Riwaya: Nitakupata tu

20170702_173634.jpg
 
Kifua kinanisumbua.. Kinanibana mpaka nashindwa kupumua vizuri. Nimepiga picha ya X jana majibu ni kwamba moyo hauna tatizo ila kuna sehemu imetanuka kifuani kwa ndani. Wamenipa Dozi nitumie kwa siku tano then nirudi tena Hospitali. Kama kuna Dk hapa msaada wa maelezo
Mbona km pumu hiyoo
 
Pole ibra..ngoja madokta waje wakusaidie..binafsi muandiko tu umenishinda kusoma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom