STEIN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2010
- 1,770
- 553
SIJASEMA SEHEMU CDM INA GAMBA!! CDM haina tatizo lolote ila lisiasa kuna wakati huwa haueleweki unavyotaka ueleweke! nimetoa mifani ya salim na zuma, still you guys purposely mna -digress hoja!!
nwaonea huruma sijaona hoja , waislamu hawawatki BADALA YA KUWAAMBIA VIONGOZI WENU WAPIGANE NA HIYO HALI, MNABAKI KUTUMATUMA VIPOST VYA KISHABIKI..UJINGA HUO
HOJA ni kuwa CDM ifanye nini kujikwamua na hali hii kama mnaona is ok tuendelee!
Post yako imekaa kishabiki na ina propaganda ndani yake ndio maana watu wanaijibu kipropaganda. Kuhusu CDM ifanye nini jibu unalo kabisa nikuendelea kudai kile ambacho watanzania wanahitaji. Acha ushabiki wako