kasimba123
JF-Expert Member
- Apr 18, 2010
- 1,753
- 811
pole pekee haiponyi mgonjwa
Unashauri nini sasapole pekee haiponyi mgonjwa
pole pekee haiponyi mgonjwa
Pole mitihani mola akufanyie wepesi wenye fani ya udaktari watakujuza zaidi
Mbona km pumu hiyooKifua kinanisumbua.. Kinanibana mpaka nashindwa kupumua vizuri. Nimepiga picha ya X jana majibu ni kwamba moyo hauna tatizo ila kuna sehemu imetanuka kifuani kwa ndani. Wamenipa Dozi nitumie kwa siku tano then nirudi tena Hospitali. Kama kuna Dk hapa msaada wa maelezo
Unapiga Lamli Husna MubaMbona km pumu hiyoo
Unapiga Lamli Husna Muba.Mambo ya kudhania kwenye afya za watu acha kabisaMbona km pumu hiyoo
Unapiga Lamli Husna Muba
Hiyo barium meal wamesuspect vidonda vya tumbo, jitahid ukapime hicho kipimo ,pole sana mkuu!.