Risk Assessment and Management: CHADEMA nayo Imuondoe Dr. W. Slaa!

Waberoya

Platinum Member
Aug 3, 2008
15,169
10,783
Ni mpenda watu, mkweli, ana uchungu na Taifa na katika watu watakaokumbukwa katika kizazi cha sasa Dr. Slaa hatasahaulika. Kikwete anaweza kusahauliwa tena haraka na jina la Slaa likachukua muda. Kwani yuko mioyoni mwa watu wengi.

Lakini katika hulka za binadamu au tabia tulizonazo kuna wakati mtu muhimu huwa tunampinga, tunampiga na hatuoni thamani yake mpaka pale anapokufa! Kuna wakati watu walio na upendo na mawazo mazuri , mawazo na nia zao nzuri zikachukuliwa au kupokelewa tofauti na baadhi ya makundi ya wat.

Chadema walipaswa kujua kuwa kuna position na situation za kisiasa ..ambazo mara nyingi hazina logic zinaweza kuinua chama au kukiua, Ni vile tukaona Salim A. Salim hatakiwi kuwa rais wa Tanzania na Kikwete akawekwa! Tumeona mpenda vidosho Jacob Zuma akipendwa ....bila sababu

Chadema ilifanya kosa kumteua Slaa kuwa mgombea urais, makosa haya kisiasa ni ya kawaida, kwani haujui adui yako anasema nini, japo swala la kupakwa uchafu wa udini kutokana na background ya Slaa lilikuwa wazi na hapa risk management ilitakiwa

Leo hii wote tunajua position na mchango wa Slaa katika taifa bila kujali dini wala kabila..

Lakini kwa bahati mbaya kwa sababu zilezile nilizozisema 'no logic' existence ya Slaa ndani ya chadema inaonekana kukiua chadema zaidi kuliko kukipaisha na hali hii inaendelea na ikitokea makundi ya wale wanaoipinga chadema yakafikia kuwa na umoja, basi mwisho wa chadema ndio utakuwa umefika..historia inaonyesha huwa hivyo

Chadema; wakati CCM inajivua gamba , na nyie ni wakati wa Slaa kuondoka na kukisafisha chama chenye tuhuma za udini na wanaowachukia hawafichi kabisa.Situation is worse and if you will not do something , I am afraid!

Huu ni ushauri tu, kuna technic nyingi zinaweza kufanyika,.....ila zenu hatujaziona bado

Just Imagine maandamo mliyoyatangaza tayari yamegubikwa na udini! tunaposema hivi ni kwa upendo tu.

Najua wengi wanaweza wakatukana kama kawaida yao, wengine tumejifunza kupambana kuwaondoa watu tongotongo na kusimamia ukweli--mapambano ya fikra hayako kuipinga CCM bali na blind followers, ukweli mara nyingi ambao kama ungefanyiwa kazi tusingekuwa hapa tulipo

Mkitaka kusubiri subirini tu, will recall this post one day

I wish you good Luck!

Wabe.
 
kwanza hizo unazoita tuhuma kwa dr wewe binafsi unakubali ni za kweli au propaganda chafu? Tuanzie kuweka msingi hapo wabe.

je tuhuma za ufisadi ccm ni za kweli au uongo? Na wamejivua gamba kweli unavyoamini wabe?kama wamejivua fafanua plz!

je chama gani kinachopendwa zaidi kwa sasa tz? Na kwanini wabe? Cdm inakuwa au inashuka kulinganisha na ilipotoka? Fafanua jibu lako wabe!

asante wabe,majibu yako ndio ufafanuzi kamili.Dr wa ukweli endeleza mapambano hawa tuachie sisi tutamalizana tu kiutu uzima!

hayo magamba wanayojikwangua ccm unafikiri imetoka hewani wabe? Peoples power kila kona ya nchi hakukaliki ndugu
 
Kwanza ni vema ufahamu CHADEMA haiigi na haitkaa iige kile CCM wamefanya kujiita kuvua gamba

Pili kama unadhani Dr. Slaa amepoteza turufu za CDM kwa background yake basi you are living out of the real world...

Wajinga tu ndio waliobaki na agenda zenu za kipuuzi za udini....you loosers.....
 
Ni mpenda watu, mkweli, ana uchungu na Taifa na katika watu watakaokumbukwa katika kizazi cha sasa Dr. Slaa hatasahaulika. Kikwete anaweza kusahauliwa tena haraka na jina la Slaa likachukua muda. Kwani yuko mioyoni mwa watu wengi.

Lakini katika hulka za binadamu au tabia tulizonazo kuna wakati mtu muhimu huwa tunampinga, tunampiga na hatuoni thamani yake mpaka pale anapokufa! Kuna wakati watu walio na upendo na mawazo mazuri , mawazo na nia zao nzuri zikachukuliwa au kupokelewa tofauti na baadhi ya makundi ya wat.

Chadema walipaswa kujua kuwa kuna position na situation za kisiasa ..ambazo mara nyingi hazina logic zinaweza kuinua chama au kukiua, Ni vile tukaona Salim A. Salim hatakiwi kuwa rais wa Tanzania na Kikwete akawekwa! Tumeona mpenda vidosho Jacob Zuma akipendwa ....bila sababu

Chadema ilifanya kosa kumteua Slaa kuwa mgombea urais, makosa haya kisiasa ni ya kawaida, kwani haujui adui yako anasema nini, japo swala la kupakwa uchafu wa udini kutokana na background ya Slaa lilikuwa wazi na hapa risk management ilitakiwa

Leo hii wote tunajua position na mchango wa Slaa katika taifa bila kujali dini wala kabila..

Lakini kwa bahati mbaya kwa sababu zilezile nilizozisema 'no logic' existence ya Slaa ndani ya chadema inaonekana kukiua chadema zaidi kuliko kukipaisha na hali hii inaendelea na ikitokea makundi ya wale wanaoipinga chadema yakafikia kuwa na umoja, basi mwisho wa chadema ndio utakuwa umefika..historia inaonyesha huwa hivyo

Chadema; wakati CCM inajivua gamba , na nyie ni wakati wa Slaa kuondoka na kukisafisha chama chenye tuhuma za udini na wanaowachukia hawafichi kabisa.Situation is worse and if you will not do something , I am afraid!

Huu ni ushauri tu, kuna technic nyingi zinaweza kufanyika,.....ila zenu hatujaziona bado

Just Imagine maandamo mliyoyatangaza tayari yamegubikwa na udini! tunaposema hivi ni kwa upendo tu.

Najua wengi wanaweza wakatukana kama kawaida yao, wengine tumejifunza kupambana kuwaondoa watu tongotongo na kusimamia ukweli--mapambano ya fikra hayako kuipinga CCM bali na blind followers, ukweli mara nyingi ambao kama ungefanyiwa kazi tusingekuwa hapa tulipo

Mkitaka kusubiri subirini tu, will recall this post one day

I wish you good Luck!

Wabe.

is this all that you learnt from Risk Assessment and Management?

hahaha!!

mwalimu wako kipofu!!
 
Mtazamo na mi ndo nilitaka kumuuliza kua na ye ni mmoja wa wa2 walionasa kwenye mtego wa ccm..nimefanya ka research kadogo na inaonyesha kuwa kuna waislam ccm ambao ni ccm kwanza ndo hao wanaoiponda CDM ucku kucha na waislam watanzania ambao ni tz kwanza..blv me wanelewa nn Dr.anafanya
 
Ni mpenda watu, mkweli, ana uchungu na Taifa na katika watu watakaokumbukwa katika kizazi cha sasa Dr. Slaa hatasahaulika. Kikwete anaweza kusahauliwa tena haraka na jina la Slaa likachukua muda. Kwani yuko mioyoni mwa watu wengi.

Lakini katika hulka za binadamu au tabia tulizonazo kuna wakati mtu muhimu huwa tunampinga, tunampiga na hatuoni thamani yake mpaka pale anapokufa! Kuna wakati watu walio na upendo na mawazo mazuri , mawazo na nia zao nzuri zikachukuliwa au kupokelewa tofauti na baadhi ya makundi ya wat.

Chadema walipaswa kujua kuwa kuna position na situation za kisiasa ..ambazo mara nyingi hazina logic zinaweza kuinua chama au kukiua, Ni vile tukaona Salim A. Salim hatakiwi kuwa rais wa Tanzania na Kikwete akawekwa! Tumeona mpenda vidosho Jacob Zuma akipendwa ....bila sababu

Chadema ilifanya kosa kumteua Slaa kuwa mgombea urais, makosa haya kisiasa ni ya kawaida, kwani haujui adui yako anasema nini, japo swala la kupakwa uchafu wa udini kutokana na background ya Slaa lilikuwa wazi na hapa risk management ilitakiwa

Leo hii wote tunajua position na mchango wa Slaa katika taifa bila kujali dini wala kabila..

Lakini kwa bahati mbaya kwa sababu zilezile nilizozisema 'no logic' existence ya Slaa ndani ya chadema inaonekana kukiua chadema zaidi kuliko kukipaisha na hali hii inaendelea na ikitokea makundi ya wale wanaoipinga chadema yakafikia kuwa na umoja, basi mwisho wa chadema ndio utakuwa umefika..historia inaonyesha huwa hivyo

Chadema; wakati CCM inajivua gamba , na nyie ni wakati wa Slaa kuondoka na kukisafisha chama chenye tuhuma za udini na wanaowachukia hawafichi kabisa.Situation is worse and if you will not do something , I am afraid!

Huu ni ushauri tu, kuna technic nyingi zinaweza kufanyika,.....ila zenu hatujaziona bado

Just Imagine maandamo mliyoyatangaza tayari yamegubikwa na udini! tunaposema hivi ni kwa upendo tu.

Najua wengi wanaweza wakatukana kama kawaida yao, wengine tumejifunza kupambana kuwaondoa watu tongotongo na kusimamia ukweli--mapambano ya fikra hayako kuipinga CCM bali na blind followers, ukweli mara nyingi ambao kama ungefanyiwa kazi tusingekuwa hapa tulipo

Mkitaka kusubiri subirini tu, will recall this post one day

I wish you good Luck!

Wabe.
dah... jana nilikua na hasira sana, lakini leo zimeisha... ila bado sielewi mantiki ya kuiga-iga ya watanzania, mwenzako akinunua gari basi na wewe hulali hadi ununue gari

HIli la kuvua gamba sidhani kama ni sera au mkakati wa CDM kwa sasa... rather than kumtoa Slaa, CDM would rather reorganise, fill all the vacancies and remove moles
 
it was not a good idea kumsimamisha kugombea urais slaa?? ni watu wachache sana Tanzania hii unaweza kuwauliza swali kama hilo
wakakujibu YES. Binafisi ninasema kusimashwa kwa slaa it was the BEST IDEA EVER toka kuanzishwa kwa chama hiki na sababu ni hizi hapa
1.kutoka kura 700,000 za urais mpaka kura 2.5 million that is a success.
2.kutoka wabunge watano mpaka wabunge 47 that is a success.
3.kwa upande wa madiwani sina hakika na idadi labda wachambuzi wengine wanaweza kunisaidia ktk hili lakini i beleive wanaweza kuwa wameongezeka mara kumi ya kuliko waliokuwa nao hapo awali.
4. halmashauri kutoka moja mpaka halmashauri kumi nchi nzima that is a BIG success.
5.wanachama kutoka mamia mpaka milioni plus.
6. ruzuku kutoka milioni 40 mpaka milioni 200 kwa mwezi that is called success. ili uweze kujiimarisha.

bado tu unafikiria kuwa kumsimamisha slaa was a mistake ingawaje ktk maelezo yako umeibuwa issue ya dini lakini umeshindwa kutoa
hoja za kusupport point yako kama kawaida yenu empty skeleton we used to call them.
 
SIJASEMA SEHEMU CDM INA GAMBA!! CDM haina tatizo lolote ila lisiasa kuna wakati huwa haueleweki unavyotaka ueleweke! nimetoa mifani ya salim na zuma, still you guys purposely mna -digress hoja!!

nwaonea huruma sijaona hoja , waislamu hawawatki BADALA YA KUWAAMBIA VIONGOZI WENU WAPIGANE NA HIYO HALI, MNABAKI KUTUMATUMA VIPOST VYA KISHABIKI..UJINGA HUO

HOJA ni kuwa CDM ifanye nini kujikwamua na hali hii kama mnaona is ok tuendelee!
 
