Riz"One" mtoto wa Mzee wa Kaya

Status
Not open for further replies.
Wa Tanzania watu wa ajaabu sana,nina hakika wengi wanaondika hapa hawamjui huyu kijana kwa karibu ila wananukuu magazeti ya ajabu ajabu,sasa sikilizeni, mimi nimekuwa naye karibu sana katika matukio fulani fulani and this is my observation on him:Muungwana na malezi mema ana adabu kwa wakubwa zake na wadogo pia, hamwogopi mtu kwa jina au pesa zake.ana mwoogopa mungu,ni baba wa familia yake,amesoma hakubweteka na vyeo vya babake kwa maana sio kula kulala,kuwa mtoto wa Rais haina maana asijihusishe na maswala ya kijamii.
wivu unawasumbua acheni ufala

Pointless... Nothing to add value Hapa jamvini

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ngoja nimsaidie jibu ni [d], mi nilishawaambia hii familia ni limbukeni haikustahili hadhi iliyopewa kama familia yakiongozi mkuu wa taifa.

Angalia familia za marais waliotangulia ya Nyerere, Mwinyi na Mkapa mbali ya madudu yaliyofanywa na baba zao lakini watoto na familia hizo zilijua nini maana ya wazazi wao kuwa viongozi wakuu wa taifa. Wengine hata watoto wao hatuwajui si kwamba hawakuwa na uwezo wa kutumia madaraka ya baba zao, lakini kutokana na umuhimu na unyeti wa cheo hicho waliona si busara kuingiza mambo ya kifamilia ndani.

Nafikiri hii inatokana na mkuu wa familia anavyolichukulia jambo hilo, najua kabisa watoto wa Nyerere au Mkapa walivyokuwa wanapata ushauri toka kwa baba zao kwamba watenganishe kazi ya serikali (ikulu) na kazi za kifamilia yaani wazingatie masomo kwanza au wawe na shughuli zao tofauti kabisa.

kila kitabu na zama zake
 
Hujui chochote na Usiwatukane Watu Wenye Akili zao Humu. Huyo Dogo alikuwa Ni Bonge La Mbwiga Kipindi hicho na Nakumbuka Pale Kitaa Kwao Kwa Nje Walikuwa Wakiuza Ice Cream na Mara Nyingi Ulikuwa Ukienda Kununua Unamkuta Dogo Anauza au Dada Yake Binamu Aitwae Fatuma Niliyesoma Nae Shighatini Miaka Ya 1993 - 1994 Na Nakumbuka Huyo Fety Alikuwa ANABANDULIWA au ANAGEGEDWA na Njemba Moja Inaitwa Mzaba ambaye Hawaishi Mbali na Hapo Regency na Kijiwe Chake Kikubwa Dogo Kilikuwa ni Pale ktk Gereji Ya Baba Godfrey Victoria Nyuma Ya Kampuni Ya Ulinzi Ya KNIGHT SUPPORT na Tokea Dogo Mdingi aule Amewadharau Sana Washikaji ila ni Haji Peke Yake Ndiyo Hana Makuu na Habweteki na Anajichanganya na Mamentali Wa Long Time. Dogo Wenu Huyo Ni Bonge la LIMBUKENI na Atafute Historia Ya Nini Kiliwatokea Watoto Hawa Wa Marais Mafisadi Duniani:
1. Joseph Kongolo a.k.a FBI a.k.a Saddam Hussein Ni Mtoto wa Hayato Mobutu Seseseko Kuku wa Zabanga
2. Seif Ghaddafi Mtotot wa Hayati Muammar Ghaddafi
3. Arfi Mubarak Mtoto wa Aliyekuwa Rais wa Misri
Na Wenye Akili Tunajua Kuwa Mali Si Za Dogo bali Ni Za Mshua ila Tusome Alama za Nyakati.

ongeza joseph kabila na charles makongoro nyerere,uhuru kenyatta,raila oginga,aman karume na hussein mwinyi na george bush
 
Asipoingia kwenye siasa kina masogange watapitaje?watakufa njaa hii ni daraja tu simple mathematics to trick wadanganyika
 
Ngoja nimsaidie jibu ni [d], mi nilishawaambia hii familia ni limbukeni haikustahili hadhi iliyopewa kama familia yakiongozi mkuu wa taifa.

Angalia familia za marais waliotangulia ya Nyerere, Mwinyi na Mkapa mbali ya madudu yaliyofanywa na baba zao lakini watoto na familia hizo zilijua nini maana ya wazazi wao kuwa viongozi wakuu wa taifa. Wengine hata watoto wao hatuwajui si kwamba hawakuwa na uwezo wa kutumia madaraka ya baba zao, lakini kutokana na umuhimu na unyeti wa cheo hicho waliona si busara kuingiza mambo ya kifamilia ndani.

Nafikiri hii inatokana na mkuu wa familia anavyolichukulia jambo hilo, najua kabisa watoto wa Nyerere au Mkapa walivyokuwa wanapata ushauri toka kwa baba zao kwamba watenganishe kazi ya serikali (ikulu) na kazi za kifamilia yaani wazingatie masomo kwanza au wawe na shughuli zao tofauti kabisa.

Hujui ulisemalo. Kuna watoto wa Nyerere ambao ni machizi kabisa wanaojulikana. Mmojawapo. Ni Andrew Nyerere na yumo humu JF na akapewa upendeleo na kupelekwa kusoma kurusha ndege za kivita, bila bila. Imagine chizi kabisa lakini kwa kuwa ni mtoto wa Nyerere akapewa fursa hiyo.

Kumbuka kurusha ndege enzi hizo ni kitu "prestigious" sana.

Usilolijuwa ni usiku wa kiza, wengine wakawa walevi wa kupindukia, wengine waliwatapeli sana wahindi enzi hizo, hususan ndugu yake Nyerere Joseph.

Bora tunyamaze tu. Usitukumbushe ya akina Nyerere.

Unataka tukueleze ya Mkapa? Ni aibu na haina haja ya kuyaweka wazi ila uliza kuhusu Mkapa na rafikie Mramba, ukipata jibu, tulia tuli.
 
Last edited by a moderator:
RIDHIWANI ndio mbunge wa Chalinze.

Hizo pesa za Chopper CDM mzielekeze kwenye maeneo mengine.
 
Waafrica tunasafari ndefu. Unatoa muda wako kumpaka mtu matope wala hata humjui.Basi tuu!!

Ujinga huu unatisha.
 
Wa Tanzania watu wa ajaabu sana,nina hakika wengi wanaondika hapa hawamjui huyu kijana kwa karibu ila wananukuu magazeti ya ajabu ajabu,sasa sikilizeni, mimi nimekuwa naye karibu sana katika matukio fulani fulani and this is my observation on him:Muungwana na malezi mema ana adabu kwa wakubwa zake na wadogo pia, hamwogopi mtu kwa jina au pesa zake.ana mwoogopa mungu,ni baba wa familia yake,amesoma hakubweteka na vyeo vya babake kwa maana sio kula kulala,kuwa mtoto wa Rais haina maana asijihusishe na maswala ya kijamii.
wivu unawasumbua acheni ufala

Kama ni kweli kabisa kuwa moja ya watu wa karibu na ritz 1 ni wewe!!!!!!!, Basi kile kinacho semwa na watu kuhusiana na ritz 1 itakuwa ni kweli 99%.Hilo neno uliloliandika hapo mwisho moja kwa moja linaonesha wewe ni kituko.'TELL ME YOUR FRIEND SO I WILL KNOW WHO YOU ARE!!' Huu usemi leo umedhihilika.
 
Hujui ulisemalo. Kuna watoto wa Nyerere ambao ni machizi kabisa wanaojulikana. Mmojawapo. Ni Andrew Nyerere na yumo humu JF na akapewa upendeleo na kupelekwa kusoma kurusha ndege za kivita, bila bila. Imagine chizi kabisa lakini kwa kuwa ni mtoto wa Nyerere akapewa fursa hiyo.

Kumbuka kurusha ndege enzi hizo ni kitu "prestigious" sana.

Usilolijuwa ni usiku wa kiza, wengine wakawa walevi wa kupindukia, wengine waliwatapeli sana wahindi enzi hizo, hususan ndugu yake Nyerere Joseph.

Bora tunyamaze tu. Usitukumbushe ya akina Nyerere.

Unataka tukueleze ya Mkapa? Ni aibu na haina haja ya kuyaweka wazi ila uliza kuhusu Mkapa na rafikie Mramba, ukipata jibu, tulia tuli.

Umeua,kuna wakati makongoro alikuwa anaeleza kwa nini aliamua kunywa gongo
 
Waafrica tunasafari ndefu. Unatoa muda wako kumpaka mtu matope wala hata humjui.Basi tuu!!

Ujinga huu unatisha.

Nilishasema huko nyuma hiki kizazi tatizo kubwa,ebu fikiri mtu anatunga hekaya ya ridhiwani kakamatwa na madawa ya kulevya,nasi tunaichukuwa kama ilivyo,kama tunashindwa kuchambua hivyo kamwe tutendelea kushabikia vitu vya kijinga unaelezwa ebu hoji chama chako kwanini hakitaki kufanya uchaguzi,hesabu za kutusha chopa kwani luzuku haiendi wilayani ? Unajazwa ujinga kuwa huo ni usaliti nawe kama dodoki unachota,tubadilike
 
wewe ni mlamba miguu. ni mmoja kati ya wale wanaoneemeka na ofa zake ndio maana unatetea malezi yake na utu wema wake. kama ndugu zake tu wa karibu wanamtaja kuwa mtu mnafiki, wewe unajuaje kuhusu wema wake?
elimu gani unasemea? hiyo ya kufanyiwa mitihani?
huo ndio ufala ukisikia. Mbeleko unayotaka kumbebea, huiwezi

hiv ujanjani kujifanya unaifaham saana familia ya mh rais au ndo tusemeje. kwa uwelewa wangu kila laiaanahaki ya kuchagua na kuchaguliwa . ni mbeleko gani kapewa wewe ulishiliki uchaguz ukafanyiwa zengwe?!!! uwo ni ushamba . ebu tuache kupenda kulalama kisa tu midomo ipo waz.
 
mchungaji mbona na wewe unakuwa kama puppy aliyepotelea mtaani? mtumishi wa mungu unaleta bla bla hapa jamvini.

Uday Saddam Hussein al-Tikriti wa Msoga-Chalinze!

Kanuni na sheria huboreshwa na kurekebishwa kutokana na mahitaji ya wakati. Hapo mwanzo tulikuwa na chama kimoja na sasa ni vyama vingi huwezi kusema hapo mwanzo kanuni au sheria ya vyama vingi haikuwepo au haikujulikana. Naona fikra mbadala yuko sahihi japo naamini chama hakikatazi wagombea kukitumia chama husika kama ambavyo mgombea hakatazwi kutumia watu wa nje au wanafamilia kusaka wadhamini.

Uday Saddam Hussein al-Tikriti wa Msoga-Chalinze!

Nashindwa kuwaelewa Namaki na Outlaw nani muungwana kati yenu naona wote mnatukana na kutoka kwenye mada kuu. mauaji ya kuangamiza jamii huanza na matusi. Unawezaje kujitambua na kujikosoa kabla hujajikosoa wewe wenyewe. Namaki na Outlaw mngekuwa watoto wa Rais kuliko Ridhwan ingekuwaje? tusimseme Ridhwan tu wakati wengine mna shauku ya kujinadi kwa matusi.

Kama ningekuwa hakimu kesi dhidi ya Ridhwan ningefuta kwani wanaotoa ushaidi wanatukana mahakamani badala ya kutoa vielelezo. Ni kesi ya kutungwa dhidi ya Ridhwan............ Ridhwan uko huru ushaidi haujitoshelezi.

Uday Saddam Hussein al-Tikriti wa Msoga-Chalinze!

acheni matusi, tusi moja ndani ya jamiiforums linaweza kubomoa taifa la leo na kesho kwani jukwaa hili husomwa na members zaidi ya elfu 19 wakiwemo vijana tunaowatengeneza kuwa viongozi wa baadaye. kwa mawazo yangu hiki ni kiashirio kwamba hadhi ya jukwaa itashuka tukitumia matusi kueleza hisia zetu.

Uday Saddam Hussein al-Tikriti wa Msoga-Chalinze!
 
Hujui ulisemalo. Kuna watoto wa Nyerere ambao ni machizi kabisa wanaojulikana. Mmojawapo. Ni Andrew Nyerere na yumo humu JF na akapewa upendeleo na kupelekwa kusoma kurusha ndege za kivita, bila bila. Imagine chizi kabisa lakini kwa kuwa ni mtoto wa Nyerere akapewa fursa hiyo.

Kumbuka kurusha ndege enzi hizo ni kitu "prestigious" sana.

Usilolijuwa ni usiku wa kiza, wengine wakawa walevi wa kupindukia, wengine waliwatapeli sana wahindi enzi hizo, hususan ndugu yake Nyerere Joseph.

Bora tunyamaze tu. Usitukumbushe ya akina Nyerere.

Unataka tukueleze ya Mkapa? Ni aibu na haina haja ya kuyaweka wazi ila uliza kuhusu Mkapa na rafikie Mramba, ukipata jibu, tulia tuli.

Sawa tumekusikia kuwa Baadhi ya watoto wa Nyerere ni machizi je kati ya hao yupo aliyekuwa akiuza MADAWA YA KULEVYA kama huyu unayemshabikia?
 
lete ushahidi acha gongo kama makongoro nyerere. uday sadam alikuwa jembe sana
 
Uday Saddam Hussein al-Tikriti wa Msoga-Chalinze!

Uday Saddam Hussein al-Tikriti wa Msoga-Chalinze!

Uday Saddam Hussein al-Tikriti wa Msoga-Chalinze!

Uday Saddam Hussein al-Tikriti wa Msoga-Chalinze!

uday sadam alikuwa jembe, nilikuwa namkubali sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom