Ridhiwani Kikwete ang'aka tena

au anakumbukia miseno ya zamani mtoto wanyoka ni nyoka mambo yaliisha badilika ooooooooooh.
 
Jamani, naombeni muweke ile picha aliyopiga siku ile anazungumza na waandishi wa habari. Angalieni kwa makini ile suti aliyovaa. Mtaniambia bei yake.

si alisema Dar tunaishi kimjinimjini, kila kitu anaazima, yaani hadi gagulo la mwenzi wake ni la kuazima.
 
Kuna maandiko matakatifu yanasema miaka elfu kwa Mungu ni kama siku moja inawezekana pia watawala na familia zao wanaihesabu hivyo.
 
Natoa siku 7 kwa Ridhiwani Kikwete aende mahakamani kama alivyotujulisha umma pale NEW AFRIKA HOTEL
Ridhiwani alisema hawa wazee ni makanjanja (dr slaa & Mtikila) kwa kumuita yeye ni bilionea hali yeye hana hizo mali anamiliki shamba la ekta 1.5 na account tatu ambazo hakusema zina kiasi gani ndani yake.
Ridhiwani aliujulisha umma kwamba hawa wazee wetu, wametoa tuhuma zisizo na ukweli na jamii isiwaamini kwa maneno yao.

natoa siku saba kwake ama la na umma ujue
  1. Ridhiwani anamiliki hizo mali zilizotajwa
  2. Serikali inamlinda kwa kutomchungaz na kumchukulia hatua
  3. Kikwete anajua uchafu wa Ridhiwani
  4. Hiyo tuhuma za ubilionea ni za kweli na yeye hatakuwa amethibitisha ni kweli kwa kutokwenda mahakamani na hivyo sisi taifa tumchukulie kama mkwapuwaji wa mali zetu na umma na sio mtuhumiwa tena, nasema hivyo kwa sababu yeye ni mwanasheria na ni hakika Dr slaa kama amemsingizi hatakwenda mahakamni ili kumpa usingizi yeye na familia yake, kwa misingi kwamba Dr slaa amekuwa mwiba kwao na hakuna jinsi wanaweza kuhacha nafasi hadimu kama hii, ikiwa itapatikana,
  5. Pia kama jamii tutakoma kabisa kusikiliza malalamiko yake baada ya hizo siku saba.
  6. Polisi wamchukulia hatua maana huo ni ushahidi tosha kwamba ana ubilionea wa kukwapua mali za umma
  7. CCM wamvue gamba
  8. Baada ya hizo siku saba yeye ridhiwani hawaombe msamaha dr slaa na mtikila kwa kuwaita makanjanja kwenye vyombo vy habari.
mwisho kabisa kama ridhiwani hatokwenda mahakamani wakuu tuhasishi kumzomea yeye na familia yake kila wanakoonekana.

PLEASE NOTE: siku saba nilizotoa kwa Ridhiwani afanye kama alivyosema, maana alitoa ufafanuzi mzuri tu, kwa hivyo alikuwa anajua anachosema na kama hatofanya hivyo ina maana TUHUMA ZOTE NI KWELI.
kwa hivyo hayo mambo nane hapo juu pia yatakuwa kweli na sisi wananchi tuanze utekelezaji wa hayo 8, na mengine wakuu mtakayoona ni muhimu sisi wananchi kuyafanya kwa watu kama hawa.
ili litakuwa funzo kwa watu, hasa wanasiasa na familia zao kwenda kwenye vyombo vya habari na kakanusha kwa kiburi habari muhimu na tuhuma za ukweli zinazowahusu. na tutafanya hivyo kwa kila kiongozi hatakaye kanusha vitu vya ukweli kwa maslahi binafsi.
SASA RIDHIWANI JINYONGE MWENYEWE AU JIOKOE KWA KWENDA MAHAKAMANI.
 
Hapo kwenye namba 7 itakuwa ngumu. Jk mwenyewe CCM wameshindwa kumvua gamba wataweza kwa R1??
 
Then hii ni "prima facie evidence" kwamba yeye ni fisadi!

The most stupid way of interpreting things. What do you know about prima facie evidence? Huyu dogo alitoa siku saba kwa waropokaji hawa kuja na ushahidi, ku-retract porojo zao au wafikishwe mahakama. If you are saying the seven days expired yesterday, did you expect him to knock the court doors today? He needs time to prepare court documents that institute proceedings that will sure take a few days. This is not like sighting of the moon, it is a process that starts the moment the accuser fails to take heed to the demand notice.

