Ringtone za kimahaba

kilambalambila

JF-Expert Member
Nov 16, 2013
9,290
8,611
Hivi nyie mnaoweka ringtone za mahaba mahaba huwa mnafikiria nini? Yaan simu ikiita kama mko ofisin au sehem nyingine ya heshima hadi unaona aibu.

Kuna kijana hapa ofisin simu ina ringtone utadhan ni recorded wakati wa tendo la ndoa!

Jaman jifunze kuweka ringtones za heshima hasa mnapokuwa maofisini.

Kuna wengne wanaweka hiphop na nyimbo nyingne za ajabu simu ikiita utadhani redio imewashwa hasa zile za mchina zenye spika kubwa
 
Siamini mapenzi yanaweza kuua cjui nini na nini aaaagggr" huyu offic mate wangu ni mzee naonaga aibu kumwambia cpnd hadi basi
 
hii ni free coutry sasa we unataka kulazimisha wote waishi kama unavyoishi wewe? utakuwa sio mzima.
 
Kwaiyo uyo kijana wa ofisini umeshamwambia au jf panatosha kuondoa kero unazopata ofisini kwako!
 
Ninakereka sana jaman !sim inaita mpaka ulichokuwa unafanya unasahau kifup wahusika jirekebishen.
 
Simu inaita...."baba katika jina la Yesu Kristo..........."
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom