Risk Assessment and Management: CHADEMA nayo Imuondoe Dr. W. Slaa!

Waberoya ni pandikizi la falsafa kwamba Zitto anatakiwa agombee 2015, very unfortunate ameanza too early na gesi yake itaisha in 3 months. Kundi la Zitto ndilo linaloungana na kundi la Lowassa na plan ni kuwa na serikali ya mseto baadae

Soon utamsikia Lowassa anavua gamba na kujisafisha, that will be followed na ushuhuda wa zitto and later utasikia kwamba tumepata watu wa ukweli

THE ONLY PROBLEM YA WABEROAY AMEKUA KAMA KUPENGE AU MALARIA SUGU, she has attacked teh same person twice in a week and its not coincidental

WABEROYA, MUCH AS SHE HAS BRAINS,S HE IS SWIMMING IN THAT OCEAN OF DENIALS, SHALLOW MINDED MIDGETS na da shameful video
 
i thought wabs alikosea bahati mbaya, kumbe anatekeleza agenda kwa vitendo
 
Nikikumbukamaneno ya Naibu Mwenyekiti wa Walemavu aliesema kuwa Watanzania wanapenda kuvutwa na mkumbo. Nakubaliana nae na itategemea nani kati ya CCM na CHADEMA atakuwa mjanja zaidi. Hata hivyo sioni faida ya chama fulani kuuweka uhai wake katika makosa ya Chama chengine hiyo ni kujiweka katika kivuli cha mwengine!
 
Waberoya umeandika insha nzuri ila sina uhakika kama uliyoyasema yana ukweli na mantiki yoyote. Umejitahidi katika kufanya mazoezi ya kuandika insha.
 
we mkubwa umezama chaka yaani umegoogle vibaya full pumba tunajua kilicho bora darasani tulishaenda na hayo maupupu kampe wife wajko anayefaidika na ufisadi wenu, mudta unakuja heshima itarudi na proppaganda za nauye na mkama zitaisha tutajadilli ukweli
 
WABEROYA nipe SABABU YA chumba kimoja cha darasa kutumiwa na watoto wa madarasa mawili tofauti VS rasilimali tulizonazo tanzania VS priorities za spending in govt
 
shukran kwa analysis yako mkuu lakini huu ni mtazamo wako tu na si lazima uwe wa kwangu au wa wengine!

Kwa mtazamo wangu (ambao pia si lazima uwe ni wa wengine) ni kwamba YOU ARE WRONG for the following reasons
1. kumlinganisha DR Slaa na UVCC (and you self conscious haunts you) Kikwete hafikii hata robo ya Leadership Caliber ya Dr Slaa! (in my opinion)
2. Dr Magufuli ni mtu ninayempenda lakini kashfa yake ya ufisadi nyumba za serikali inanitatiza, ni lazima tufikie kipindi tuwe na viongozi safi kama Nyerere (kama ulivyoainisha Nyerere) Kuwasema ni lazma regardless ya wataamia Chadema au la!
3. Majaji ni wachafu, whether by default, kwa namna mfumo wa mahakama usivyokua huru, au kwa tabia zao wenyewe! (udhaifu wa kikatiba pia) Mtikila amejaribu tu kudhihirisha namna mapungufu yalivyo, na jinsi gani majaji ni butu (waliposhindwa kesi wakalitupia mzigo bunge)
4. Chadema's Mission, is quite clear and perfect in my opinion (ingawa mimi si mwanachama) kwa sababu zifuatazo (zinazopewa nguvu na motto yao 'Nguvu ya umma)
a) Chama cha demokrasia au Democracy, yaani Demos = People, Cratos = Power, pili Maendeleo, huu ndio uhuru wa pili tunaohitaji kama taifa katika nyakati hizi, baada ya uhuru wa kisiasa kutoka kwa mkoloni, kwa taarifa yako this is the war we Africans should be fighting now! = CHADEMA IS A PERFECT REPRESENTATION OF MY ASPIRATIONS AS A NORMAL CITIZEN (and many others who support the party massively.

