nguvumali
JF-Expert Member
- Sep 3, 2009
- 4,923
- 1,325
Haya ni matusi, administrator wafungie watu wa aina hii. Humu ndani weredi ni wengi ni bora zaidi kubishana kwa hoja. Kama hana la kuchangia kuhusu hoja hii ni bora kukaa kimya ni kama una chuki binafsi dhidi ya RidhwanOriginally Posted by macho_mdiliko
Huyu siku hizi jina lake ni Uday Saddam Hussein al-Tikriti wa Bongo. Utafikiri ni copy ya yule mtoto wa Sadam kabisaaaaa
wewe ungekua mods humu kusingekarika.