Ripoti mpya ya UN yaishutumu Serikali ya Ethiopia kwa Ukatili dhidi ya Watu wa Tigray

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,029
1,643
Wachunguzi wa Umoja wa Mataifa wanasema wanaamini kuwa Serikali ya #Ethiopia inahusika na uhalifu dhidi ya binadamu unaoendelea katika eneo la #Tigray, Kaskazini Mwa Nchi hiyo

Katika Ripoti hiyo, Tume ya Wataalamu wa Haki za Kibinadamu iliangazia kile ilichokiita taarifa za kuaminika za mauaji makubwa yaliyofanywa na Jeshi la Ulinzi la Taifa la Ethiopia, ambayo yaliwalenga Wanaume na Wavulana wa Tigray walio katika umri wa kupigana

Wachunguzi walisema kuna ushahidi pia kwamba njaa ilikuwa ikitumiwa kama silaha ya vita, hata hivyo
Serikali haijajibu tuhuma hizo hadi hivi sasa

..................................

UN investigators say they believe the Ethiopian government is behind ongoing crimes against humanity in the northern Tigray region. In a report, the Commission of Human Rights Experts on Ethiopia highlighted what it called credible information of large-scale killings committed by Ethiopia's national defence force, that targeted Tigrayan men and boys of fighting age.

The government has not responded to the allegations. Investigators say there is also evidence that starvation is being used as a weapon of war. The report says human rights violations have been committed by all sides since fighting erupted nearly two years ago. It describes the humanitarian crisis in Tigray as shocking.

Tigrayan authorities have welcomed the report. A Tigrayan spokesman told the AFP news agency that they had "always maintained" that Ethiopia's government was responsible for crimes against humanity in the region.
Investigators warn that the recent resumption of the conflict after a five-month truce increases the risk of further atrocities.

Source: BBC
1663654282399.gif
 
Back
Top Bottom