swahiba... the only danger naiona hapa ni arrogance ya dogo while there are only 4 year left kwa baba kulinda familia, if it was me, i would be very careful with what i say to anyone
Tanzania iko kwenye mapito makali sana na kauli yoyote ile ni muhimu sana hasa ukiwa kwenye limelight
Nina story ya mtoto wa waziri wa siera leone ambaye ni rafiki yangu akisimulia yaliyomtokea, unaweza kupata kichaa... yeye amekimbilia UK
mlio karibu, mshaurini dogo akae kimya au hata asijibu chochote kwa waandishi, silence can be the best noise one can make
Yote hiyo ni katika kuchanganyikiwa. Maji yamekuwa marefu. Like father like son....
Anakula matapishi yake huyo mtoto. Alisema atawapeleka mahakamani Dr Slaa na Mtikila baada ya siku saba kupita kama hajaombwa msamaha, muda umefika na wananchi wanataka kuona ahadi aliyoitoa kama ataitimiza. Hiki kitoto kilikuwa kinatingisha kiberiti, sasa moto umeanza kumuunguza. Mahakamani atapelekwa yeye na lazima atueleze mabilioni hayo kayapata wapi, vinginevyo ni mwizi akanyee debe akakutane na akina papiii.
All i see here is a lot of personal attack,massive character assassination fuelled by drugs,hunger,life frustration by people who have failed to take responsibility regarding their life and thinking coming here in the site and throw insult arround will achieve them anything.NOPE,they may as well tell the insult to the wind for all result they will get
Congress ya nchi gani? Supreme Court ya nchi gani?Umezungumzia burden of proof- kuna kesi moja in the Supreme court ilisema hivi ruling yake :-
Nonetheless, [a]bsent some reason to believe that Congress intended otherwise, therefore, [the Supreme Court] will conclude that the burden of persuasion lies where it usually falls, upon the party seeking relief.
In short the burden of proof lies upon the party that is seeking a relief ambapo katika ya Dr Slaa, Mtikila na Rz1 ni nani aliyelalamika kuwa amedhurika na tuhuma hizo??? Nadhani jibu unalo tayari.
familia nzima yaani hawaeleweki..kuanzia baba hadi watoto.......
Hivi huyu kijana anajiona yeye ni assistant PREZIDA au???
Kijana wa mheshimiwa ameshindwa kwenda mahakamani kuwafungulia mashtaka Slaa na Mtikila.
Source: Tanzania Daima
Jamani, naombeni muweke ile picha aliyopiga siku ile anazungumza na waandishi wa habari. Angalieni kwa makini ile suti aliyovaa. Mtaniambia bei yake.Then hii ni "prima facie evidence" kwamba yeye ni fisadi!
kama ni kidume kweli ampandishe baba yake mahakamani kwanza kwa ufisadi. vinginevyo anahitaji kubambikiwa cheque iliyokosewa kama wazazi wake, poor thinking.