Rihanna na BF wake mpya usipime

Hicho chako wala hakilipi, kimekakamaa sana. Kitakuwa kinachoma choma hicho.

Mbona ma house boy wako hivi na wanakula mama mwenye nyumba mpaka mama anamhama baba mwenye nyumba/ndoa? huu ndio mwili wa kazi.

Cheki hapa nimepiga may fair ningekuwa sijao nauhakika hapa ningempata mtu.

.........Hapa Rihanna kapata mwanaume , kifua chake tu ni cha mwanaume haswa!![/Q
That guy is a baseball player, pamoja na mazoezi pengine kuna vitu vingine vinasaidia kutanua hicho kifua, si mnawajua tena wacheza baseball!.
 
Mbona ma house boy wako hivi na wanakula mama mwenye nyumba mpaka mama anamhama baba mwenye nyumba/ndoa? huu ndio mwili wa kazi.

Cheki hapa nimepiga may fair ningekuwa sijao nauhakika hapa ningempata mtu.

Hahahaaaaaaa! shemeji za kupotea;)
 
Damm! kifua hicho nimekikubali, will they last kweli ama ni bypass tu.
watalast vipi na wakati nyie ma-SHE mnasema kifua ndio mnapenda??
inawezekana nae ana akili fupi kamaindi kifua, so akitokea mwenye kifua kipana zaidi kama cha mpwazzz Geoff lazima abebe mzigo, lols women are so commercial
 
Unfortunately mara nyingi ni hivyo!

Hapo ni ukweli kwa watu wanene(miraba minne) na wanaonyanyua vyuma kwa body building laikini sio kwa ajili ya shape up ambayo ni aerobic class infact ndio recommended exercise kwa ajili ya watu wenye matatizo ya mitarimbo. (hapa nimetumia professional yangu sio imani)
 
watalast vipi na wakati nyie ma-SHE mnasema kifua ndio mnapenda??
inawezekana nae ana akili fupi kamaindi kifua, so akitokea mwenye kifua kipana zaidi kama cha mpwazzz Geoff lazima abebe mzigo, lols women are so commercial
GP unaenda wapi na hiyo chupa?
 
watalast vipi na wakati nyie ma-SHE mnasema kifua ndio mnapenda??
inawezekana nae ana akili fupi kamaindi kifua, so akitokea mwenye kifua kipana zaidi kama cha mpwazzz Geoff lazima abebe mzigo, lols women are so commercial
hehehe,
jojipoji taratibu,
wameanza kuni piemu hapa wanadhani unalolihubiri ni kweli kumbe ni mambo ya KEYBOARD:D
--EE MUNGU BABA WA REHEMA ZOTE,nakuomba unisaidie nifike 13/02/2010.IMANI YANGU NI NDOGO SANA BABA,NAOMBA UNIBEBE KWA IMANI YAKO!
--SHETANI TOKAAAAA!..........
 
Duhh hicho kifua cha huyo jamaa bombaaaaaa sanaaaaaa, hongera sana mwana wane hata ukibwagwa baada ya muda mfupi kifuwa umekifaidi.
 
hehehe,
jojipoji taratibu,
wameanza kuni piemu hapa wanadhani unalolihubiri ni kweli kumbe ni mambo ya KEYBOARD:D
--EE MUNGU BABA WA REHEMA ZOTE,nakuomba unisaidie nifike 13/02/2010.IMANI YANGU NI NDOGO SANA BABA,NAOMBA UNIBEBE KWA IMANI YAKO!
--SHETANI TOKAAAAA!..........

TETETETE NANI KAKU pm binamu ...angalia hiyo tarehe kusiwepo pingamizi kale ka mama lishe ka mtaani kwenu huwa hakaaminiki kale
 
Back
Top Bottom