Ni mpenda watu, mkweli, ana uchungu na Taifa na katika watu watakaokumbukwa katika kizazi cha sasa Dr. Slaa hatasahaulika. Kikwete anaweza kusahauliwa tena haraka na jina la Slaa likachukua muda. Kwani yuko mioyoni mwa watu wengi.

Lakini katika hulka za binadamu au tabia tulizonazo kuna wakati mtu muhimu huwa tunampinga, tunampiga na hatuoni thamani yake mpaka pale anapokufa! Kuna wakati watu walio na upendo na mawazo mazuri , mawazo na nia zao nzuri zikachukuliwa au kupokelewa tofauti na baadhi ya makundi ya wat.

Chadema walipaswa kujua kuwa kuna position na situation za kisiasa ..ambazo mara nyingi hazina logic zinaweza kuinua chama au kukiua, Ni vile tukaona Salim A. Salim hatakiwi kuwa rais wa Tanzania na Kikwete akawekwa! Tumeona mpenda vidosho Jacob Zuma akipendwa ....bila sababu

Chadema ilifanya kosa kumteua Slaa kuwa mgombea urais, makosa haya kisiasa ni ya kawaida, kwani haujui adui yako anasema nini, japo swala la kupakwa uchafu wa udini kutokana na background ya Slaa lilikuwa wazi na hapa risk management ilitakiwa

Leo hii wote tunajua position na mchango wa Slaa katika taifa bila kujali dini wala kabila..

Lakini kwa bahati mbaya kwa sababu zilezile nilizozisema 'no logic' existence ya Slaa ndani ya chadema inaonekana kukiua chadema zaidi kuliko kukipaisha na hali hii inaendelea na ikitokea makundi ya wale wanaoipinga chadema yakafikia kuwa na umoja, basi mwisho wa chadema ndio utakuwa umefika..historia inaonyesha huwa hivyo

Chadema; wakati CCM inajivua gamba , na nyie ni wakati wa Slaa kuondoka na kukisafisha chama chenye tuhuma za udini na wanaowachukia hawafichi kabisa.Situation is worse and if you will not do something , I am afraid!

Huu ni ushauri tu, kuna technic nyingi zinaweza kufanyika,.....ila zenu hatujaziona bado

Just Imagine maandamo mliyoyatangaza tayari yamegubikwa na udini! tunaposema hivi ni kwa upendo tu.

Najua wengi wanaweza wakatukana kama kawaida yao, wengine tumejifunza kupambana kuwaondoa watu tongotongo na kusimamia ukweli--mapambano ya fikra hayako kuipinga CCM bali na blind followers, ukweli mara nyingi ambao kama ungefanyiwa kazi tusingekuwa hapa tulipo

Mkitaka kusubiri subirini tu, will recall this post one day

I wish you good Luck!

Wabe.

Dini imetoka wapi uku? Usitumie propaganda kufananisha na uhasilia. Kwani CCM kujiuzulu ni uhasilia ndio umewahukumu.
 
Tuhuma za udini na ukabila zinatolewa na watu wenye upeo mdogo kama wewe. Siku zote watu wanaoshabikia udini na ukabila hawafiki mbali, CCM ilidhani ikitumia udini CDM isinge fanya vizuri uchaguzi uliopita lakini matokeo yake mmeyaona. CDM ina wanachama na wapenzi wake ambao ni sehemu ya wananchi bila kujali dini wala kabila subiri maandamano yajayo utaona shughuli yake. Watanzania hawadanganywi na watu wachache wanao shabikia udini na ukabila kwa maslahi yao, hao wanao piga kelele za udini kila siku ni hao hao ns wata-aibika siku ya maandamo ya CDM.
 
dogo

CDM si nyoka hivyo haina gamba

Nafahamu how close uko na Zitto na unajaribu kuhitimisha ndoto za mwenzako

Just be careful not to lose your repurtation, coz your ratings are unequivocally high

I AM TERRIBLY DISAPPOINTED WITH THE TIMING AND WHAT I KNOW OF 2015 DREAMS FROM SOME MUPPETS

Ok

Mimi si mnafiki na nafahamu kwamba zitto anaamini atakua rais by 2015... na wewe ni timu yake

too sad wabs, my hero and intellectual farting like a squirrel

Too sad for you my dear! kama ukaribu wangu na Zito ndio unaofanya CDM kichukiwa na unakosa hoja ya kukiokoa kwa sababu ya uhusiano wangu na Zito sawa! umenifanya nicheke, umeenda mbali na hoja, I am not hero, I am not intellectual hayo umenipa wewe na ulinipa wewe!