UKO SAHIHI KABISA UNAPOSEMA HIVI...

1. Jenga mizizi ya chama kuanzia nyumba tano tano (Kazi ni kutarget the voters, different types of voters).
2. Piganieni tume huru ya uchaguzi ambayo HAMSEMI NA MKO KIMYA NA Kama uchaguzi uliopita mtaingia 2015 election na same Lewis makame na mtashtuka tu kuwa tume si huru wakati mmeshindwa!!! This is sick!! ( UKO SAHIHI MARADUFU HAPA HATA MIMI WANANIBOA KWELI HAPA WAKO KIMYA KUHUSU TUME YA UCHAGUZI, WAKATI TUME NDIO MZIZI WA FITNA, YAANI WAWEZA SEMA BORA TUANZE NA TUME HURU KWANZA KULIKO HATA KATIBA (sometimes) bila hii WATATWANGA MAJI KWENYE KINU TU.

UNAWEZA KUSEMA NI UHUNI NA UCHOCHEZI LAKINI NAJUA UNAKUBALI SIASA ZA WANA-CCM NI ZA KIHUNI HUNI NA THAT NECESSIATES COUNTER POLITICS (HATA KAMA NI ZA KIHUNI PIA) ILI KULETA LEVEL PLAYING FIELD KWA KUWA REFA (tume ya uchaguzi) HATOI HAKI. so naunga mkono siasa zote zitakazodhoofisha CCM (alimradi zina maslahi ya wananchi)

> SI KWELI DK SLAA ANADANGANYA WATU, ANADANGANYA LIPI, KWAMBA RAIS NI FISADI?, MABANGO YA KAMPENI KATENGENEZA KWA PESA YA IKULU AU?

> SIO WAJIBU WA DR SLAA PEKE YAKE AU CHADEMA PEKE YAKE KUWATAJA MAFISADI WOTE, NI KAZI YAKO NA YANGU PIA, YAKUPASA UMSHUKURU DK SLAA NA CHADEMA KWA UJASIRI NA USHUJAA KUJITOA MUHANDA KUPIGANA KWA AJILI YETU! jitihada zinazozaa matunda na kuungwa Mkono, NA NI WAZI UNAYAONA MAPOKEO YAKE KWA WATZ WOTE, WATU TULIKUA TUNALIA KICHINICHINI NCHI INAVYOMEGWA NA CCM, LEO TUNAFURAHI NA KUUNGA MKONO TUMEPATA DOMOKAYA WETU ANAYEWEZA KUWAWASHA MAFISADI BILA AIBU (MAANA WANANCHI WOTE WAOGA)

TENA WEWE NAONA UMEAMUA KWA WOGA WAKO UMEAMUA KUTEKELEZA KAMSEMO (SIGNATURE) KAKO ''I have come to the conclusion that politics are too serious a matter to be left to the politicians''. Charles De Gaulle (1890 - 1970)

>SI SLAA PEKE YAKE, HATA SISI WANANCHI TUNAFRUSTRATION NA KILA UCHAFU WA MFUMO HUU MBOVU WA KATIBA HADI SERIKALI. NADHANI UMESAHAU NA UNAJARIBU TU KUWA MCHOCHEZI WA CHUKI KWA DK SLAA UNAPOSEMA ANAFRUSTRATION, KWANI ALISHASEMA KABLA YA UCHAGUZI KWAMBA UKIACHILIA MBALI KUSHINDA URAIS LENGO LAKE KUU NI KUHAKIKISHA ANAELIMISHA WATANZANIA, NA AMELETA MAPINDUZI KATIKA HILI, CCM HAWATAKUJA KUMSAHAU MTU ANAYEITWA DR SLAA, KAWABOMOA BOMOA!

TUNAWEZA KUWA NA USHABIKI WA CHAMA, MTU, AU TU, MATAKWA BINAFSI LAKINI NAOMBA TUWE WAKWELI KWA TANZANIA!
NA TUTAMBUE MCHANGO WA DR SLAA NA CHADEMA KATIKA KUIMARISHA MFUMO WA DEMOKRASIA TANZANIA.
 
nonsense hivi nduvyo mmeanza kushambulia ukombozi wa taifa mnadiganya wachangiaijiaji hapa ni waelewa nathubutu kiusema wewe ni mpumvu elewa huo mkakati a ccm hautafanikiwa ila nashukukuru mnachimba kaburi la la kukizika chama inaonekana bungeni live kupinga maoni halisi na umbumbu wa wa utititiri wa wabunge wasio na na ueleewa wakupinga bila HOJO WAKUSEMA SIO WALA HAWANA NA MCHANGO WAMAWAZO ALI MRADI NI WENGI KWA MTAJI WA WA WATANZANIA WALIO WACHAGUA hiyo enzi imekwishwa nawaahakikishishia kuwa wale waliowapa kura wanajuta wanaona mnachofanya kinawapeleka wapi endelea tu 2015 itawapa majibu KATIBA IBADILIKE AU LA JIBU LIKO PALE PALE
 
Waberoya again!!! tehe tehetehe

Waberoya is nothing but a controversial

Chadema jibuni hoja kama mna akili timamu na sio vijembe na kuruka ruka

Kila alichoeleza ni kweli na huwa namkubali waberoya hapo tu, tunashindwa kujibu kwani tunaogopa kushindwa na kubaki kuonekana kama hana point wakati ameweka hoja zake

Ukweli JF ya sasa anayeweza kuichangamsha na kuleta ladha ni waberoya na wengine wachache sana.

Waberoya, just a question, are you happy to criticise CDM like this?
 
waberoya,huwezi fananisha kupiga bao kwa secretary na ufisadi banaaa,otherwise ofisi isingeendesheka.na housegal akifisadi tutalala na njaa na kuoga bila sabuni!ufisani ni wizi uliopindukia.ndo maana kuna dhambi na dhambi za mauti ambazo unahitaji na ushauri nasaha na mafundisho kuziacha.
sina hakika nn kinaendelea chadema kwenye michakato,lakini la tume huru ya uchaguzi kungali asubuhi sounds great
 
Slaa ni hana lolote haoni hata hatua moja mbele.

CCM ilipokuwa imefikia, ilitakiwa ku keep presha kwa RA,CHENGE na LOWASA, angeimba hawa mafisadi, hawa mafisadi mpaka ccm wakawatimua uanachama na kwa kutimuliwa watu hawa lazima ccm ingemeguka vibaya sana.

Lakini thug wenu, amefikiri kwamba wakifukuzwa ndani ya ccm basi ccm itakuwa imejisafisha na kupendwa na wananchi, hivyo hatua aliyochukuwa ni kufanya mbinu ili wasifukuzwe ndani ya ccm, kwa kutaja wengine.

CCM ikienda ilivyo na mafisadi wake kama walivyo hamtaishinda, piga ua . CCM itaishindwa ikienda ktk uchaguzi ikiwa imemegeka. Na triki murua ni kuhakikisha ccm imemeguka. Lakini thug, kaharibu kila kitu.
 
WABEROYA nipe SABABU YA chumba kimoja cha darasa kutumiwa na watoto wa madarasa mawili tofauti VS rasilimali tulizonazo tanzania VS priorities za spending in govt

Kwa sababu ya ufisadi! kwa sababu ya CCM! CCM need to go out, but not with these lame strategies.

If you dig down you will see my prime aim is to remove CCM from power, chadema dont seem to aspire that, if they do, then they dont clear strategy. To make foundation and to spread the party's agenda and ideology in everycorner of this country is a top priority

Let me ask you a question..In other words wale viongozi ambao hawako kwenye list ya mafisadi wanafaa sana kuwa viongozi? na hivyo we dont need new party!!!! unaona confusion??

He should say CCM is corrupt not just to select few!! if you select few you mean others are clean and so they should get wananchi support
. Is this strategy to remove CCM from power?

Let me help you

NO!!
 
Hawa CHADEMA na Slaa wao kwa kweli sasa wafahamu wanajishushia credibility na hizi tired, cheap stunts zao zisizoisha.

Sasa kuongeza nobodys kama Bharati Goda na John Kato, au Wanasiasa wazee waliokwisha achia ngazi kama Philipi Mangu'la na John Malecela kwenye orodha ya Mafisadi, kutasaidia nini this time around wakati wale waliotajwa awali hakuna hatua zozote zilizochukuliwa dhidi yao, na in fact, bado wana vyeo vyao na mali zao intact. Kulialia "Wolf!" "Wolf!" kila mara mwisho wake watu wataacha ku-pay attention.

Lengo kubwa nadhani wanategemea kuwa kwenye continuous public spotlight ili waonekane bado wako relevant, lakini wafahamu wanapoteza muda na resources nyingi kuelekea 2015, ambazo wangezitumia kujizatiti at grassroots level haswa kupitia kura za Vijana kwenye rural areas.
 
Slaa ni thug hana lolote haoni hata hatua moja mbele.

CCM ilipokuwa imefikia, ilitakiwa ku keep presha kwa RA,CHENGE na LOWASA, angeimba hawa mafisadi, hawa mafisadi mpaka ccm wakawatimua uanachama na kwa kutimuliwa watu hawa lazima ccm ingemeguka vibaya sana.

Lakini thug wenu, amefikiri kwamba wakifukuzwa ndani ya ccm basi ccm itakuwa imejisafisha na kupendwa na wananchi, hivyo hatua aliyochukuwa ni kufanya mbinu ili wasifukuzwe ndani ya ccm, kwa kutaja wengine.

CCM ikienda ilivyo na mafisadi wake kama walivyo hamtaishinda, piga ua . CCM itaishindwa ikienda ktk uchaguzi ikiwa imemegeka. Na triki murua ni kuhakikisha ccm imemeguka. Lakini thug, kaharibu kila kitu.

Hizi ni miongoni mwa athari za ufisadi wa CCM.Mipaka yetu imekuwa so porous mpaka Banyamulenge wanapata fursa ya kuadili siasa zetu za ndani.Kwanini nahisi wewe sio Mtanzania halisi?Simpo: jukumu la kutetea maslahi ya Tanzania na Watanzania sio la Dkt Slaa pekee,na kuendelea kuwepo madarakani hakuiathir Chadema/Dkt Slaa pekee bali kila Mtanzania HALISI.

Kudhani kwamba wewe ni mtetezi wa mafisadi ni kukupa hadhi usiyostahili kwani mafisadi wana watu wao magazetini,na wao wenyewe hawana muda wa kujitetea.Uwepo wa Slaa unawasaidia sana baadhi ya vichwa maji kuondoa frustration za masiha yao binafsi.
 
Hawa CHADEMA na Slaa wao kwa kweli sasa wafahamu wanajishushia credibility na hizi tired, cheap stunts zao zisizoisha.

Sasa kuongeza nobodys kama Bharati Goda na John Kato, au Wanasiasa wazee waliokwisha achia ngazi kama Philipi Mangu'la na John Malecela kwenye orodha ya Mafisadi, kutasaidia nini this time around wakati wale waliotajwa awali hakuna hatua zozote zilizochukuliwa dhidi yao, na in fact, bado wana vyeo vyao na mali zao intact. Kulialia "Wolf!" "Wolf!" kila mara mwisho wake watu wataacha ku-pay attention.

