Education is about the ability to present an argument, sio H au A umetumia mahala sahihi.

Na watanzania wengi can’t argue academically.

Huo ndio ukweli wenyewe
 
Japo niliaga wiki kadhaa na hiyo bado ni nia yangu hila dunia imesogea sana.

Binafsi sina shida ya kukosolewa, but also nimechoka kusoma ujinga.

Asilimia kubwa ya watu awawezi kuandika hoja; it has nothing to do with grammar but the merit of the argument.

Washindi wa mashindano ya JF hata hayo mambo yenyewe hawana uelewa nayo mpana.

Kama mshindi wa mwaka huu hata hayo maswala yenyewe ya kodi hajui.

Sasa ni hivi nimechoka kusoma ujinga na kupeana likes zenu za ujinga katika mambo ambayo watu hawana ufahamu nayo.

To hell, kwa kweli inachosha kusoma ujinga halafu mtu ana likes mia; wakati ni nonsense tupu.

That’s me

Niki kutwanga uelewe either ujibu concerns zangu; au kaa kimya.

The nonsense I read is beyond me.

Hivi unawezaje kuandika kitu ambacho ukielewi na ukajiita msomi the audacity.

That’s my message if you see, hata kama una likes mia kama upuuzi nakutwanga tu.
Sawa mkuu....awawezi= hawawezi
 
Mkuu kuna kusoma na kuelimika, first degree nani alipitisha kuwa ndiyo kigezo cha usomi? Nadhani lazima twende deep kidogo
First degree inakupa fundamental knowledge of your discipline, necessary skills to perform, tasks,, ability to write an argument that’s about. Hakuna kitu kingine kipya utajifunza masters and PhD but more specialisation tu.
 
You don’t get my argument

Kwanza kwangu once you have the first degree ndio tafsiri ya usomi; not bothered so much with post graduate qualification.

Sasa unakuta mtu ambae hata hoja za undergraduate he can’t present them academically, that’s what annoys me.
Kama wajua kiswahili...na sie tu waswahili....Kuna haja gani ya kukingerezesha?...tafsiri yake..wewe wajisikia sana na juhudi za kasa ndani ya maji.
 
Sawa mkuu....awawezi= hawawezi
Ndio uwezo wetu, that’s not a marking criteria in an exam.

It’s arguments which matters

Mtihani ukisema ‘criticallly analyse’ hiko ndio wanachojali kwenye jibu,

Wakisema ‘evaluate’ arguments zako ndio wanazojali

Wakisema ‘describe’ maelezo yako ndio wanayojali.

Grammar is the least of their problem in an exam if you make sense.

Sasa Tanzania wahitimu wengi awawezi analyse, evaluate nor describe anything; for god sake hata theoretical concepts zenyewe za shahada zao zinawapiga chenga sasa wataweza kweli kuandika arguments.

Ndio ukweli wenyewe.
 
Kama wajua kiswahili...na sie tu waswahili....Kuna haja gani ya kukingerezesha?...tafsiri yake..wewe wajisikia sana na juhudi za kasa ndani ya maji.
Huna uwezo wa kujadili mada yangu

Subiri siku ukiandika kwenye mada utakayoanzisha nikipita nikasoma ujinga nakutwanga kwa upuuzi ndio mantiki ya huu uzi wangu kutochekea kusoma ujinga from now on .
 
Hapana ni kuchoka kusoma ujinga.

Ngoja nikupe mfano kwa point zinazofuata.

Mshindi wa JF wa jukwaa la whatever, ushindi wake ni kuhusu maswala ya kodi.

Hoja zake sasa ni sijui tax as related to gdp project and nonsense. Huyu mtu amepata kura za wataalamu.

Uhalisia ni kwamba ukiingia kwenye mtiani wa kodi

Una deal na personal income taxes (based on national laws)

Business taxes (based on national laws.

Kwenye soko moko hilo kuna ruhusa za kukwepa kodi kama charitable donations,

How to treat losses,

Capital allowances, rates zake, based on law (budget ya mwaka husika).

Balancing ‘statement of financial position’

Purchases

Sales of shares or investments over time and tax liability.

Ni hivi mtihani wa kodi una mambo luluki.

Mshindi wa JF kwa kigezo cha ufahamu wa kodi ni ujinga mtupu; haya ndio mambo yananikera.

Huyo mshindi hajui lolote kuhusu mambo ya kodi
Unaweza ukawa sahihi lakini pia usiwe sahihi. Vyote unazodhani uko sahihi zilifanyiwa tafiti na watu mbalimbali na kuziwekea framework kuwa ndiyo miongozo yenye uhalisia.
Pia, kuna watu wanaweza kuzifanyia tafiti kwa kuziboresha zaidi au kuzipa challenge na hatimae zikaonekana kuwa hazina uhalisia.
Rejea Law of Cooling iliyokuwa challenged na Mgamba kule Tanga, hivyo nakupa taadhari usione upo sahihi wakati wote na wengine hawapo sahihi.

Kuna wengine wanaweza kuwa sahihi kutokana na uhalisia wa mambo wanayokutana nayo katika mazingira na maisha yao ya kila siku.
 
Back
Top Bottom