Kama mtu anapiga halafu anaona hakuna hatua zinazochukuliwa mwache apige tu mpaka nchi ichakae.
 
Kazi ya upinzani ni kusaidia serikali kama haupo Ndio matokeo yake
 
Watu wanasema kuwa dunia ya leo ogopa sana technology na watawala.

Leo hii tumeanza kugundua na kujuzwa na vyombo vya habari kuwa awamu ya 5 iliongoza kwa ufisadi.

Waliokuwa wanajiita wazalendo kumbe walikuwa ndio wapigaji wakubwa wa mali ya umma.

Source:raia mwema.

Screenshot_20220415-085334.jpg
 
Ndo serkali ya bibiyenu inajificha kwenye koti la Magufuli! Eti 97.5% ni hati safi! Upigaji saizi unafunikwa ili aonekane mama anafanya kazi! Ila hana kitu! Mfano hata ACT WAZALENDO naona wanachambua kwa kuegemea awamu ya tano! Ila mda wa kumsingizia kila kitu utaisha na ndo mtakapokaa uchi!

Report ni ya 2020/2021 kwanini utake Samia aandikwe na sio Magufuli?
 
Wapumbavu kabisa wanaodhani Samia hahusiki na huu ufisadi. Samia alikuwa makamu wa rais na alikuwa anashiriki na kuunga mkono kwenye kila kilichotokea.
Hii iliitwa "serikali ya magufuli" sio ya Samia, kwanza walimtenga kwenye maamuzi
 
Ndo serkali ya bibiyenu inajificha kwenye koti la Magufuli! Eti 97.5% ni hati safi! Upigaji saizi unafunikwa ili aonekane mama anafanya kazi! Ila hana kitu! Mfano hata ACT WAZALENDO naona wanachambua kwa kuegemea awamu ya tano! Ila mda wa kumsingizia kila kitu utaisha na ndo mtakapokaa uchi!
umeshaisha, Samia kasema tumerudi uchumi wa chini na tamisemi wamepiga sh mil 700 kwa kununua pikipiki 68 baada ya 268. Hivi pikipiki nazo zinakujaga kwa awamu kweli? eti tumepokea pikipiki 68 bado 200 ila hela tumeshalipa, zimekua ndege hizi? Wendawazimu huuu. Hii nchi bila vita hatuendi popote. Ikianza Civil War ninajua nitakuwa upande gani.
 
Hivi huyo mama enu mpaka sasa kaganya kipi kipya zaidi ya kusafiri kila kukicha na kusababisha upigaji watu wanapiga kila kona mmebaki kumsingizia marehemu
 
umeshaisha, Samia kasema tumerudi uchumi wa chini na tamisemi wamepiga sh mil 700 kwa kununua pikipiki 68 baada ya 268. Hivi pikipiki nazo zinakujaga kwa awamu kweli? eti tumepokea pikipiki 68 bado 200 ila hela tumeshalipa, zimekua ndege hizi? Wendawazimu huuu. Hii nchi bila vita hatuendi popote. Ikianza Civil War ninajua nitakuwa upande gani.
Typing error, serikali imesahihisha, ni pikipiki 268, nyie ndio mwalimu anawaambia darasani, "sema A" na wewe unamjibu "sema A"
 
.....
Itisheni mikutano ya hadhara muwaeleze wazi wazi wananchi vitu hivi. Mbona mnajifungia kwenye kumbi na magazeti? Mje mbele ya raia muwaeleze haya tote mnayoandika magazeti, na kuyasema kwenye viako vyenu vya ndani, na kumbi mbali mbali wawaelewe vizuri wananchi. Rahisi tu!
 
Back
Top Bottom