Lengo kubwa nadhani wanategemea kuwa kwenye continuous public spotlight ili waonekane bado wako relevant, lakini wafahamu wanapoteza muda na resources nyingi kuelekea 2015, ambazo wangezitumia kujizatiti at grassroots level haswa kupitia kura za Vijana kwenye rural areas.

Haihitaji busara kutambua kuwa laiti Chadema wasingekuwa na credibility usingepoteza muda wako kuwajadili.Why not CUF,why not TLP,UDP,UPDP,nk?Inawakera na kuwanyima usingizi ndio maana imewakaa mdomoni kila muda,na si ajabu ndoto zenu zimetawaliwa na hofu kuhusu Chadema.

Longolongo za mafisadi hazitawazuwia Watanzania ku-reclaim nchi yao kutoka katika nira ya ufisadi na mafisadi.Mtasema wee mkichoka mtanyamaza lakini kwa sie wenye nchi yetu,giving up the fight is not an option.

Huu sio upofu bali ulemavu wa ubongo.Hata mtoto aliyezaliwa wiki iliyopita anaweza kutambua kuwa jitihada za Chadema zimeweza kubadili mambo chungu mzima.Mswada wa Katiba umeondolowa bungeni,Kikwete amelazimika kuwataliki maswahiba wake Rostam na Lowassa,na wazushi kibao wamejiunga na JF kujaribu kumchafua Dkt Slaa na Chadema kwa ujumla.Yet unadai Chadema wamepoteza credibility!!!How ironic!!!

Mnaopoteza resources ni ninyi wenye kansa ya damu lakini kwa akili yenu fyongo mnakimbilia kujikwangua magamba.Let us lose the credibility,and leave you happy.WHY CARE?Pilipili usyoila yakuwashia nini?
 
Wabe, mafisad wote waliotajwa ndo roho ya ccm hata iweje haitawezekana kuondolewa kirahis kama wanavyojitapa kwa maana hyo ccm yote itaendelea kuonekana ni chafu therefore ushnd kwa cdm.
 
Haihitaji busara kutambua kuwa laiti Chadema wasingekuwa na credibility usingepoteza muda wako kuwajadili.Why not CUF,why not TLP,UDP,UPDP,nk?Inawakera na kuwanyima usingizi ndio maana imewakaa mdomoni kila muda,na si ajabu ndoto zenu zimetawaliwa na hofu kuhusu Chadema.

Longolongo za mafisadi hazitawazuwia Watanzania ku-reclaim nchi yao kutoka katika nira ya ufisadi na mafisadi.Mtasema wee mkichoka mtanyamaza lakini kwa sie wenye nchi yetu,giving up the fight is not an option.

Huu sio upofu bali ulemavu wa ubongo.Hata mtoto aliyezaliwa wiki iliyopita anaweza kutambua kuwa jitihada za Chadema zimeweza kubadili mambo chungu mzima.Mswada wa Katiba umeondolowa bungeni,Kikwete amelazimika kuwataliki maswahiba wake Rostam na Lowassa,na wazushi kibao wamejiunga na JF kujaribu kumchafua Dkt Slaa na Chadema kwa ujumla.Yet unadai Chadema wamepoteza credibility!!!How ironic!!!

Mnaopoteza resources ni ninyi wenye kansa ya damu lakini kwa akili yenu fyongo mnakimbilia kujikwangua magamba.Let us lose the credibility,and leave you happy.WHY CARE?Pilipili usyoila yakuwashia nini?

Tatizo hapa ni kujaribu ku-reason na frothing-at-the-mouth fanatics kama wewe, lakini tusiende mbali sana: hebu eleza ni nini haswa lengo la kuwaongeza Bharati Goda, John Kato, Philip Mang'ula na John Malecela kwenye orodha ya mafisadi iliyokwisha tolewa pale awali? Suala la credibility (or lack thereof) ya CHADEMA halihusiani hata kidogo na haki ya mtu yoyote kutoa maoni aliyonayo kuhusu CHADEMA.
 
