Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 734
Afadhali mzee wetu wa kiraracha yeye alifikwa na majonzi ya hali ya juu...
Hapo ni kwenye msiba wa Kanumba?
Riz kacheka kwa kimsamba msamba.
Steve full kujipendekeza
Ray, wala hayupo hapo kiakili anajaribu tu kuwasindikiza
Cheni hajui alitendalo.
Ungesema basi tendo lipi halijaumbwa ili tusilitendeKucheka kumeumbwa jamani...............Hata hili ni la kujadili kweli.................!
Kucheka kumeumbwa jamani...............Hata hili ni la kujadili kweli.................!
Hivi unaweza kukaa na stiv nyerere usucheke hata kama umefiwa na mke walo?!
Afadhali mzee wetu wa kiraracha yeye alifikwa na majonzi ya hali ya juu...
Rizmoko maisha matamu mda wote ni kufurahi tu,Ray mbona anavaa miwani mda wote kwenye msiba? Anaona soo nini? Safi sana waziri wa mambo ya ndani mstaafu!