Lakini ambacho ni cha kushangaza ni taarifa kwamba huyo anayeitwa Dr. na mnayemtukuza sana ame-despatch watu kwenda mikoani kutafuta ushahidi baada ya kupokea demand notice na hii inamaanisha kwamba alitumwa kuropoka na mafisadi wanaomtumia wakati hakuwa na ushahidi wowote ule na kwa sababu amezoea watu kutishia bila kuchukua hatua, sasa ameona kabisa hatari iliyo mbele yake. case ya Mtikila hatuwezi kuisemea kwa sababu case yake ya insanity ni well documented na sasa anachofanya ni kutafuta ajira ya kusogeza siku baada ya kugeuka kuwa irrelevant kwenye political equation ya nchi hii.
 
All i see here is a lot of personal attack,massive character assassination fuelled by drugs,hunger,life frustration by people who have failed to take responsibility regarding their life and thinking coming here in the site and throw insult arround will achieve them anything.NOPE,they may as well tell the insult to the wind for all result they will get

Who do you think you are? Where do u get this gut to insult other people! how dare to call others are taking drugs, they are frustrated and fail to take responsibility! do take care of their life? is what in your mind that everyone here has nothing to do? this is absolutely stupid, lack of discipline and cheap arrogance.
My Advice: Think before you speak/post you dirty comments.
 
Unawaita watu unawataarifu kuna jambo unataka kulifanya badae wanakuuliza mbona hujalifanya unawaambia haliwahusu.
Hivi hii familia imelogwa.
Natamani miraji aongee naye nijue uwezo wake wa kufikiri.
 
Mtoto utafikiri Abunuasi amekalia tawi analolikata:A S cry: Atapeleka kilio kwa kwa ****** sasa hivi!
 
Sawa Ndugu Mbopo!

Tunasubiri mjipange tukutane huko kwa court.

Mbichi na Mbivu zitajulikana mwaka huu. Na hatuweki evidance hadharani coz utaalam wa kuchakachua wote tuna ufahamu.
 
The most stupid way of interpreting things. What do you know about prima facie evidence? Huyu dogo alitoa siku saba kwa waropokaji hawa kuja na ushahidi, ku-retract porojo zao au wafikishwe mahakama. If you are saying the seven days expired yesterday, did you expect him to knock the court doors today? He needs time to prepare court documents that institute proceedings that will sure take a few days. This is not like sighting of the moon, it is a process that starts the moment the accuser fails to take heed to the demand notice.

Lakini ambacho ni cha kushangaza ni taarifa kwamba huyo anayeitwa Dr. na mnayemtukuza sana ame-despatch watu kwenda mikoani kutafuta ushahidi baada ya kupokea demand notice na hii inamaanisha kwamba alitumwa kuropoka na mafisadi wanaomtumia wakati hakuwa na ushahidi wowote ule na kwa sababu amezoea watu kutishia bila kuchukua hatua, sasa ameona kabisa hatari iliyo mbele yake. case ya Mtikila hatuwezi kuisemea kwa sababu case yake ya insanity ni well documented na sasa anachofanya ni kutafuta ajira ya kusogeza siku baada ya kugeuka kuwa irrelevant kwenye political equation ya nchi hii.

Anayeitwa na ambaye hasitahili kuitwa Dr ni Jakaya Mrisho Kikwete mwenye degree ya heshima pamoja na mawaziri wake e.g. Nchimbi, Nagu etc waliochakachua PhD , Slaa (PhD) amesomea na anastahili kuitwa Dr.
 
Natoa siku 7 kwa Ridhiwani Kikwete aende mahakamani kama alivyotujulisha umma pale NEW AFRIKA HOTEL
Ridhiwani alisema hawa wazee ni makanjanja (dr slaa & Mtikila) kwa kumuita yeye ni bilionea hali yeye hana hizo mali anamiliki shamba la ekta 1.5 na account tatu ambazo hakusema zina kiasi gani ndani yake.
Ridhiwani aliujulisha umma kwamba hawa wazee wetu, wametoa tuhuma zisizo na ukweli na jamii isiwaamini kwa maneno yao.

natoa siku saba kwake ama la na umma ujue
  1. Ridhiwani anamiliki hizo mali zilizotajwa
  2. Serikali inamlinda kwa kutomchungaz na kumchukulia hatua
  3. Kikwete anajua uchafu wa Ridhiwani
  4. Hiyo tuhuma za ubilionea ni za kweli na yeye hatakuwa amethibitisha ni kweli kwa kutokwenda mahakamani na hivyo sisi taifa tumchukulie kama mkwapuwaji wa mali zetu na umma na sio mtuhumiwa tena, nasema hivyo kwa sababu yeye ni mwanasheria na ni hakika Dr slaa kama amemsingizi hatakwenda mahakamni ili kumpa usingizi yeye na familia yake, kwa misingi kwamba Dr slaa amekuwa mwiba kwao na hakuna jinsi wanaweza kuhacha nafasi hadimu kama hii, ikiwa itapatikana,
  5. Pia kama jamii tutakoma kabisa kusikiliza malalamiko yake baada ya hizo siku saba.
  6. Polisi wamchukulia hatua maana huo ni ushahidi tosha kwamba ana ubilionea wa kukwapua mali za umma
  7. CCM wamvue gamba
  8. Baada ya hizo siku saba yeye ridhiwani hawaombe msamaha dr slaa na mtikila kwa kuwaita makanjanja kwenye vyombo vy habari.
mwisho kabisa kama ridhiwani hatokwenda mahakamani wakuu tuhasishi kumzomea yeye na familia yake kila wanakoonekana.

PLEASE NOTE: siku saba nilizotoa kwa Ridhiwani afanye kama alivyosema, maana alitoa ufafanuzi mzuri tu, kwa hivyo alikuwa anajua anachosema na kama hatofanya hivyo ina maana TUHUMA ZOTE NI KWELI.
kwa hivyo hayo mambo nane hapo juu pia yatakuwa kweli na sisi wananchi tuanze utekelezaji wa hayo 8, na mengine wakuu mtakayoona ni muhimu sisi wananchi kuyafanya kwa watu kama hawa.
ili litakuwa funzo kwa watu, hasa wanasiasa na familia zao kwenda kwenye vyombo vya habari na kakanusha kwa kiburi habari muhimu na tuhuma za ukweli zinazowahusu. na tutafanya hivyo kwa kila kiongozi hatakaye kanusha vitu vya ukweli kwa maslahi binafsi.
SASA RIDHIWANI JINYONGE MWENYEWE AU JIOKOE KWA KWENDA MAHAKAMANI.

Hakika suala la upumbavu wako lilikuwa hisia mpaka wewe mwenyewe uliapojitolea kulithibitisha kupitia hii thread yako ya kijinga ambayo kwa mara ya kwanza inakiuka misingi ya sheria iliyowekwa na waasisi wa sheria ambao waliidadavua kwa umahiri. Msingi muhimu wa sheria ni ule unaosema "He who alleges must proove". Hawa makanjanja wawili wametoa broadsides ambazo mpaka leo hazina chembe ya uthibitisho. Badala ya kuwataka waonyeshe ukomavu na kuaminika kwao kwa kuja na ushahidi unaothibitisha tuhuma zao basi wewe unaandaa mob justice ambayo nina hakika haitapata uungwaji mkono na yeyote mwenye akili timamu, labda watu wa aina yako.

Unadhani watu watababaishwa na kauli zako ambazo kimsingi zinafanana na hao watoa tuhuma ambao shida yao ni political expedience badala ya kuangalia madhara ya uropokaji wao kwa reputation zao, vyama vyao na kikubwa zaidi, wahanga wa tuhuma zao za kupandikizwa na kutumwa na vinara wa ufisadi wa nchi hii. Tengeneza polisi wako wenye ufinyu wa fikra kama wewe ndipo uwatume wafanya hizo un-ethical behaviours halafu uone kama zitapata uungwaji mkono. Mimi ningekushauri uwe na ujasiri wa kuwashauri hao miungu wako wawili kuja na vielelezo vitakavyotufanya tumtie adabu huyo dogo badala ya kugeuka kunguru ambaye kazi yake ni kunyea watu huku akiendelea kuruka bila kujua madhara ya uchafuzi huo. Kilicho wazi ni kwamba wazee hawa wawili wataburutwa mahakamani na hakika hakuna kipindi muafaka cha kuwavua nguo mbele ya jamii kama hiki. Wakati wewe unashabikia, kwa taarifa yao huyo Dokta wako kachanganyikiwa na sasa ame-deploy watu mikoani kuunga unga kile anachodhani ni ushahidi ambayo maskini haitamsaidia kwani ni afterthought ambayo haina hata chembe ya ukweli.

Brother ni vizuri ukahakikisha kwamba kiungo kilicho katikati ya masikio yako unakishughulisha kabla hujaingia humu jamvini.
 
duh,hii kali kweli,....hizi saba saba ni ishara za shetani nini?
kila mtu natoa nini 7,7,7,7,7 duh
 
Anayeitwa na ambaye hasitahili kuitwa Dr ni Jakaya Mrisho Kikwete mwenye degree ya heshima pamoja na mawaziri wake e.g. Nchimbi, Nagu etc waliochakachua PhD , Slaa (PhD) amesomea na anastahili kuitwa Dr.

That is a side issue and irrelevant at the best. Come up with a position on the veracity of the allegations made by this demigod of yours. kwani Phd si hata Che Mponda anayo lakini mwisho wa yote anaishia kutoa gabbage kila anaponyanyua mdomo. Hiyo siyo hoja maana hata Obama hana Phd lakini anakata issues. Churchill hata chuoni hakufika lakini ameingia kwenye historia kama the best PM Britain has ever produced. Hivi kuwa na Phd ndo uwe mzushi na mropokaji?
 
The most stupid way of interpreting things. What do you know about prima facie evidence? Huyu dogo alitoa siku saba kwa waropokaji hawa kuja na ushahidi, ku-retract porojo zao au wafikishwe mahakama. If you are saying the seven days expired yesterday, did you expect him to knock the court doors today? He needs time to prepare court documents that institute proceedings that will sure take a few days. This is not like sighting of the moon, it is a process that starts the moment the accuser fails to take heed to the demand notice.

Lakini ambacho ni cha kushangaza ni taarifa kwamba huyo anayeitwa Dr. na mnayemtukuza sana ame-despatch watu kwenda mikoani kutafuta ushahidi baada ya kupokea demand notice na hii inamaanisha kwamba alitumwa kuropoka na mafisadi wanaomtumia wakati hakuwa na ushahidi wowote ule na kwa sababu amezoea watu kutishia bila kuchukua hatua, sasa ameona kabisa hatari iliyo mbele yake. case ya Mtikila hatuwezi kuisemea kwa sababu case yake ya insanity ni well documented na sasa anachofanya ni kutafuta ajira ya kusogeza siku baada ya kugeuka kuwa irrelevant kwenye political equation ya nchi hii.

Nadhani huyu ni Ridhiwan Mwenyewe . Kama si yeye ni mdogo wake kama si mdogo wake ni baba yake . Hawezi kuwa mwingine aliyechangia huu upupu.
 
Hakika suala la upumbavu wako lilikuwa hisia mpaka wewe mwenyewe uliapojitolea kulithibitisha kupitia hii thread yako ya kijinga ambayo kwa mara ya kwanza inakiuka misingi ya sheria iliyowekwa na waasisi wa sheria ambao waliidadavua kwa umahiri. Msingi muhimu wa sheria ni ule unaosema "He who alleges must proove". Hawa makanjanja wawili wametoa broadsides ambazo mpaka leo hazina chembe ya uthibitisho. Badala ya kuwataka waonyeshe ukomavu na kuaminika kwao kwa kuja na ushahidi unaothibitisha tuhuma zao basi wewe unaandaa mob justice ambayo nina hakika haitapata uungwaji mkono na yeyote mwenye akili timamu, labda watu wa aina yako.

