Peasant
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 3,949
- 687
Lakini hao viongozi wa CHADEMA wameonyesha weakness kwa kumchagua Mziray kuongoza uchunguzi wakati yeye mwenyewe ndio alitoa hiyo hoja ya kuwepo ukabila! Sasa walitegemea matokeo yapingane na shutuma/hoja zake? Au nao walikuwa wamempa bomu tu wakijua hata report iwe nzuri kiasi gani wataikataa tu? It's true kwamba report ni mbovu, na haijawa structured as a report, lakini je huyo Mziray ana uwezo kiasi gani wa kuweza kutengeneza reasonable report? Asijekuwa ni satili ya kina Samwel Chitalilo, sasa unategemea nini? Manake ndio wanasiasa wa bongo hao!