chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,228
21,000
Wale wanazi wa Jiwe wanadai kwamba katika awamu yake hapakuwa na upigaji, kulikuwa na upigaji sana kuliko utawala wowote tangu nchi hii iumbwe.

Mama Samia anajikita kurekebisha mifumo ya nchi, sio kufokafoka mabarabarani, mifumo inaziba upigaji, na ni endelevu, mifumo inafoka yenyewe
Screenshot_20220415-072852.jpg
 
Wale wanazi wa Jiwe wanadai kwamba katika awamu yake hapakuwa na upigaji, kulikuwa na upigaji sana kuliko utawala wowote tangu nchi hii iumbwe.

Mama Samia anajikita kurekebisha mifumo ya nchi, sio kufokafoka mabarabarani, mifumo inaziba upigaji, na ni endelevu, mifumo inafoka yenyewe
Utateuliwa mkuu. Endelea kupiga debe
Au ni miongoni mwa mnaokula kwa urefu wa kamba?
 
Ndo serkali ya bibiyenu inajificha kwenye koti la Magufuli! Eti 97.5% ni hati safi! Upigaji saizi unafunikwa ili aonekane mama anafanya kazi! Ila hana kitu! Mfano hata ACT WAZALENDO naona wanachambua kwa kuegemea awamu ya tano! Ila mda wa kumsingizia kila kitu utaisha na ndo mtakapokaa uchi!
 
Ndo srrkali ya bibiyenu inajificha kwenye koto la Magufuli! Eti 97.5% ni hati safi! Upigaji saizi unafunikwa ili aonekane mama anafanya kazi! Ila hana kitu! Mfano hata ACT WAZALENDO naona wanachambua kwa kuegemea awamu ya tano! Ila mda wa kumsingizia kila kitu utaisha na ndo mtakapokaa uchi!
Tutaachia special audit ya manunuzi ya ndege ili makende ya chato yabaki wazi
 
Wale wanazi wa Jiwe wanadai kwamba katika awamu yake hapakuwa na upigaji, kulikuwa na upigaji sana kuliko utawala wowote tangu nchi hii iumbwe.

Mama Samia anajikita kurekebisha mifumo ya nchi, sio kufokafoka mabarabarani, mifumo inaziba upigaji, na ni endelevu, mifumo inafoka yenyewe
Sijui kama kuna mtu atakuelewa. Lambda chawa wenzio.

Anarekebisha Nini kama watu wananunua pikipiki Moja kwa million 11 na ushee?

Mbuzi kula kwa kamba ya urefu wake.

Bado kidogo tu muanze kuumbuka na Bi Tozo wako. Mumeishi kwenye kuponda ya marehemu mukasahau kuweka sawa ya kwenu.
 
Pumbavu zenu Wanafiki Wakubwa nyie, Alivyoingia Kikwete, Mlisema hivyo hivyo kwamba anarekebisha Wizi wa Serikali iliyopita, akaja Maghufuri mkasema hivi hivi kwamba anaondoa Wizi na Uozo wa Serikali iliyopita, kaja Samia sasa mnaongea Ujinga ule ule kuwa anasafisha Wizi wa Serikali iliyopita....!

Akitoka Samia ataingia Rais ajaye wa CCM, mtasema the same kuwa anasafisha Wizi ulosababishwa na Serikali ya Samia...... Stupidity....!

Tutaibiwa mpaka mwisho wa Dunia kwa Ujinga wa Raia kama mtoa Mada... Shenzi zako!!!
 
Wale wanazi wa Jiwe wanadai kwamba katika awamu yake hapakuwa na upigaji, kulikuwa na upigaji sana kuliko utawala wowote tangu nchi hii iumbwe.

Mama Samia anajikita kurekebisha mifumo ya nchi, sio kufokafoka mabarabarani, mifumo inaziba upigaji, na ni endelevu, mifumo inafoka yenyewe
Sema Serikali ya CCM
 
Back
Top Bottom