Unadhani watu watababaishwa na kauli zako ambazo kimsingi zinafanana na hao watoa tuhuma ambao shida yao ni political expedience badala ya kuangalia madhara ya uropokaji wao kwa reputation zao, vyama vyao na kikubwa zaidi, wahanga wa tuhuma zao za kupandikizwa na kutumwa na vinara wa ufisadi wa nchi hii. Tengeneza polisi wako wenye ufinyu wa fikra kama wewe ndipo uwatume wafanya hizo un-ethical behaviours halafu uone kama zitapata uungwaji mkono. Mimi ningekushauri uwe na ujasiri wa kuwashauri hao miungu wako wawili kuja na vielelezo vitakavyotufanya tumtie adabu huyo dogo badala ya kugeuka kunguru ambaye kazi yake ni kunyea watu huku akiendelea kuruka bila kujua madhara ya uchafuzi huo. Kilicho wazi ni kwamba wazee hawa wawili wataburutwa mahakamani na hakika hakuna kipindi muafaka cha kuwavua nguo mbele ya jamii kama hiki. Wakati wewe unashabikia, kwa taarifa yao huyo Dokta wako kachanganyikiwa na sasa ame-deploy watu mikoani kuunga unga kile anachodhani ni ushahidi ambayo maskini haitamsaidia kwani ni afterthought ambayo haina hata chembe ya ukweli.

Brother ni vizuri ukahakikisha kwamba kiungo kilicho katikati ya masikio yako unakishughulisha kabla hujaingia humu jamvini.

Semina Elekezi hiyo imeanza kufanyakazi.
Tujuze cheo chako basi na uko Wizara gani.
 
unaongelea nchi gani hapo?
pili ueleweki mimi sio huyo unaye mjibu,
lakini hapa hoja ni siku saba za R1
nanikwambia kama hatoenda mahakamani kwa ujumla wetu
tutaweka azimio, yeye alipotoa hizi siku saba alikuwa anadhani ni milele
yeye bora aende mahakamani la sivyo hayo hapo juu yakula kwake
Hakika suala la upumbavu wako lilikuwa hisia mpaka wewe mwenyewe uliapojitolea kulithibitisha kupitia hii thread yako ya kijinga ambayo kwa mara ya kwanza inakiuka misingi ya sheria iliyowekwa na waasisi wa sheria ambao waliidadavua kwa umahiri. Msingi muhimu wa sheria ni ule unaosema "He who alleges must proove". Hawa makanjanja wawili wametoa broadsides ambazo mpaka leo hazina chembe ya uthibitisho. Badala ya kuwataka waonyeshe ukomavu na kuaminika kwao kwa kuja na ushahidi unaothibitisha tuhuma zao basi wewe unaandaa mob justice ambayo nina hakika haitapata uungwaji mkono na yeyote mwenye akili timamu, labda watu wa aina yako.

Unadhani watu watababaishwa na kauli zako ambazo kimsingi zinafanana na hao watoa tuhuma ambao shida yao ni political expedience badala ya kuangalia madhara ya uropokaji wao kwa reputation zao, vyama vyao na kikubwa zaidi, wahanga wa tuhuma zao za kupandikizwa na kutumwa na vinara wa ufisadi wa nchi hii. Tengeneza polisi wako wenye ufinyu wa fikra kama wewe ndipo uwatume wafanya hizo un-ethical behaviours halafu uone kama zitapata uungwaji mkono. Mimi ningekushauri uwe na ujasiri wa kuwashauri hao miungu wako wawili kuja na vielelezo vitakavyotufanya tumtie adabu huyo dogo badala ya kugeuka kunguru ambaye kazi yake ni kunyea watu huku akiendelea kuruka bila kujua madhara ya uchafuzi huo. Kilicho wazi ni kwamba wazee hawa wawili wataburutwa mahakamani na hakika hakuna kipindi muafaka cha kuwavua nguo mbele ya jamii kama hiki. Wakati wewe unashabikia, kwa taarifa yao huyo Dokta wako kachanganyikiwa na sasa ame-deploy watu mikoani kuunga unga kile anachodhani ni ushahidi ambayo maskini haitamsaidia kwani ni afterthought ambayo haina hata chembe ya ukweli.

Brother ni vizuri ukahakikisha kwamba kiungo kilicho katikati ya masikio yako unakishughulisha kabla hujaingia humu jamvini.
 
Sawa Ndugu Mbopo!

Tunasubiri mjipange tukutane huko kwa court.

Mbichi na Mbivu zitajulikana mwaka huu. Na hatuweki evidance hadharani coz utaalam wa kuchakachua wote tuna ufahamu.

Sihusiki katika maandalizi yake but I can predict with a degree of reliability kwamba siyo siku nyingi waropokaji hawa watalipa gharama kwa kuacha midomo yao iugue kuhara
 
Back
Top Bottom