Waberoya umeniamsha naenda kuandika insha kwa ajili yako. Mimi siangalii ni nani amenandika ila najibu mapigo kwa niaba ya mpiganaji wetu Dr Slaa.

Najua utakuwa mdogo sana kwa umri, elimu, ujuzi na maarifa kwa Dr Slaa.
Hata experience zako ktk chama chochote hapa tanzania nadhani ni ndogo sana kulinganisha na Dr Slaa.

Wewe! acha kuwa kama wakina UVcmm.
 
Kwanini husishauri NCCR wafanye nini? au CUF why CDM! why not CCM? Kwanini husijaribu kuwashauri wakina Cheyo! Tanzania ina vyama vya Siasa vingi sana.

Si lazima upambane na adui yako kwa kumuombea njaa au kutafuta mapungufu yake, maana akiwa hana mapungufu unaonekana ayawani! njia nzuri ya kupambana na adui hasiye na kasoro ni kujiimarisha wewe mwenyewe na kujiongezea viwango bora na staili zaidi ya adui yako!

Mi ninge vaa viatu vya kuitetea CCM ningefanya kazi ya kuishauri, nisinge poteza muda wangu kuishamburia CDM wala Dr. Slaa! Wala nisinge toa ushauri potovu kama wa Consultant waliyesemekana kuishauri hivi majuzi, hiki unachofanya wewe nisinge fikiria kabisa!. Maana hata kama leo hii CDM ikifa au Dr. Slaa hakiacha Politics, hiyo hawezi kuifanya CCM kuwa safi, hamna haiwezekani; hayo ni mawazo mgando.

Wanachojaribu kufanya CCM sasa hivi kuonyesha kuwa wapotayari kutawala kimabavu hata kama wananchni hawataki Sera na matendo yao! kama hivyo sivyo wangeraruwa mavazi yao siku nyingi sana badala ya kupoteza muda kurarua Chadema.
 
Waberoya,

..hivi CDM ni Dr.Slaa peke yake, hakuna wengine?

..ktk mkutano wa Tabora, ambao nadhani ndiyo uliopelekea kuandika makala yako, wazungumzaji walikuwa ni Dr.Slaa,Prof.Safari,na Mabere Marando. wote walizungumza hoja tofauti kwa niaba ya CDM. kwanini unachukulia kama mkutano mzima kilichozungumzwa ni ufisadi tu?

..baadhi ya mambo ambayo umesisitiza kama suala la kujenga chama tayari Chadema inayafanya. kwa mfano; wamekuwa active kuandikisha wanafunzi wa chuo kikuu, pia wamekuwa active kutafuta wanachama mmoja mmoja kama Prof.Safari, wamefanya mikutano kanda ya Ziwa, na wametangaza kwenda maeneo mengine ya Tanzania.

..suala la Katiba vs Tume ya Uchaguzi vs muda. kwanza sielewi kwanini isiwezekane kuandika katiba in 2 yrs. binafsi nadhani suala hilo linaonekana gumu kwasababu JK na CCM are not on board. JK na serikali yake wangekuwa na nia njema na taifa hili basi muda huo unatosha kabisa kuandika katiba mpya.

..Tume huru ya uchaguzi ni moja kati ya sheria ambazo CDM wanadai zirekebishwe ndani ya hiyo katiba mpya wanayoipigania. pia kudai masuala ya Tume ya uchaguzi peke yake na ku-abandon hoja ya kurekebisha katiba nzima kunaweza ku-elienate asasi[haki elimu, haki afya, haki ardhi, haki maji,...] nyingi ambazo siyo wadau ktk masuala ya uchaguzi.

..masuala mengine ufisadi na kuhusu nani atajwe na nani asitajwe, pamoja na timing, nadhani unatuchanganya wasomaji wako.

NB:

..kuna tofauti kubwa sana kati ya kumtaja fulani ni mwizi, na kumchoma moto kibaka.
 
Back
Top Bottom