JIBU HOJA, KATAA kuwa Slaa asiondoke na sema nini wafanye! kwa nini mko kwenye gari mnajua kabisa haliendi popote bali ni kupiga resi tu na makonda kusema linaenda na bado liko stendi?

Huyo Zito wala hafai kuwa katibu mkuu wa chadema, wala sijui na sina ukaribu naye..we are connected with Zitto kwa mawazo yake na itikadi zake na si vinginevyo

Haya waislamu hawakitaki CDM unasema nini?

Conclusion zako kwenye post mbili zimenifanya nikuweke kwenye -ignore list, umeandika kama una uhakika kabisa! my God! namna hiyo unaweza kumgomnaisha mama yako na baba yako, ukimuona mama anaongea na mzee fulani utatoa conclusiona na kumweleza baba! childish, watu wanashindana kwa hoja na si kusingiziana vitu ambavyo personally unajua si kweli na kama unaamini umekosea!

poor MTM!
 
SIJASEMA SEHEMU CDM INA GAMBA!! CDM haina tatizo lolote ila lisiasa kuna wakati huwa haueleweki unavyotaka ueleweke! nimetoa mifani ya salim na zuma, still you guys purposely mna -digress hoja!!

nwaonea huruma sijaona hoja , waislamu hawawatki BADALA YA KUWAAMBIA VIONGOZI WENU WAPIGANE NA HIYO HALI, MNABAKI KUTUMATUMA VIPOST VYA KISHABIKI..UJINGA HUO

HOJA ni kuwa CDM ifanye nini kujikwamua na hali hii kama mnaona is ok tuendelee!

Tenda wema wende zako!
 
Mimi nilifikiri WATANZANIA hawaitaki; kumbe ni Waislamu? No big deal, CDM si chama cha waislamu, ni cha watanzania! Hope u put this in that big jug u call it ur head
 
SIJASEMA SEHEMU CDM INA GAMBA!! CDM haina tatizo lolote ila lisiasa kuna wakati huwa haueleweki unavyotaka ueleweke! nimetoa mifani ya salim na zuma, still you guys purposely mna -digress hoja!!

nwaonea huruma sijaona hoja , waislamu hawawatki BADALA YA KUWAAMBIA VIONGOZI WENU WAPIGANE NA HIYO HALI, MNABAKI KUTUMATUMA VIPOST VYA KISHABIKI..UJINGA HUO

HOJA ni kuwa CDM ifanye nini kujikwamua na hali hii kama mnaona is ok tuendelee!

- Point!

William @ NYC, USA.
 
Hiyo ni risk assessment and management ya wapi? Hakuna uhusiano wa title ya thread na ulichozungumza! Ni ukweli usiopingika kwamba Dr Slaa ni kiboko ya CCM na mtetezi wa walalahoi wa Tanzania! Bila Dr Slaa usingesikia msamiati wa kujivua gamba kwa CCM, Kikwete kutapatapa kwamba CHADEMA wanafanya uhaini, usingesikia malumbano ya vijivisadi vidogo (UVCCM ) na viongozi wastaafu wa serikali e.g Sumaye. Inaelekea na wewe na fisadi au umetumwa na vibaraka wa CCM walioko ndani ya CHADEMA lakini hautafanikiwa!!!!!!!!!
 
At least now mnaondoka kwenye thread za CCM! wanafiki wakubwa

Toka majuzi CDM woote ndio mnaamua mnataka CCM wafanye nini! kamasi unafiki ni nini??

tujadili ya kwetu sasa!! haya endeleeni!

CDM kimeishakufa kwa tuhuma za sasa! kubalini kataeni!
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom