Ridhiwani Kikwete ang'aka tena

Ni siku moja imepita tangia dateline ya riz na watu humu wanachonga kama mahoka.hebu tusubiri walau siku tatu tukiona kimya ndo tupate la kusema.
Ni wajibu pia kina mtikira na slaa waje na ushahidi wa shutuma zao vinginevo nao ni WAROPOKAJI TU
 
Mkuu ni jukumu la mtuhumiwa kuprove his innocence. Kisheria ukituhumiwa mwizi na wakati wewe sio mwizi ni jukumu lako ili kulinda reputation yako uende mahakamani kufungua kesi ya kutuhumiwa uongo na kukuharibia image na reputation yako. Dr Slaa na Mtikila wao wamemtuhumu mbele ya jamii kuwa ni billionaire hivyo basi yeye aende mahakamani kufungua kesi dhidi ya tuhuma hizo. Failure to do so mahakama ya wananchi itakuwa imeshamhukumu.
 
Ni mtazamo wake lakini.
Ni sawa tu na Rz1 alipowaita waandishi na kuwaambia kuwa anatoa siku 7 kwa Dr. Slaa na Mtikila, waandishi wanafanya follow up anawajia juu; hiyo nayo si kujishushia heshima yeye na ikulu.
Mkeshaji, nilichopinga ni kumtukana mzazi idiot na stupid kwa kosa la mtoto. Lugha zozote za kutukana sio lugha za kistaarabu jukwaani.
 
Mkuu ni jukumu la mtuhumiwa kuprove his innocence. Kisheria ukituhumiwa mwizi na wakati wewe sio mwizi ni jukumu lako ili kulinda reputation yako uende mahakamani kufungua kesi ya kutuhumiwa uongo na kukuharibia image na reputation yako. Dr Slaa na Mtikila wao wamemtuhumu mbele ya jamii kuwa ni billionaire hivyo basi yeye aende mahakamani kufungua kesi dhidi ya tuhuma hizo. Failure to do so mahakama ya wananchi itakuwa imeshamhukumu.
kaka wanasheria tunakaaga darasan miaka 4,mwenzetu naona ulikaa miak 6 maana nadharia ya burden of proof unaijua jasa
 
kaka wanasheria tunakaaga darasan miaka 4,mwenzetu naona ulikaa miak 6 maana nadharia ya burden of proof unaijua jasa

Kumbe wewe ulikaa darasani miaka 4 duh pole sana ila wengine tulikaa mitatu inaelekea ulidunda mwaka mmoja. I stand to my point.
 
Dogo kachemka, mfupa uliomshinda fisi yeye mtoto wa mbwa ataweza?Wameshindwa kina Rais Rostam, EL, Nimrod Mkono, Baba Riz nk itakuwa wewe kinda?
 
naona dogo anasahau kwamba yeye ni kiongozi katika moja ya organs za chama ambacho kinaongoza nchi, automatically kwa kigezo hicho lazima watu watahoji ama kuuliza mambo mengi juu yake whether yanamhusu yeye binafsi ama kama kiongozi, so Ridhwan usiwatishe watu wasihoji pale wanapoona kuna walakini au laaah achana na uongozi katika ngazi ya chama.
 
@mdondoaji,mkubwa sheria dunia pote inasema ni juu ya anayetuhumu kuprove na wala si mtuhumiwa.
Every accused person is innocent untill proved otherwise.and it is not up to the accused to prove his innocence but it is up to the accuser to prove that the accused is guilt without any doubt.
So the burden of proving fall on the accuser.mi si mwanasheria na sikumbuki kama hiyo iko kwenye criminal procedure code or what but najua sheria hiyo iko globo
 
Alikuwa anajaribu mji. Kumbe hawezi kuishi kimjinimjini!!
Kweli dunia ina mambo.
 
Ewe Dr Slaa na Mch Mtikila mnaongoza kundi la watz wenye uchungu na nchi hii tafadhari mfungulieni kesi huyu m.s.e.n.g.e R1 Kwani mali za watz zinaliwa na hii familia ya pale MSOGA BAGAMOYO huku baadhi ya watz wanaishi chini ya mstari wa kimataifa wa umasikini tsh 260!

i thught huyo dogo ni mwanasheria na wakili? Sasa bana mbona unampachika neno baya. Huna haja ya kumlabel, jadili hoja. Kauli za namna hii hapa JF hazina nafasi, kama ulikuwa ze-utamu contributor , basi usilete uchafuzi wa hewa hapa kwa maneno machafu. Hapa n sehemu ya kujadili hoja kwa hoja, si kupashana!!
 
R1 hana washauri kabisa.Angejuwa nafasi yake kama mtoto wa Rais asingekurupuka na ujinga wake wa kutoa siku 7 aombwe radhi.Yeye anafikiri yaliyoongelewa juu yake ni ya kutunga!!Angekuwa na busara huyu bwa mdogo angekaa kimya sasa amechokonoa pabaya,tutazidi kumuanika.Kama R1 wewe ni mwanume wa ukweli nenda mahakamani then uone moto wake!!Unafikikiri Tanzania ya leo ni sawa na jana!!!Ovyo kabisa!!!!!!!!!!1
 
@mdondoaji,mkubwa sheria dunia pote inasema ni juu ya anayetuhumu kuprove na wala si mtuhumiwa.
Every accused person is innocent untill proved otherwise.and it is not up to the accused to prove his innocence but it is up to the accuser to prove that the accused is guilt without any doubt.
So the burden of proving fall on the accuser.mi si mwanasheria na sikumbuki kama hiyo iko kwenye criminal procedure code or what but najua sheria hiyo iko globo

Mkuu A suspect remains innocent until proven guilty hiyo ni key principal in criminal code popote duniani. Hii sio kesi ya criminal bali ni civil lawsuit hivyo kama yeye ameharibiwa reputation yake ni jukumu lake aende mahakamani kuprove his innocence. Kumbuka kikubwa alichokidai Rz1 ni kuwa yeye ametuhumiwa Billionea wakati ni mtu wa kawaida anayeishi kimjini mjini. Na vile aliomba aombwe radhi ama sivyo ataenda mahakamani. Kama akina Dr Slaa wangeliomba radhi ingelikula kwao (yaani Dr Slaa na Mtikila) but kwakuwa muda umepita sasa atimize lile alilokusudia venginevyo hakuna kitu hapo.

Umezungumzia burden of proof- kuna kesi moja in the Supreme court ilisema hivi ruling yake :-

" Nonetheless, "[a]bsent some reason to believe that Congress intended otherwise, therefore, [the Supreme Court] will conclude that the burden of persuasion lies where it usually falls, upon the party seeking relief."

In short the burden of proof lies upon the party that is seeking a relief ambapo katika ya Dr Slaa, Mtikila na Rz1 ni nani aliyelalamika kuwa amedhurika na tuhuma hizo??? Nadhani jibu unalo tayari.
 
I think this is fall on false accusation and defamation lawsuit that is if those politiacian accusation is false.
The way i see it if i was riz .this is the golden chance to get money from them cheap politian.
If he is clean now is the time to hit them with a lawsuit they are going to remmember for a longtime.
If riz is not clean then ,he wont go to any law .
 
Huyu Riz anadhani baba yake atatawala milele. Haki ya nani watu wengi wanatamani madaraka ya m.k.w.e.r.e yaishe hapo ndiyo ataelewa huyu dogo. Tulizana mtoto wa kiume nchi yenu ni bagamoyo siyo tanzania
 
I think this is fall on false accusation and defamation lawsuit that is if those politiacian accusation is false.
The way i see it if i was riz .this is the golden chance to get money from them cheap politian.
If he is clean now is the time to hit them with a lawsuit they are going to remmember for a longtime.
If riz is not clean then ,he wont go to any law .
 
Hapa ndipo anaponishangaza! Aliwaita waandishi kwa moyo safi nao wakaitikia wito. Akapiga mikwara mbuzi yake na ahadi zake, waandishi wanafanya follow up, kwa nini anawakasirikia? Kama ni jambo lake na hakutaka kushirikisha watu angewafuata Dr Slaa na Mtikila awaeleze kimya kimya? Maji ukiyavulia nguo....
Good point mtama mchungu dogo anaingia ulingoni biila gloves halafu analalama. Hajui ukitaka kuuza utumbo hutakiwi kuogopa nzi
 
Back
Top Bottom