Riz one akichekelea kwenye msiba wa KANUMBA

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
IMG_0097.JPG


Afadhali mzee wetu wa kiraracha yeye alifikwa na majonzi ya hali ya juu...

DSCN4523.JPG
 
Rizmoko maisha matamu mda wote ni kufurahi tu,Ray mbona anavaa miwani mda wote kwenye msiba? Anaona soo nini? Safi sana waziri wa mambo ya ndani mstaafu!
 
Kucheka kumeumbwa jamani...............Hata hili ni la kujadili kweli.................!
 
jamani si yupo na mchekeshaji hapo? huwezi jua huyo steve nyerere kaongea nini mapaka anacheka hivyo
 
Riz kacheka kwa kimsamba msamba.

Steve full kujipendekeza

Ray, wala hayupo hapo kiakili anajaribu tu kuwasindikiza

Cheni hajui alitendalo.
 
Hivi dhumuni la kumfariji mfiwa huwa ni nini kama c kumfanya acheke kwa kumchekesha aache kuhuzunika.ndo maana wajaluo msibani ni disco kwa kwanda nyuma.
 
Du! Kumbe Lyatonga amekwisha hivi! Asingeambulia ubunge huenda angekwishakuwa past tense.
 
Huyo m2 mfupi alikua mtaalamu wa kuzimia ila nashangaa kwenye picha full tabasamu..
 
IMG_0097.JPG


Afadhali mzee wetu wa kiraracha yeye alifikwa na majonzi ya hali ya juu...

DSCN4523.JPG
Hivi unaweza kukaa na stiv nyerere usucheke hata kama umefiwa na mke walo?!

Mrema yeye aliguswa zaidi kwa kuwa kanumba alikua jirani yake hapo mtaani,pia mufti simba,wote ni mitaa hiyo hiyo,swali la kizushi,hivi mrema anajichubua au?maana dizaini kama "karolaiti" at work!
 
Rizmoko maisha matamu mda wote ni kufurahi tu,Ray mbona anavaa miwani mda wote kwenye msiba? Anaona soo nini? Safi sana waziri wa mambo ya ndani mstaafu!

hapo kwenye Bold tutajua baada ya muda, hata baba yake kanumba huko Shinyanga kasema hakuja na maana yake tutaijua baada ya wiki 2 tu

RIP SK KANUMBA
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom