CHADEMA wanahamia lini Ofisi mpya Mikocheni? Anayejua atujuze

Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
18,200
27,255
Wengi tunakumbuka wiki kadhaa nyuma ilikuja taarifa kuwa chadema wamepata ofisi mpya Mikocheni. Sijui wamekodi au wamenunu, hilo hatujui maana haikuwekwa wazi.

Swali langu, ni lini Wanahamia hizi ofisi mpya? Maana naona muda unaenda sana hatuoni wakihamia huko.

Mwenye kujua naomba atujuze, maana hii kitu binafsi siamini kwa kuwa nawajua vizuri wao huwa hawapendi vitu vizuri.

Nataka nione maajabu kutoka kinondoni manyanya hadi Mikocheni. Mwenye kujua please

20230701_200708.jpg
 
Labda wanasubiri sakata la DP World na bandari liishe kwanza.
 
Wengi tunakumbuka wiki kadhaa nyuma ilikuja taarifa kuwa chadema wamepata ofisi mpya Mikocheni. Sijui wamekodi au wamenunu, hilo hatujui maana haikuwekwa wazi.

Swali langu, ni lini Wanahamia hizi ofisi mpya? Maana naona muda unaenda sana hatuoni wakihamia huko.

Mwenye kujua naomba atujuze, maana hii kitu binafsi siamini kwa kuwa nawajua vizuri wao huwa hawapendi vitu vizuri.

Nataka nione maajabu kutoka kinondoni manyanya hadi Mikocheni. Mwenye kujua please

Hayakuusu

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
 
Uliza vitu vyenye maslahi kwa Taifa,bandari imeuzwa, wanyama wetu wa porini wanauzwa, huku lingusenguse Sina maji Safi na salama, wewe umekazania yasiyokuhusu, kaa kwenye line yako..after all wewe unawasemea akina nani?
 
Wengi tunakumbuka wiki kadhaa nyuma ilikuja taarifa kuwa chadema wamepata ofisi mpya Mikocheni. Sijui wamekodi au wamenunu, hilo hatujui maana haikuwekwa wazi.

Swali langu, ni lini Wanahamia hizi ofisi mpya? Maana naona muda unaenda sana hatuoni wakihamia huko.

Mwenye kujua naomba atujuze, maana hii kitu binafsi siamini kwa kuwa nawajua vizuri wao huwa hawapendi vitu vizuri.

Nataka nione maajabu kutoka kinondoni manyanya hadi Mikocheni. Mwenye kujua please

Etwege ana full details!!
 
Tuna miezi miwili tangu tuhamie, ila Wachawi wanajua bado hatujahamia
 
Back
Top Bottom